Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,838
- 50,543
Zamani CCM ilikuwa inategemea kundi la wanawake kama kundi lake la wapiga kura.
Lakini utafiti wangu siku za hivi karibuni nimegundua wanawake wengi hawataki kabisa kusikia habari za CCM.
Inawezekana kati ya wanawake 70 kati ya 100 wenye umri wa miaka 18 mpaka 40 hawaitaki kabisa CCM.