wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Je, hii Tunu (Zawadi) ya Unafiki tuliyonayo Watanzania wengi haiwezi pia Kujumuishwa katika Vivutio vipatikanavyo Tanzania?

    Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba SC kufungwa na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zimebadilika ghafla na kuwa.... "Hii sasa ndiyo TP...
  2. JamiiForums Tanzania Natamani Watu Wengi Waelewe Maana ya Hii Picha

    Tupeana maana ya hii picha?
  3. B

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali wengi wanasikiliza, kusoma na kufuatilia akaunti za wapinzani na activists kuliko akaunti zao

    Hakuna akaunti yoyote ya mitandao ya kijamii inayomilikiwa na serikali, Wana CCM na Watumishi wa serikali ambayo ipo active kwenye mijadala na inayopata usomaji na uchanguaji wenye afya. Wakati huo huo tunaambiwa wananchi wengi na watu wengi walioelimika na kuwa na uwezo wa kifedha wapo...
  4. JamiiForums Tanzania "Chanzo" kilindwe au kiharibiwe

    "CHANZO" KILINDWE AU KIHARIBIWE. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Hekima hii isomwe na watu wote wapendao ufahamu. Iwajenge pale walipobomoka, iwaimarishe pale walipodhoofika. Nayo isionekane naliandika kujipatia utukufu, Isipokuwa kutimiza kusudi. NIITE Taikon wa Fasihi, Mwana kutoka Nyota ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

    Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo. Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho. Wengine wanajaribu hadi kumpinga...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi hawapendi house girl wenye watoto?

    Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine. Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Ugonjwa wa Kisukari: Matajiri wengi wanaangalia pesa zaidi kuliko Afya yako

    Salute Wakuu Utangulizi Wengi mmesikia kuhusu ugonjwa wa Kisukari wengine wakilalamika kuwa na huu ugonjwa hatari au wamekatazwa (hospitali) kutumia baadhi ya vyakula ili kuepuka madhara zaidi ya huu ugonjwa. Trust me I guarantee this is the perfect thread tutaelewa kila kitu hapa na hakuna...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini vijana wengi wana uoga wa kuongea mbele ya watu (public speaking)?

    “According to most studies, people’s number one fear is Public speaking. Number two is death. Death is number two. Does that sound right? This means to the average person, if you go to a funeral, you’re better off in the casket than delivering the eulogy.”- Jerry Seinfeld, Comedian. “ Kutokana...
  10. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  11. JamiiForums Tanzania Idhaa za Kiswahili hazina wasikilizaji wengi kama tunavyodhani

    Hii ni mada nimetaka kuileta kwa muda mrefu sana ila naona kama ni muda muafaka kufanya hivyo. Kwa muda mrefu kumekuwa na dhana kuwa mtu ukihojiwa na BBC au DW Idhaa za Kiswahili basi dunia nzima imekusikia. Naomba leo nitoe mwanga kidogo kuhusu suala hili. Kuna vituo mbalimbali vya kimataifa...
  12. JamiiForums Tanzania NACTE: Tuna changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa, Watanzania wengi wanavipenda kwa ada yake ya chini

    Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La. Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna wapinzani wengi mitandaoni ila uraiani hawaonekani?

    Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi. Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi sasa suala la ndoa wamekuwa wakilisikilizia kwenye bomba?

    Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu. Lakini sasa imekuwa tofauti kwani kumeonekana kukiwa na wimbi kubwa la talaka na pia wanawake wengi kukosa bahati ya kuolewa labda...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao mafeminist wengi hawa uzungumzii.

    Wakiwa mbele za watu na kamera wanakuwa wakali, ila usiku ukiingia wanakuwa wapweke. Asante mshana kwa hii picha.
  20. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunao akina 'Chama na Miquissone' wengi tatizo hatuwekezi kwenye michezo

    Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya Afrika AL Ahly ambao wamenunuliwa kwa mabilioni ya fedha inatukumbusha umuhimu wa kuwaanda wachezaji...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…