Wakikaaga wenyewe utawasikia "wanaume wanani ogopa........",hapo tayari kuna mnyabi kishamzalisha au kishamgonga kwa miaka kazaa kamwacha,kaenda kuoa kwengine.nenda badoo ujionee upweke wao kuanzia age 30 kwenda mbele
Wanasema ndio desturi ya WanawakeThey say what they don't mean...
Ukiona mwanamke ni feminist ujue haridhishwi/ ni mpweke Sana.Nishawahi kutafuna feminist mmoja, baada ya muda nikaona ameachana na ufeministi.
Lete uzi,ilikuwaje?Nishawahi kutafuna feminist mmoja, baada ya muda nikaona ameachana na ufeministi.