Nimeangalia kwa makini sana huu mjadala na kama mtu niliyewahi kufundisha chuo nimeshangazwa sana na uwezo wa hawa wanafunzi wa Kiafrika. Kipindi wanafanya huu mjadala walikuwa ni wenye umri mdogo sana, lakini uwezo wao wa kujenga na kujibu hoja, kuzungumza lugha ngeni kwa ufasaha, ujasiri...
I) POSITIVES
Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi.
1. Kutotumia...
SIAGI YA KARANGA (Groundnut butter/Peanut butter🔥🔥
1kg ya Karanga hutoa 900g ya (siagi) butter. Katika masoko ya ndani, 1kg ya butter ni tsh 6500_7500/=
Gharama za uzalishaji
Karanga: tsh 2000 -2500 Tuch. Max. Tsh 2500
Vifungashio , lebo na lakiri: 1000 per 1 kg
Umeme: 100 per 1kg...
Magereza yanafunguliwa, magereza ya jeshi la magereza tunaona kwa macho. Je, ndio huyu au tusubiri mwingine, naye akajibu, vipofu wanaona na viziwi wanasikia!
Jela kubwa kabisa kuliko zote,jela ya kiuchumi,jela iliyoifunga nchi nzima nayo inakwenda kuvunjwa makufuli yake. Mwendazake alijiapiza...
Habari wadau!
Kiukweli zama zimebadilika sana, kwa sasa Watanzania wengi tunaishi kwa kutegenea mikeka.
Wanaume majumbani kwetu ndio usiseme, wife ukiona anakuzonga zonga unamwambia kuna mchongo huo naufukuzia ukitiki tu mambo yatakuwa poa kumbe mtu mzima una mkeka wako wa siri unangoja Odds...
Tanzania Ni moja ya nchi maskini Duniani. Si umasikini wa kipato tu Bali upo umasikini wa maarifa unaopelekea kuhusianisha utulivu na unyekekevu Kama sifa za Kiongozi.
Ninachotaka kujua, sifa hizi mbili zimewakuwa possessed na akaleta ma badiliko kwenye jamii? Ni kweli kwamba nchi inahitaji...
Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
Ni vile tu ni kwa sababu ni vijana ni sehemu ya Chama, lakini naamini Mama hana jinsi lakini sote tunafahamu kuwa asilimia 90 ya vijana wa CCM ni wanafki, wamejawa na tamaa ya maisha huku wakiwa wameweka maslahi binafsi kuliko Uzalendo.
Tukichukulia mfano wa Wakuu wa Wilaya na Mikoa kwa miaka...
Wasalaam,
Viongozi wetu wakuu wanapoteua vijana ambao pengine hawana uzoefu wala ujuzi mkubwa sio kwamba tunastahili sana ila ni kwa sababu tunatengenezwa mazingira ya kuaminiwa kwa nafasi za juu na pengine siku moja vijana ndio washike hatamu ya uongozi wa Taifa hili. Kinachoendelea sasa...
Hello Wakuu,
Leo katika pita pita zangu Nimepita katika Page ya Kituo kimoja cha Radio huko mtwara. Nimekutana na hii Habari iliyoandikwa na kupostiwa kwenye page yao kama nilivyo ambatabisha picha hapo chini.
Kwa kweli Uandishi wa aina hii ni Aibu kwa tasnia ya Habari.
WENGI WASINGEKUBALI KUJA, NA SASA HAWATAKUBALI KURUDI
Na, Robert Heriel
Wengi pengine tusingekubali kuja, hata hivyo hatuna namna tumeshakuja lakini ni hakika hatutakubali Kurudi Kama tukiambiwa turudi tena.
Sisemi nakufuru, wala simpi lawama yeyote isipokuwa naongea iliyoamini kabisa, wengi...
Kuna huyu trafiki anaeongoza magari kwa mbwembwe(huku anachezacheza) anaonekana kuvutia na kufurahisha watu wengi.
Sijui ndio kuipenda kazi yake au laa, ila anachofanya ni kuwafanya watu wengine wanaomuona kupenda kazi zao hata kama wanazifanya katika mazingira magumu kwani anaonesha kuipenda...
Sijajua hiki Chama kinatumia wabunifu gani kwenye masuala yake , bali itoshe kusema ina watu makini mno ! Unajua kitu cha kwanza kwenye jambo lolote linaloletwa kwa mara ya kwanza kwa watu kwa ajili ya kulitambulisha ni MVUTO .
Kwenye kipengere hiki CHADEMA nimewavulia kofia , hivi...
Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI
Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha...
Hakuna ambaye kila ' akihubiri ' anakusisitiza Ushike neno na uamini katika Mungu Baba bali wanatulazimisha tuwaamini wao tena 100% utadhani ndiyo Wameniumba GENTAMYCINE wakati kumbe aliyeniumba ni Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Sasa kama tu 100% ya Wahubiri wa Kiroho ambao ni ' Matapeli '...
Hili swali unaweza kulidharau lakini ni la msingi sana hasa kwa sisi wana CCM kindakindaki.
Ni nini hasa kiliwavuta watu kwenye mikutano ya Tundu Lisu?
Je, ni huruma sababu alipigwa risasi nyingi?
Je, ni uwezo wake wa kutoa uongozi?
Je, ni mapenzi ya wananchi kwa Chadema?
Au ni watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.