wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  2. Keynez

    JamiiForums Tanzania Idhaa za Kiswahili hazina wasikilizaji wengi kama tunavyodhani

    Hii ni mada nimetaka kuileta kwa muda mrefu sana ila naona kama ni muda muafaka kufanya hivyo. Kwa muda mrefu kumekuwa na dhana kuwa mtu ukihojiwa na BBC au DW Idhaa za Kiswahili basi dunia nzima imekusikia. Naomba leo nitoe mwanga kidogo kuhusu suala hili. Kuna vituo mbalimbali vya kimataifa...
  3. Replica

    JamiiForums Tanzania NACTE: Tuna changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa, Watanzania wengi wanavipenda kwa ada yake ya chini

    Mkurugenzi wa udhibiti NACTE, Geofrey Oleke amesema ipo changamoto ya vyuo ambavyo havijasajiliwa pamoja na wao kuhakikisha havipo kwa kuvifuta na kwakuwa huwa vina ada ya chini, watanzania wengi wanavikimbilia bila kujua kwamba vimesajiliwa ama La. Pia mkurugenzi huyo amesema vipo ambavyo...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini tuna wapinzani wengi mitandaoni ila uraiani hawaonekani?

    Ukiingia mitandaoni unaweza kudhani kila kona ya tanzania utakutana na ofisi na bendera za wapinzani, maajabu ni kwamba tofauti na miaka kadhaa iliyopita bendera na ofisi za CCM pamoja na makada wanaovaa hizo sare utawapata kila kona ya nchi. Naomba wapinzani watoke mitandaoni na kuendesha...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi sasa suala la ndoa wamekuwa wakilisikilizia kwenye bomba?

    Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu. Lakini sasa imekuwa tofauti kwani kumeonekana kukiwa na wimbi kubwa la talaka na pia wanawake wengi kukosa bahati ya kuolewa labda...
  6. kiwatengu

    JamiiForums Tanzania Bunge lisijadili Mitaala ya Elimu, Wabunge wengi wana upeo mdogo

    Leo Bungeni wakati wa maswali na Majibu, Kuna swali lililohusu mabadiliko ya mitaala ya Elimu ili kuendana na hali ilivyo. Naibu waziri wa elimu alikiri kuwa mfumo wetu wa Elimu uliopo haumsaidii Mhitimu kuweza kujiajiri hivyo wapo kwenye mchakato wa kubadilisha Mitaala inayotumika kukidhi...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanapenda sana mabadiliko lakini viongozi wa upinzani hawapendi mabadiliko ila pesa

    Katika wakati huu ambao dunia ipo kama kijiji kidogosana na watu wamekuwa na ufahamu mkubwa wa mambo ni mgumu sana kuwadanganya kirahisi, matumizi makubwa ya teknolojia, storeji ya kumbukumbu za matukio ni kubwa, mitandao ya kijamii ni mingi. Ukweli nikuwa kuanzia 1992 inaonyesha wazi kuwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima umekuwa na maadui wengi usisahau kutembea na bastola yako yasije yakajirudia ya kipindi kile

    Kipindi kile mwaka 2015 ulizua taharuki kubwa baada ya kuvunja sheria na kuagiza wasaidizi wako wakuletee bastola yako ukiwa hospitali. Sasa hivi ni wazi kabisa kwa msimamo wako dhidi ya chanjo umeshajenga maadui katika jamii. Kwa sababu na wewe ni muoga kuondokewa na uhai wako basi ni bora...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi ni wezi, hatuna uhalali wa kuihoji Serikali

    kwakweli huu ndio ukweli mchungu, asilimia kubwa sisi ni wezi na kila mmoja huiba kwa nafasi yake, mimi nimefanya hata kazi kwenye mashirika ya kimataifa wenye vyeo vya juu kule ni watu wa kenya, uganda, zimbabwe na nchi zingine vyeo vya chini wamewapa watanzania wanaogopa kuwapa vyeo vya...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli ambao mafeminist wengi hawa uzungumzii.

    Wakiwa mbele za watu na kamera wanakuwa wakali, ila usiku ukiingia wanakuwa wapweke. Asante mshana kwa hii picha.
  11. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tunao akina 'Chama na Miquissone' wengi tatizo hatuwekezi kwenye michezo

    Habari ya wachezaji wa Simba Clatous Chota Chama raia wa Zambia ambaye amenunuliwa na klabu RS Berkane ya Morocco na Jose Luis Miquissone raia wa Msumbiji ambaye amenunuliwa na Klabu bingwa ya Afrika AL Ahly ambao wamenunuliwa kwa mabilioni ya fedha inatukumbusha umuhimu wa kuwaanda wachezaji...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Ukiitisha maandamano kupinga Tozo za Simu na Kodi za Majengo kupitia LUKU, watu wengi wanaweza kujitokeza

    Ni imani yangu hivi sasa yakiitishwa maandamano ya amani kupinga hizo tozo, maandamano hayo yanaweza kuwa makubwa na yakaweka historia katika hii nchi. Iwapo nguvu zitatumika kuzuia maandamano hayo, si ajabu hata askari walafanya kazi yao chini ya kiwango kwani nao ni wahanga wa hizi kodi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiri wengi wanaamini vyeti?

    Hasa shule hizi za watu binafsi wanaamini sana vyeti. Unaweza kuta mtu alimaliza form four akapata A's za physics na mathematics lakini akaamua kwenda kusoma HGL just kwa kupenda tu lakini siyo kwa kufeli. Ila unakuta labda uliamua kusoma sheria na huna ajira na baadae ukaamua uaply kufundisha...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Mbona Simba na Yanga wanasajili wachezaji wengi hivi?

    Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha au Labda mimi sielewi!!! Kuna wengine watakuwa ni benchi msimu mzima sasa
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kuanzisha biashara ya diapers na sanitary pads

    Waungwana habari ya leo....? Bila shaka wengi wetu tu wazima na Mungu katupatia neema ya kuiona siku ya leo na walio wagonjwa Mungu aendelee kuwapigania. Nakuja kwenu kuomba msaada wa kujua ni wapi naweza kupata hizi bidhaa/ product (diapers and sanitary pads) kwa makampuni mbali mbali kama...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Huyu mchezaji ametukwaza, sijapenda kauli yake kuhusu timu yetu

    Very stupid football player. Anaongea mbele ya wenzake akidhani sisi wote hatufahamu Kifaransa. Kuwa yeye ameamua kuchezea Yanga sababu kule Simba kuna ushindani sana wa namba. Hivyo anaona akija Yanga kuna uhakika na watampa namba wakati wote. Yaani professional player anakimbia changamoto...
  17. Richard

    JamiiForums Tanzania Afghanstani viongozi wengi wana uraia pacha na wanaiharibu nchi hiyo. Diaspora wengi wenye pasi mbili hawana upendo wa dhati/ uzalendo na nchi zao

    Marekani na Uingereza na nchi zingine washiriki wametuma vikosi vya jeshi kurudi tena nchini Afghanistan ili kufanya operesheni ya kuwaokoa raia wa nchi hizo pamoja na raia wa Afghanistan wenye pasi mbili za kisafiria. Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wapatao 3000 huku Uingereza ikituma...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wanaokufa ni wengi ila wanaojulikana na kurushwa katika mitandao ni wale wenye hadhi katika jamii

    Kumekuwa na vifo vingi sana vinavyotokea kuanzia wimbi hili Delta lianze ila wengi wanakufa lakini wachache ndio wanaorushwa katika mitandao ya kijamii , hii ni kutokana na wadhifa wa marehemu mwenyewe mfano marehemu alikuwa nani , alikuwa anafanya nini? Uchumi wake na biashara zake kama...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Wasomi wengi watafariki kwa kung'ang'ania mishahara na hisani zisizowaacha na amani

    Kwa mfumo unavyokwenda Sasa hivi tutegemee wasomi na viongozi wetu waandamizi wengi kupoteza maisha kutokana na kuajiriwa au kupewa madaraka ambayo kwa kiasi kikubwa hayawaruhusu kumaliza siku wakiwa na amani, awatumii taalumu zao na awazalishi kwa ajili ya nchi kama walivyotamani kufanya kwa...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere na Huduma mbovu za Mtandao na huduma

    Kwa mwezi Sasa nimepita Uwanja wa ndege wa Dar kwenda na kurudi, siku ya kwanza nilikuta mrundikano wa watu nikasikia network imekata sijui mifumo mibovu. Ukiwasikiliza watendaji hasa waliovaa kirahia wanavyolalamikia mifumo ya uwanja ikiwemo TTCL nadhani ndo mtoa network utadhani siyo...
Back
Top Bottom