waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi: JWTZ si sehemu ya Siasa, ni taasisi mahsusi kwa kazi mahsusi

    Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena L. Tax amesema Migogoro ya ardhi inayohusisha maeneo ya Jeshi inapaswa kutatuliwa kwa mashauriano kwa kufuata Sheria zilizopo na si Kisiasa Akiwasilisha Bajeti ya Wizara hiyo kwa mwaka 2024/25 amesema, maeneo ya Jeshi ni maalum kwa...
  2. JamiiForums Tanzania MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  3. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga asema "Nishati safi ya kupikia inabeba Ajenda ya Mazingira"

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga, amewataka wananchi wa Msomera kuhakikisha wanaibeba ajenda ya nishati safi ya kupikia kwa vitendo kuunga mkono jithada za serikali Ili kulinda mazingira na mabadiliko ya tabianchi. Kapinga ameyasema hayo katika Kijiji cha Msomera wilaya ya Handeni Mkoa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Hakuna Waziri aliyeweka rekodi ya kutaja Jina la Raisi mara nyingi kama Bashungwa!

    Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM. Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
  5. JamiiForums Tanzania Mbunge Noah Lembris asema hajaridhishwa na majibu ya Waziri Gwajima

    MHE. NOAH LEMBRIS, Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Akizungumza Kuhusu Bajeti ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Bungeni Jijini Dodoma "Niliposoma taarifa ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima, katika...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Judith Kapinga amegawa mitungi ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Wilayani Handeni mkoani Tanga

    Na Mwandishi Wetu, Tanga. NAIBU Waziri wa Nishati Judith Kapinga amegawa mituni ya gasi 1500 kwa wakazi wa Kijiji cha Msomela Handeni Wilayani Handeni mkoani Tanga iliyotolewa na Kampuni ya Taifa Gas. Kutolewa kwa mitungi hiyo kwa wakazi hayo inalenga kuunga mkono kampeni ya Rais wa Jamhuri ya...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri ya Afya, Kwa Sasa mama mjamzito kadi ya clinic anauziwa 10,000. Akijifungua mtoto wa kike 15,000 wakiume 30,000

    Salamu kamsalimie waziri wa Afya. Nikiwa kwenye sintofahamu kwanini mambo Yana badirika kimya kimya namna hii. Inakuwaje kadi ya clinic iliyoandikwa haiuzwi na Sasa inauzwa Kwa Tsh 10,000/= Inakuwaje mama mjamzito akijifungua mtoto wa kike atoe kiasi Cha pesa Tsh 15,000/= na akijifungua mtoto...
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Mariki akimuuliza swali Bungeni Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

    "Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao. Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri Jerry Silaa

    Kuna tatizo sugu la ardhi limekuwa likiendelea nchi kwa miaka mingi. Halmashauri nyingi hazitaki kupima mashamba vijijini kwa makusudi mpaka wanapopata mradi. Mradi ukitokea wenye mashamba wanapewa fidia kidogo, mashamba yakishapimwa wanamilikishwa wafanyakazi wa ardhi halafu wanayauza kwa faida...
  10. JamiiForums Tanzania Katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, Waziri wa Mambo ya Ndani akutana na viongozi wa Dini

    Katika kukabiliana na matukio ya uhalifu yanayotokea katika jamii, Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefanya Kikao Maalumu na Viongozi wa Dini lengo ikiwa kuhusisha kundi hilo maalumu katika kudhibiti matukio ya uhalifu ikiwemo mauaji, mmomonyoko wa maadili, matumizi ya dawa za...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Maombi kwa Waziri wa Kilimo, mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki

    Kutokana na mavuno makubwa ya mpunga msimu huu tunaiomba Serikali inunue mpunga uliozalishwa na wakulima kwa bei rafiki. Kuna wafanyabiashara toka Kenya na Uganda tayari wameingia katika Mikoa ya Mwanza, Geita, Mara wakinunua mchele kwa bei ya kutupa kutokana na umaskini wa wakulima wetu. Zao...
  12. JamiiForums Tanzania Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Habari, Nape Moses Nnauye awasilisha Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi 2024/2025, Mei 16, 2024

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 27, leo Mei 16, 2024 ambapo pamoja na Maswali na Majibu, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye atasoma Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka wa Fedha 2024/25...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bonnah Kamoli kushikilia shillingi ya waziri kuhusu Kipunguni ilikuwa danganya toto, hata wewe jamani

    Nilimsikia Mbuge wa Segerea akitoa notisi ya kushikilia shilingi ya Waziri wa Uchukuzi kuhusu malipo ya fidia Kipunguni A lakini ghafra ikawa kimya je kulikoni na wewe unatusaliti Mungu yupo naamini atatulipa tu. Asanteni sana kwa kututesa
  15. T

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Bashe ni tishio kwa wasaka Urais 2030

    Waziri Bashe anachapa kazi kwelikweli pale Wizara ya Kilimo kiasi cha kuwa tishio Kwa kundi la wasaka urais ndani ya CCM wanapoona anawaovershine Kwa sasa moja ya mbinu wanazotumia ni kumchafua kwenye mitandao ya kijamii. Unapoona Kigogo anamchafua Bashe ujue ni sehemu ya mkakati huo...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri ana nafasi ya kujua mambo mengi, wanayosema wanakuwa wameshauriwa na wataalamu wengi. Hawasemi tu kwa kuropoka

    Kwanini unchallenge mtu wa rais? Mnaoponda Waziri wa Rais maana yake hapo una mchallenge Rais na Rais hapingwi. Ukimdharau mtu pengine awe na madhaifu ndio tumpelekee Rais ili akae na watu wake. Washauri wake mtaandika mengi ila Waziri hata kama angekuwa na elimu ndogo ana washauri wake...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri Nape: Huduma ya Internet imerejea kwa 94%

    Kwenye ukurasa wake wa X (Twiiter) Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Ndg. Nape Nnauye amesema huduma za internet zimerejea kwa 94% na sasa wanafanya jitihada huduma hiyo irejee kwa 100% "Kazi Inaendelea vizuri. Mpaka mchana wa leo Tarehe 15/5/2024, Huduma za Internet...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa

    Mh.Waziri Mkuu awali ya yote nakupa pongezi na shukrani Kwa kulipambania taifa letu kwenye pilika za kuleta maendeleo. Mungu azidi kukupa nguvu na uwezo wa kuendelea kulipambania taifa letu Ili lisonge mbele. Mh. Waziri mkuu nakuja kwako naleta Malalamiko yangu Kwa niaba ya wenzangu tuliokuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini cha tofauti ili kusaidia kuongeza Ajira katika nchi yako?
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia amepunguza vifo vitokanavyo na UKIMWI - Waziri Ummy

    Katika Hotuba yake Bungeni, akiwasilisha Hotuba ya Bajeti ya Wizara yake, amezungumza mambo mengi mazuri sana na ya kueleweka. Isipokuwa mimi labda kutokana na uchovu wa mwili , sijaelewa kwenye jambo hili , naomba Aliyeelewa anieleweshe Natanguliza Shukrani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…