waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024

    Waziri wa Afya Ummy Mwalimu anazungumza na Wanahabari Jijini Dar es Salaam, Machi 18, 2024 https://www.youtube.com/watch?v=N16fn896FLM
  2. mirindimo

    Picha: Kijana wa BBT akiwa amempigia Magoti Waziri wa Kilimo

  3. K

    Waziri Bashe hakutakiwa kuukataa msaada wa mchele kutoka Marekani na kama alikuwa na mashaka yoyote angewatumia TBS

    Mada hii ni kuelezea mashaka makubwa niliyonayo kwa Waziri wetu wa kilimo namna maamuzi yake yanavyoweza kuharibu mahusiano ya kimataifa kama asipojirekebisha. Kwanza kabisa nianze Kwa 'declare interest' ,Sina mahusiano ya aina yoyote na NGO iliyoleta mchele wa msaada wenye virutubisho kutoka...
  4. nyamchele

    Hussein Bashe, Waziri wa Kilimo: Waagizaji hawakupaswa kuleta mchele wa Msaada kutoka Marekani kwani Tanzania ina hazina ya mchele

    Dar es Salaam. Saa chache baada ya kuibuka kwa mjadala katika mitandao ya kijamii juu ya mchele ulioongezwa virutubisho ulioletwa Tanzania kutoka nchini Marekani, Waziri wa Kilimo Hussein Bashe, amefunguka akisema waagizaji hawakupaswa kuleta mchele huo kutoka nje, kwa kuwa Tanzania ina hazina...
  5. Ojuolegbha

    Waziri Mavunde aelezea mafanikio ya sekta ya madini katika miaka mitatu ya Rais Samia

    -Ukusanyaji wa Maduhuli ya Serikali Katika kipindi cha kuanzia Machi 2021 hadi Februari 2024, Wizara kupitia Tume ya Madini imeendelea kutekeleza jukumu la ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali yatokanayo ada za mwaka za leseni, ada za ukaguzi, ada za kijiolojia, mrabaha, fines, penalties and...
  6. N

    Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023?

    Mikataba mingapi ya ujenzi ilisainiwa na Profesa Mbarawa mwaka jana 2023? Je, mikataba inasaiwa hadharani Tanzania kweli kuna vituko. Sijui ataendelea na mchezo huu huko Mawasiliano. Ni mingapi imeanza? Kumbe barabara nyingi za nyuma hazjakamilika halafu anafanya upuuzi wa hali ya juu kama...
  7. Ojuolegbha

    Waziri wa Ulinzi aongoza waombolezaji kuaga mwili wa Meja Jenerali Gimonge (Mstaafu), Machi 13, 2024

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb), Machi 13, 2024 ameongoza waombolezaji kuaga Mwili wa Marehemu Meja Jenerali Christopher Keraryo Gimonge (Mstaafu) katika Hospitali Kuu ya Jeshi, Lugalo Jijini Dar es Salaam. Akitoa salamu za rambirambi Waziri...
  8. Ojuolegbha

    Waziri Dkt. Stergomena aonya uvamizi wa maeneo ya jeshi

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) awasili Mkoani Mtwara kutatua kero ya mgogoro wa ardhi kati ya Kikosi cha Jeshi 665 Regt na Wananchi wa Mbae Mashariki eneo ambalo limevamiwa na kujengwa makazi. Akizungumza na wananchi waliojitokeza katika...
  9. BARD AI

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu baada ya Makundi ya Uhalifu kumshinikiza aachie madaraka kabla ya kurejea nchini humo

    HAITI: Waziri Mkuu Ariel Henry amekubali kujiuzulu baada ya kuwepo shinikikizo la Makundi ya Uhalifu yaliyomtaka kuachia madaraka kwa hiari kabla ya kurejea nchini humo kutoka Puerto Rico alikofikia wakati akirejea kutoka nchini Kenya. Henry alichukua nafasi hiyo mwaka 2021 baada ya Rais...
  10. P

    Toka Dotto Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu, amefanya maajabu gani kwenye cheo hicho?

    Wakuu kwema? Wajuvi noamba mtujuze kwenye jambo hili. Toka Biteko ateuliwe kuwa Naibu Waziri Mkuu amefanya mambo gani mpaka sasa kulingana na nafasi yake hiyo? Huu mshahara tunaomlipa kutoka mifukoni mwetu kama Naibu Waziri Mkuu anaula kutokana na kazi gani alizofanya mpaka sasa? Anautendea...
  11. B

    Waziri Silaa atinga Kariakoo, asema jengo lililouzwa lina Waqfu uliosajiliwa wizarani. Amshauri mnunuzi akamalizane na aliyempa hela

    WAZIRI JERRY SILAA ATOA SOMO, KAZI YA MSIMAMIZI WA MIRATHI NI IPI, WANUNUZI WA MALI ZA MAREHEMU WAWE MAKINI NA WASIMAMIZI WA MIRATHI KWANI KAZI YAO SIYO KUUZA MALI ZA MAREHEMU BALI KUGAWA MALI KWA KUFUATANA NA USIA, SHERIA ZA DINI AU MILA https://m.youtube.com/watch?v=3i97zL9ftTg 11 March 2024...
  12. Revolution

    Waziri wa Elimu: Shule zinazoongoza kwa ufaulu za binafsi haziruhusu mikutano ya wazazi

    Habari ndugu zangu kuna tatizo kubwa katika hili suala nililowasilisha hapo juu. Shule nyingi kuanzia chekechea hadi kidato cha sita zina matatizo makubwa haswa zile zinazotoa ufaulu wa kiwango cha juu. Wanafunzi wanaamka saa nane na wanalala saa saba usiku ili wakeshe madarasani wakariri...
  13. Stephano Mgendanyi

    Waziri Bashungwa Apiga Kambi Lindi, Barabara ya Liwale - Nangurukuru Yaanza Kupitika

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale - Nangurukuru ambayo imeanza kupitika. Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo...
  14. Lady Whistledown

    Peru: Waziri Mkuu ajiuzulu baada ya mazungumzo yake ya faragha kuvuja

    PERU: Waziri Mkuu, Alberto Otárola, (57) amejiuzulu baada ya tuhuma za kuwa alijaribu kutumia Ushawishi wake kumsaidia Mwanamke kupata Mikataba ya Serikali yenye faida baada ya mazungumzo yake na Mwanamke huyo kuvuja Kulingana na kipindi cha Panorama ambacho kilirusha Mazungumzo hayo, Mwanamke...
  15. M

    Waziri Mkuu mstaafu wa Israel aelezea jinsi Israel inavyoitegemea Marekani katika vita yake huko Gaza

    Haya yamesemwa na Waziri mkuu mstaafu Ehud Barak: 1. Kumbe mabomu ya vifaru Waisrael wanapewa na Mmarekani. 2. Mabomu ya ndege, Jamaa wanapewa na Mmarekani 3. Mabomu ya iron dome jamaa wanapewa na mmarekani. 4. Kulindwa kwenye maamuzi ya kimataifa ya UN 5. Na pia kumbe wanategemea walindwe...
  16. Roving Journalist

    Naibu Waziri atangaza Siku 14 kuondoa namba za 3D, madereva wa serikali kukiona

    Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi imetangaza siku 14 kwa watumiaji wa Vyombo vya Moto barabarani kuondoa namba za magari zilizoongezwa ukubwa maarufu kama (3D) na Vimulimuli kwa magari yote yasiyoruhusiwa kuwekwa, namba zote zenye vibao vyeusi na zizonatumia namba za chasis, taa zozote na stika...
  17. Stephano Mgendanyi

    LGE2024 Ziara ya Waziri Mkuu Musoma Vijijini: Serikali kuendelea kujenga Kiwango cha Lami Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera (KM 92)

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa amewaeleza wana-Musoma Vijijini kuhusu uamuzi wa Serikali kuendelea kutoa fedha nyingi za utekelezaji wa miradi ya maendeleo vijijini mwao. Waziri Mkuu aliyasema hayo kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika...
  18. M

    Hamse Abdi Barre: Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake

    Waziri Mkuu asiyepeana mikono na wanawake Waziri Mkuu wa Shirikisho la Jamhuri ya Somalia, Hamse Abdi Barre, alitoa taarifa kwenye mtandao wa kijamii, baada ya kuchapishwa video akisalimiana na mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Somalia, Catriona Laing bila kumpa mkono. Baadhi ya watu wanaamini...
  19. Stephano Mgendanyi

    PreGE2025 Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa (Mb)

    Wana-Ruangwa Wamshukuru Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) "Kwa muungwana ukweli kwake ni ibada. Ni ukweli Usiopingika kwamba, kwetu Wana Ruangwa hatukudai. Karibu matatizo yote umeyamaliza, tulizobakiwanazo ni changamoto" - Wananchi Ruangwa "Waziri...
  20. Brain Kingdom

    Waziri Ummy wa Magufuli sio huyu wa Rais Samia Hassan

    Huyu mwanadada enzi za Hayati Magufuli alikuwa na nguvu ya kiti chake cha uwaziri ila sasa hivi yupo kama picha tu. Ummy ajue hio changamoto ya NHIF sio mkurupuko, ajitathmini anything to do with bima ya afya iko chini ya uwezo wake, sio external issue. It's something that has been hotting...
Back
Top Bottom