waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Paul Makonda kama Hayati Rais John Pombe Magufuli kama Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine.

    Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
  2. The Boss

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndumbaro hafai ,hafai hafai....

    Waziri Ndumbaro hafai popote huku kwenye michezo ndo hafai hafai kabisa analeta migogoro na anazidi kuharibu... Juzi watanzania waliona kilichotokea kwenye boxing....Ugomvi wa kibishara WA mapromota WA ngumu umeleta aibu kubwa sana.....huku waziri akiwa mshiriki Mkuu.... Promota ambae ana...
  3. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya tunaomba Waraka Namba Moja wa Mwaka 2021 wa kutokuzuia maiti

    Sasa wananchi wamekuwa wakinyanyaswa kupewa wapendwa wao, kwa ajili ya mazishi. Tunaomba huo waraka No.1/2021 wa wizara ya Afya uwekwe hapa tuuone na tuusome na ubandikwe kwenye maeneo husika nchini.
  4. FisadiKuu

    JamiiForums Tanzania Waziri Hussein Bashe, mwanafunzi mtiifu wa Hayati Edward Lowassa

    Wasalaam wanabodi.. Nchi hii tangia tumepata Uhuru kumekuwa na karama ya kupata viongozi mbalimbali wenye upeo, weledi na uwezo tofauti tofauti. Pia wapo viongozi ambao walijifunza aina ya uongozi na siasa kupitia role models wao. Kwa sasa tunae Mkuu wa Mkoa wa Arusha ambaye aina ya siasa na...
  5. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: Tutapanua barabara ya Mbagala Rangitatu-Kongowe (km 3.8) na daraja la Mzinga na upanuzi wa barabara ya Mwai – Kibaki (km 11.6)

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  6. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashungwa: TANROADS kuanza ujenzi wa Daraja la Jangwani

    TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa Ujenzi wa Daraja la Jangwani. Bashungwa ameyasema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati wa kuwasilisha...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma,

    Waziri wa Ujenzi, Innocent L. Bashungwa (Mb) akiwasili katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma, ambapo atawasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi kwa Mwaka wa Fedha 2024/25, Leo tarehe 29 Mei 2024.
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Aliyempa Hayati Rais Magufuli zawadi ya jogoo atua na jogoo wa Waziri Bashungwa bungeni

    Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amekabidhiwa jogoo ikiwa ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi kubwa za urejeshaji wa mawasiliano ya Barabara katika eneo la Tingi – Kipatimo na Barabara Kuu inayounganisha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi na Mtwara. Zawadi hiyo imetolewa leo Mei 29, 2024 na...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi aifunga Ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameifunga ofisi ya Idara ya Ardhi ya Halmashauri ya Jiji la Dodoma na kuamuru Watumishi wa Idara hiyo kuhamia kwenye Ofisi za Kamishna wa Ardhi Mkoa. Hatua hiyo inafuatia kukithiri kwa migogoro ya ardhi katika jiji hilo linalotajwa...
  10. C

    JamiiForums Tanzania RC Makonda yupo na ataendelea kuwepo sana maana hakuna wa kumtumbua na baada ya uchaguzi mkuu atakuwa Waziri Mkuu au Waziri wa Ulinzi

    Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi. Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Ardhi, mwondoe huyu m/kiti wa baraza la Ardhi wilaya ya Mbulu-Manyara

    Baraza la Ardhi na nyumba wilaya ya Mbulu liko eneo la Dongobesh. Huyu bwana ni mla rushwa, mbaguzi, katili asiye na utu. Anashirikiana na wenye hela ktk eneo husika kuwadhulumu wanyonge. Ameshawanyanganya watu na kuvunja nyumba nyingi kwa ajili ya rushwa. Anakula na ofisi ya msajili kanda...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa kagua SGR, Treni kuanza kufanya kazi Juni 14 (Dar-Moro), Julai 25 (Dar-Dom)

    Waziri wa Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa amefanya ziara Shirika la reli Tanzania – TRC kuanzia Stesheni ya reli ya kiwango cha kimataifa – SGR ya Tanzanite hadi Banana jijini Dar es Salaam mnamo Mei 24, 2024. Dhima ya ziara ni kuangalia maendeleo ya mradi wa SGR na utayari katika kuelekea kuanza...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyau kulihutubia Bunge la Marekani muda wowote

    Wadau hamjamboni nyote? Taarifa rasmi kutoka Congress Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni. Mungu ibariki Israel
  14. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu Biteko: Aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini

    "Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

    Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa: 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa. Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Waziri Mwigulu Nchemba ni liability kwa Uchumi wetu!

    Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali. Ukisikiliza Kwa ufahamu kauli hiyo, analenga kuwaelekeza TRA warudi tena Kwa wafanyabiashara na kuwabana...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Ndumbaro Ataja Sababu Kifo cha Muziki wa Dansi

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema Wizara yake iko kwenye mkakati wa kurejesha katika hadhi muziki wa Dansi kwa kuwa muziki huo umewahi kutumika hata kwenye ukombozi. Amesema muziki wa Dansi umeshuka kutokana na masoko, ambapo amesisitiza kufufuliwa kwa muziki huo...
  19. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kilimo haya mambo yameanza lini

    Nimeweka risiti hapa uone kibaya zaidi jambo hili linatokea Nzega hapa ndio wakulima humkumbuka Magufuli yani gunia moja linatozwa ushuru kweli yani mkulima alime mazao yake ya kula yeye na famila yake anaenda kuvuna wanasubilia njiani atozwe ushuru.
  20. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Nani wa kumwambia ukweli ndugu Mchengerwa kwamba anapuyanga? Hizi hapa ni sababu tano za kwa nini asitenguliwe?

    TAMISEMI ndio imebeba mfumo mzima wa uendeshaji wa nchi kuanzia ngazi ya nyumba kumi mpaka ofisini kwa Rais. Madudu yanayoibuliwa na viongozi mbali mbali katika ziara mfano za mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda nyingi kati ya hizo ni zinahusu wafanyakazi kunyanyaswa kazini...
Back
Top Bottom