waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Armenia kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya kufanyika

    Waziri mkuu wa Armenia Nikol Pashinyan ametangaza kujiuzulu kuruhusu uchaguzi mpya wa mapema wa bunge ufanyike. Pashinyan ametangaza uamuzi wake huo leo wakati akizungumza na wakaazi wa mkoa wa Armavir ambapo amesema atajiuzulu mwezi Aprili. Atabakia katika nafasi hiyo mpaka uchaguzi...
  3. fmlyimo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kifo cha Rais Magufuli: Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais Tanzania?

    Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki. Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
  4. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kutumia takwimu ambazo siyo rasmi hajavunja Sheria?

    Sheria ya takwimu iliyopitishwa hivi karibuni inakataza matumizi na kutangaza takwimu zisizo rasmi, nimemsikia Waziri Mkuu akiijulisha dunia kuwa watu bilioni 3.9 wamefuatilia msiba wa Hayati JPM. Takwimu hizo bahati mbaya siyo rasmi ila kwake zimemfurahisha kwani ni ushindi. Huko nyuma...
  5. Automata

    JamiiForums Tanzania Mlengo na ukomavu wa Mama Samia utaonekana kwenye uteuzi wa Makamu wa Rais

    Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la! Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
  6. 3 Angels message

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Watu Bilioni 3.9 Duniani jana walifuatilia Shughuli za Kumuaga Hayati Magufuli

    Akiwa anatoa maelezo kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar, Waziri Mkuu amesema kwa taarifa walizonazo jana wakati wa shughuli za kumuaga Hayati JPM watu waliofuatilia tukio hilo duniani ni 3.9 bilioni kama siyo 4 bilioni. Na hivyo amevishushukuru sana vyombo vya habari kwa kurusha matangazo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni matumaini yangu Waziri Kabudi utakuwa umejifunza jinsi ya kutoa Hotuba fupi na yenye Mambo yote Muhimu kama aliyoitoa Rais Mwinyi wa Zanzibar

    Kwa ninavyokujua Mzee wangu Waziri wa Mambo ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi ungepewa Wewe nafasi ya Kuzungumza Zanzibar leo usingetumia dakika 15 tu alizotumia Rais wa Zanzibar Dk Hussein Mwinyi. Hongera sana Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa Hotuba yako nzuri, fupi, yenye Mambo...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Kaandiki hivi kupitia twitter ambapo pia ameambatanisha picha ya Simbachaweni katika tweet yake hiyo: Yuko wapi Waziri Simbachawene? Vaeni Barakoa. Jilendeni na corona. Mtaisha mkifanya mzaha.
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  10. kidadari

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya ametengwa au amejitenga na siasa za CCM na s=Serikali

    Waziri mkuu mstaafu Cleopa Msuya imekua nadra sana kumsikia wala kumwona katika shughuli mbali mbali za cha chama na serekali. Tangu nafuatilia siasa enzo za Rais Kikwetu sio mtu wa kuongea wa kushiriki jambo lolote la kitaifa Tofauti na wenzake akina J.S.Warioba, J.S Malecela, E.N Lowassa na...
  11. WilsonKaisary

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Silvie Kinigi, Waziri Mkuu na acting president wa kwanza mwanamke Afrika Mashariki

    Sylvia Kinigi ndie mwanamke wa kwanza kuwa Waziri Mkuu nchini Burundi na kwa Afrika Mashariki. Na 1993-1994 akapata kuwa acting president wa Jamhuri ya Burundi. Mama Samia Suluhu Hassan, anapata kuwa Rais wa pili mwanamke Afrika Mashariki. Wanawake wote Hawa wawili sio kuwa walipigiwa kura za...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Unadhani nani anafaa kuwa Waziri Mkuu mpya wa Serikali Mpya ya Rais Samia Suluhu?

    Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatakiwa kuwajibika kwa kudanganya Taifa lililokuwa na taharuki kubwa

    Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea. Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu kuapishwa Chato: Magufuli amezingatia Ibara ya 56 ya Katiba ya Tanzania

    WanaJamii, heshima kwenu. Kumekuwa na minong'ono mingi na miluzi kibao from opposition die hard fans kufuatia jemedari mkuu Rais John Magufuli kumuapisha Mh waziri Mwigulu Nchemba mjini Chato. Kimsingi hawana hoja, bali wanashangaa tu na kulalamika eti why Rais afanye majukumu yake kiofisi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

    Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia. Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uzalendo: Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ala chakula cha gerezani kuonesha mfano

    Video hii hapa
  17. Mpandisha mishahara

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo

    Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama! Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
  18. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu akipongeza Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa kuanza kutoa Scholarship kwa vipanga wanaofanya vizuri Mitihani ya Sayansi Kidato cha Sita

    Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky. Although there are...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Waziri wa Fedha kuhusu Hotel Levy ya Halmashauri

    Kwanza pole sana. Mungu ni mwema natumaini unaendelea vizuri. Natumaini kuwa Wizara ipo mbioni kukamilisha bajeti ya 2021/22. Mimi nina ushauri kuhusu mapato ya HOTEL LEVY YA HALMASHAURI. Kwanza ni wajibu wa kila mfanyabiashara kulipia mapato ya Serikali ili kuwepo maendeleo kwa wananchi...
  20. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Waziri Mkuu, Majaliwa kuanza ziara ya siku mbili Mkoani Mbeya, namshukuru Rais Magufuli kwa ujenzi wa Hospitali ya Rungwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya. Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
Back
Top Bottom