Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.
Nimesoma humu wadau wengi wanajadili nafasi ya Makamu wa Rais, pengine ni kwa vile inaonekana dhahiri kuwa wazi kutokana na aliyekuwepo kupandishwa na kuwa Rais kamili, lakini tunapaswa kufahamu kwamba Rais Mpya anapoapishwa kimsingi ni kwamba nafasi zote za uongozi automatically zinakuwa...
Wanabodi najua kabisa tupo kwenye msiba mkubwa. Msiba ambao umemgusa kila mtu na mpaka sasa kila Mwananchi haamini kilichotokea.
Lakini yapata kama wiki moja iliyopita taifa zima lilikumbwa na taharuki kubwa. Kila raia mwenye mapenzi na mkuu wa nchi yetu alitaka kujua kama anaumwa au haumwi...
WanaJamii, heshima kwenu.
Kumekuwa na minong'ono mingi na miluzi kibao from opposition die hard fans kufuatia jemedari mkuu Rais John Magufuli kumuapisha Mh waziri Mwigulu Nchemba mjini Chato.
Kimsingi hawana hoja, bali wanashangaa tu na kulalamika eti why Rais afanye majukumu yake kiofisi...
Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia.
Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
Barua ya wazi kwa mhe Innocent Bashungwa, salaam wanajukwaa, salaam wanajf, salaam wote wenye afya njema na wasio na afya timamu, tuzidi kuwaombea wapate ahueni waweze kuwa salama!
Niende kwenye dhumuni rasmi la kuandika ukurasa huu, miaka ya nyuma tulikuwa katika mfumo tofauti wa kufikishiana...
Students who perform well in Science subjects in their Form Six national examinations are eligible for the scholarship at the University of Dar es Salaam
You may be among those who have applied for university scholarships for international students - but were never lucky.
Although there are...
Kwanza pole sana. Mungu ni mwema natumaini unaendelea vizuri. Natumaini kuwa Wizara ipo mbioni kukamilisha bajeti ya 2021/22. Mimi nina ushauri kuhusu mapato ya HOTEL LEVY YA HALMASHAURI.
Kwanza ni wajibu wa kila mfanyabiashara kulipia mapato ya Serikali ili kuwepo maendeleo kwa wananchi...
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema Waziri Mkuu, Majaliwa anaanza ziara ya siku mbili mkoani Mbeya.
Akiwa mkoani Mbeya Mhe. Majaliwa atafungua Jengo la Mama na Mtoto jijini Mbeya, atafungua hospitali iliyoahidiwa na Rais Magufuli wakati wa kampeni wilayani Rungwe na atafungua kituo...
Mwl. Nyerere alikuwa na busara sana kulipotokea hamkani ya Malechela kutomshauri vema Rais Mwinyi, Nyerere alionya akasema unaweza kumtingisha Waziri mkuu nchi isitikisike lakini huwezi kumtingisha Rais nchi ikaacha kutikisika.
Maana yake ni nini? Mwl. alitambua nguvu ya Rais na mamlaka yake...
Na Mwandishi wetu - Zanzibar
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe Dkt Faustine Ndugulile aipongeza Shirika la Mawasiliano Tanzania kwa kuboresha muonekano wa Vituo vya Huduma kwa Wateja nchi nzima ili kuongeza mvuto kwa wateja wa huduma za mawasiliano.
Amesema hayo katika hafla...
Kwenye taarifa ya habari ITV leo ya saa mbili nimemsikia Waziri wa Biashara na Viwanda, Godfey Mwambe amepiga marufuku taasisi zilizo chini ya wizara yake kufunga biashara za watu kwa kisingizio chochote ahimiza majadiliano badala ya funga funga. Amesema asisikie. Huo ni uhujumu uchumi
TRA na...
Waziri wa Afya Dr Gwajima ameupongeza mkoa wa Mbeya kwa ujenzi wa jengo la kisasa la wajawazito.
Dr Gwajima amesema LEO amefurahi sana.
Waziri wa Afya yuko ziarani mkoani Mbeya akikagua shughuli mbalimbali za wizara yake.
Source Upendo tv
Maendeleo hayana vyama!
Akiwa mkoani Njombe Waziri Mkuu mh Majaliwa amehoji kwanini wawekezaji wa viwanda vya majani ya chai wanashindwa kuwalipa kwa wakati wakulima wa zao hilo.
Majaliwa amesema mkulima anapaswa kuwa amelipwa fedha zake ndani ya siku 4 baada ya mauzo.
Kadhalika mh Majaliwa amesema serikali...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Innocent Bashungwa ametoa wito kwa vyombo vya habari kuendelea kutoa taarifa zinazotolewa kwenye vyanzo rasmi na kuepuka kutumia uvumi/rumours, kwani kitendo hicho ni kukiuka sheria na kitapelekea vyombo hivyo kuwajibika. Waziri Innocent amesema...
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo.
Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli.
Amesema kama hauna uhakika na...
Siku100 za KISHINDO kuanzia Tarehe 15 - 30 Machi, 2021 za wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari na Taasisi zake chini ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile.
Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe amesema Serikali haijapokea taarifa rasmi kutoka Kenya juu ya kuzuiwa kwa mahindi ya Tanzania kuingia nchini humo.
Bashe amesema wakipewa taarifa watachukua hatua stahiki japo mkuu wa TRA Namanga amethibitisha mahindi ya Tanzania kuzuiwa kuingia Kenya kwa...
Mjadala uko mubashara kupitia kipindi cha Ajenda kinachoongozwa na mtangazaji Aloyce Nyanda Star tv.
Naibu waziri wa afya Dr Mollel anajibu hoja zilizotolewa na Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu wa Kanisa Katoliki Padre Dr Charles Kitima.
Dr Mollel anasema utabibu siyo sawa na fani ya sheria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.