waziri

Farida Mzamber Waziri (born July 7, 1949) is a Nigerian technocrat, law enforcement officer and former executive chairperson of the Nigerian Economic and Financial Crimes Commission (EFCC) She succeeded Nuhu Ribadu in this post.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Kila manispaa mkoani DSM itarithi mali za Jiji la Dar es Salaam lililovunjwa zilizo katika maeneo yao

    Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa mfano stendi ya mabasi ya mkoani yaani Stendi ya Magufuli itarithiwa na manispaa ya Ubungo nk nk...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Waziri Kabudi yazaa matunda. Ni dhahiri Tanzania ina uhusiano mzuri na mataifa ya nje

    Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda. Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima Uganda hadi Tanga nchini Tanzania. Mradi ambao utazalisha ajira...
  3. kitonsa

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanamuziki Waziri Sonyo afariki dunia

    Mwanamuziki aliyewahi kuimba kwenye bendi ya Chuchu sound na TOT Plus, Waziri Sonyo ameaga dunia jana tarehe 23 Februari saa moja usiku maeneo ya Kibaha. Chanzo cha kifo hakijawekwa wazi ingawa kuna taarifa kuwa alikwenda kutazama mechi ya mpira wa miguu na aliporudi alijipumzisha hadi mauti...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndugulile Kaza buti, watumiaaji wa Twiitter usiwalegezee

    Sisi Watanzania wazalendo tuliposikia utadili na hawa wazandiki wanotumia Twitter kupotosha habari na kutukana viongozi, mh Waziri tulitarajia leo hii wale wazandiki nguli uwe umeshawadaka. Maana hawa ndio vinara wa kupotosha na kuzua habari za uongo juu ya taifa letu na viongozi wetu. Wengi...
  6. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Kati : Naibu Waziri Tamisemi Mhe. Silinde akikagua Vyoo vya Shule ya Msingi Namalombe iliyoko Nanyumbu Mkoani Mtwara

    Sina cha kuongeza ili kukwepa mkono wa TCRA, nimeweka vielelezo tu baasii.
  7. mgt software

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Miundombinu unapigwa hela barabara Mwenge - Tegeta inayofanyiwa marekebisho Lugalo

    Wana jf, Waziri wa miundombinu kakague lami inayojengwa Lugalo jeshini, sehemu iliyomalizika ina mawimbi ya kufa mtu. Watanzania wa sasa tuko macho hatuibiwi kodi, Lami mbovu mno haitamaliza mwaka, waoondoeni au wairudie. Ushahidi nenda mkajionee msijesema hamkuona.
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: Ni ujinga Waziri kutoa Data za Walioathiriwa na Corona kila siku. Bei ya chanjo ni Tsh 400,000

    Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Jinsia Wazee na Watoto amesema watu wengi wanasema Tanzania haitoi data, ambapo amesema data haina haja ya kutangazwa kila siku na Waziri, utakuwa ni ujinga mtupu. Amesema Data huwa inataka uchakataji ili kujua tatizo ya magonjwa yanayosababisha vifo na kujua...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwa haya madudu anayovumbua Waziri Silinde huko TAMISEMI ni kama vile Jafo hakuwepo Mitano iliyokwisha!

    Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana. Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati kwa kutumia fedha za ndani, kumbe zilikuwa mbwembwe tu. Huyu Silinde akiendelea hivi na huu...
  10. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Muone mtoto wa ajabu anayejua hesabu

    Huyu dogo ni kiboko, inabidi apelekwe secondary kabisa.
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel atoa ufafanuzi kuhusu "Matatizo ya Kushindwa Kupumua"

    Kama hujaelewa hapa basi utakuwa na Chuki binafsi ====== Akihojiwa na Mwananchi, Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ameeleza haya: Kwanza hamna taharuki kubwa kwa huu mwaka kama ilivyokuwa mwaka 2020. Mwaka wa 2020 tatizo hilo lilivyotekea taharuki haikuingia tu Tanzania, ilikuwa dunia...
  12. D2050

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Waziri Mkuu naomba nikumbushe suala la stendi mpya. Mara ya mwisho unafika Songea ulikuta mgogoro wa stendi mpya iliyojengwa kilo mita 20 mbali na mji. Ulipokuwa Songea uliagiza mkuu wa mkoa na watendaji wa serikali wakae na wadau wa usafirishaji wajadili changamoto na waweze kuzitatua...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya; Waziri anauliza kama kuna barakoa unaweza kuivaa lakini usionekane kama umevaa

  14. This is...

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu imebeba ujumbe mzito si ya kubeza. Jaribu kufikiri kwa upana

    Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na mwenzetu ktk serikali au chama. Kuna wanaoongea kwa hofu kwanini PM atoe kauli hii. Kuna wanaofikiri...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Waziri Mkuu kutilia shaka barakoa za kisasa na kutaka watu wajishonee matambara na kuyavaa usoni haiwezi kuachwa bila kujadiliwa

    Nchi yenye wasomi wengi kama Tanzania haiwezi kunyamazia kauli ya Mh Majaliwa ya ku ignore barakoa zilizotumiwa na madaktari wetu miaka nenda rudi kuwalinda na maambukizi ya magonjwa wanapowahudumia Watanzania kwenye hospitali za umma na nyinginezo. Hii ni kwa sababu wenye mamlaka ya kuhakiki...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka Wananchi kujilinda na Magonjwa kwa kunawa mikono na kuvaa Barakoa

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Watanzania wana jukumu kubwa la kumuenzi Balozi John Kijazi kwa kutenda yale yote mema aliyokuwa akitenda. Aidha, amesema jukumu jingine ni kuendelea kuiombea familia yake, hasa katika kipindi hiki kigumu. Akitoa salamu za serikali kwenye mazishi ya Balozi...
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi awasili Nchini Ufaransa kwa ziara ya kikazi

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa Ufaransa. Jean Yves Le Drian
  18. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Afya: Andaa na Kupeleka Waraka wa kuanzisha Tume ya Kupambana UVIKO katika Baraza la Mawaziri

    Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake. Taifa lilifanya vizuri miaka ya 1980 pale janga la VVU na UKIMWI lilipozuka. Tuliunda TUME YA TAIFA YA...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
  20. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Nishati aagiza wakuu wa wilaya kukamata na kuwaweka mahabusu wananchi watakaoshindwa kuunganisha umeme kwenye nyumba zao baada ya miezi sita

    Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani amewaagiza wakuu wa wilaya nchini wawakamate na kuwaweka mahabusu wananchi wanaoshindwa kuunganisha umeme katika nyumba zao baada ya miezi sita kwa kuwa serkali inatumia gharama kubwa kupeleka umeme katika vijiji na vitongoji vyao.
Back
Top Bottom