waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    Dkt. Mwigulu: Tusamehe ushuru wa magari ya umeme na Gesi

    Ili kuiwezesha Nchi kuwa na Sera za Kodi zinazotabirika na kuweka mazingira bora ya uwekezaji, Serikali imependekeza kufanya marekebisho kwenye Sheria ya Ushuru Kwa kuanzisha utaratibu wa kurekebisha viwango vya Ushuru wa Bidhaa kila baada ya miaka mitatu (3) Kuanzia mwaka wa fedha 2023/24...
  2. Nyendo

    Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba: Umasikini uliokithiri umepungua Tanzania

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba Tanzania imefanikiwa kupunguza kiwango cha umasikini uliokithiri kutoka asilimia...
  3. Nyendo

    Waziri wa fedha, Mwigulu Nchemba: Kodi sio jambo la Rais, kodi sio jambo la Waziri wa Fedha, kodi sio jambo la TRA, kodi ni jambo la Nchi

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kuna baadhi ya Wanasiasa wanasema kodi zinatozwa nchini ni za Rais wa Tanzania...
  4. Roving Journalist

    Bajeti kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24 kugharimu Tsh. Trilioni 44.39

    Fuatilia Mjadala wa Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa fedha 2023/24, leo Juni 15, 2023 itakayosomwa Bungeni na Waziri wa Fedha, Mhe. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Mwaka 2022, thamani halisi ya Pato la Taifa kwa bei za mwaka 2015...
  5. FaizaFoxy

    Mwigulu ni kati ya Mawaziri wa Fedha wabovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu, ambae hana kabisa hata "art" ya kuongea anaweza kuteuliwa kuwa waziri. Hata jinsi alivyowakilisha...
  6. benzemah

    Kauli ya Waziri wa Fedha kuhusu kuadimika kwa Dola nchini

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu. Nchemba amesema licha ya nchi ya Marekani kuja na sera ya kupunguza dola katika mzunguko, Tanzania. bado ina unafuu kwa kuwa haijapata athari kubwa kulinganisha na nchi zingine. kutokana ná mikakati iliyowekwa na serikali. Alitoa, kauli hiyo jana wakati...
  7. M

    Kama naziona vile Sura za waliotaka Waziri wa Fedha Dk. Nchemba atumbuliwe kwa 'Kariakoo Saga' na hajatumbuliwa zilivyo sasa

    Na Darubini yangu MINOCYCLINE inaniambia kuwa Watatumbuliwa Wote ila siyo Yeye kwani Yeye hapo kawekwa Kimkakati na Mstaafu mwenye Nguvu na anayemmudu Mteuwaji ili Mambo yake yaende na Chenji za Hazina ziwe zinasaidia Timu pendwa Moyoni ya Dk. Nchemba na inayopendwa pia na huyo huyo Mstaafu...
  8. M

    Waziri wa Fedha Dk. Nchemba upo na upo tayari?

    MINOCYCLINE nakukubali mno kwani Wewe ndiyo Waziri pekee unayependwa sana nchini na hasa Wafanyabiashara wa Masoko yote nchini na hata katika Mkutano Waziri ambaye hakusemwa kabisa ulikuwa ndiyo Wewe. Hongera mno Waziri Dk. M Nchemba.
  9. B

    Hawa waliomshangilia kwa bashasha Waziri wa Fedha Jana pale Kwenye Mkutano ni wafanyabiashara wa wapi? Modarators huu uzi usiunganishwe.

    Nimefuatilia kikao kile, nimesikiliza hoja za wale wafanyabiashara, nikaona masikitiko yao. Lakini wakati wa kuagana na baada ya PM kuwa ameondoka jukwaa likavamiwa na wafanyabiashara waliojaa bashasha na nderemo wakimpongeza Waziri wa fedha. Leo naona ile clip yenye nderemo iko pinned kwenye...
  10. K

    Rais, Waziri wa Fedha na TRA wanakuchimbia kaburi. Chukua hatua za haraka

    Leo Wafanyabiashara wametoa ya moyoni kutokana na kero zinazowakabili katika biashara zao. Wafanyabiashara wamezungumza mengi ila nashauri yafuatayo: (1) Vituo (gates) zilizopo njiani zitolewe mara moja njia yote toka nchini na kwenda nchi zote za jirani. Kituo kinachoongoza kwa Rushwa ni...
  11. Erythrocyte

    Pendekezo: Kwa mgomo huu wa wafanyabiashara, Waziri wa Fedha wa Tanzania aondolewe haraka

    Watu wengi wanazungumza kuhusu sakata la TRA na Wafanyabiashara lakini wanamung'unya maneno na kupata kigugumizi kumtaja Mwigulu ambaye ndio mwanzilishi wa uchafu huu wote. Ili kuleta amani ya kudumu kwenye Biashara za Kariakoo, Mwigulu aondolewe tena aondolewe kabla ya asubuhi. Au kama...
  12. Roving Journalist

    Mfanyabiashara: Kiburi cha TRA kinasababishwa na Bosi wao Mwingulu Nchemba

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kariakoo, leo Mei 17, 2023. Wafanyabiashara wa Soko Kuu la Kimataifa la Kariakoo wametoa malalamiko mbele ya Waziri Mkuu ambapo wameilaimu TRA kwa kutokufuata taratibu sahihi za...
  13. K

    MHE. RAIS KWA HILI LA KARIAKOO ANZA NA WAZIRI WA FEDHA

    Kumekuwa na malalamiko lukuki kuhusu kodi na ushuru mbalimbali kwa Wafanyabiashara wa hapa nchini. Mshauri wako mkuu ni Waziri wa Fedha ambaye kwa ushauri wake anawaumiza wafanyabiashara na hii imefanya wafanyabiashara kugoma hasa pale Kariakoo. Ninavyoona mgomo huu utaenea nchi nzima kama...
  14. peno hasegawa

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba umeshindwa nini kipande cha Itigi-Rungwa-Makongolosi kuwekwa Lami?

    Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami? Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida. Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila...
  15. M

    James Dotto Ngosha 2025 gombea ubunge Chato. Rais Samia atakuteua uwe Waziri wa Fedha

    Alipokuwa katibu wa hadhina mapato yalisimamiwa vyema kwenda consolidated fund. Wewe unaweza kazi kuliko Mwigulu Nchemba. Gombea ubunge Chato ili 2025 upate uwaziri wa pesa.
  16. S

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba anasema na kutenda

    MFUMUKO MDOGO WA BEI TANZANIA (LOW INFLATION RATE IN TANZANIA 2023) Tanzania ni kati ya nchi chache Barani Africa zenye mfumuko mdogo wa bei ukilinganisha na nchi nyingine nyingi zenye mfumuko mkubwa wa bei kuanzia 5.0% mpaka 87.6%. mfano (Rwanda 30.3% & Zimbabwe 87.6%) Katika ripoti...
  17. Konseli Mkuu Andrew

    Wazazi jukumu lenu lisiwe ni kuwasomesha watoto tu, jitaidini kuwatafutia connection. Dunia imebadilika

    Salaam Wakuu. Dunia ya sasa mambo yamebadilika tofauti na miaka ya nyuma , (nasikia) zamani ukisoma hadi level ya degree ilikuwa ni rahisi sana kupata nafasi ya kazi pasina na hata kujuana na mtu katika idara au taasisi fulani.Wazazi wa wakati huo jukumu lao lilikuwa ni moja kuwapeleka watoto...
  18. Erythrocyte

    Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

    Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA. Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na...
  19. R

    Ungependa nani ateuliwe kuwa Waziri wa Fedha Tanzania?

    Let assume tunamtafuta mtu wa kumpa nafasi ya Waziri wa fedha; lakini kabla ya kuteua wewe mwananchi ukapewa nafasi yakupendekeza MTU ambaye Una Imani naye. Ungempendekeza Nani? Siyo lazima awe mwanasiasa anaweza akawa hata mtumishi wa umma au mfanyakazi wa private sector. Tutajane hakuna ajuaye.
  20. T

    Waziri wa Fedha, ni wakati muhimu wa kukaa na wafanyabiashara wadogo kabla mambo hayajaharibika zaidi

    Sielewi ni suala la ukadiriaji wa kodi ndio unawafanya TRA wafunge kwa wingi maduka ya wafanya biashara nchini' sielewi labda TRA wana njama za kumkomoa na kumchonganisha mh Rais ili azidi kuchukiwa zaidi, si kwa kufunga biashara kwa kasi ya ajabu kama hiyo. Lakini, kwani uchumi kwenu ukoje...
Back
Top Bottom