Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba umeshindwa nini kipande cha Itigi-Rungwa-Makongolosi kuwekwa Lami?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,799
21,370
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?

Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.

Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.

Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.

Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
 
Trioni 2 na ushee zimeshapigwa so far, sasa hivi wako bize kupora na kumuwekea mabago ya kumsifia Samia. nothing else.

Tunaeda kuwaadhibu kwenye ballot.2025

Billioni 35 za kuwahamisha Wamasai kutoka Ngorongoro zimepigwa.
 
Hiyo barabara inaenda kutokea mkoa gani ? Fafanua vizuri mama sisi wengine hatujui umuhimu wake
 
Hiyo barabara inaenda kutokea mkoa gani ? Fafanua vizuri mama sisi wengine hatujui umuhimu wake
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
 
Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.
Ina umuhimu mkubwa Sana, siku angetokea kiongozi wa nchi aweke plan ya miaka 5 ya kujenga barabara zote zinazounganisha wilaya na mkoa ingekuwa poa Sana
 
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?

Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.

Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.

Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.

Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
Nani kakwambia ameshindwa? Ujenzi umeanza kutokea Mkiwa Singida kuja Rungwa na Bajeti ya mwaka wa 2024/24 tenda Kwa vipande vyote inaenda kutangazwa ikiwemo Rungwa Ipole
 
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?

Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.

Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.

Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.

Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
Elimu ndiyo kila kitu, we hata ramani ya nchi nchi unaifahamu kweli? Ukitokea Mbeya kwenda Singida Dodoma unatafuta nini? Unapitia Iringa-Mtera-Dodoma-Manyoni-Singida-Nzega ndiyo urudi Tabora? We kweli huifahamu nchi yako km ni mtanzania. Hata mabasi yanayotopkea Dar-Tabora hayapitii Singida na Nzega tena. Unapitia Dar-Morogoro-Dodoma-Manyoni-Itigi-Uyui-Tabora. Ukitoka Mbeya-Tabora ruti ni Mbeya-Chunya-Itigi-Uyui-Tabora. Rombo umeshafika au unabwabwaja tu, hiyo lami imefika mlango kwa nani. Dogo tembea uone usiishi kwa kudhania. Barabara ya Rombo ni moja kutokea Moshi-Himo-Marangu_Rombo mkuu-Tarakea(mpakani mwa Kenya).
 
Chunya-Itigi Kuna lami we dogo?
 
Waziri wa fedha barabara hiyo ni kufungua mkoa wako wa Singida. Sasa ni nini kimekushinda kukiweka lami?

Ni barabara ya kufungua uchumi wa mkoa wa Singida.

Barabara hiyo inaunganisha mkoa wa Singida na Mbeya kupitia Wilaya ya Chunya, pia inazesha wananchi kutokea Mbeya kwenda Tabora bila kupitia Dodoma, Singida wala Nzega.

Kule Rombo kwa wakwe zako lami ipo hadi mlangoni.

Tafadhali Tafadhali barabara hii ni muhimu mnoooo
Amehamishiwa Ujenzi siku hizi?
 
Back
Top Bottom