waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Uingereza ametoka hadharani kutetea sera za Waziri wake wa Fedha. Tanzania Waziri wa Fedha anabebeshwa mzigo bila sababu

    Hili swala linafikirisha.. Waziri Mkuu wa Uingereza Liz Truss ametoka hadharani na kutetea sera za Uchumi za Serikali yake zilizowasilishwa na Waziri wake wa Fedha Kwasi Kwarteng.. Kwarteng aliwasilisha mpango wa kufufua uchumi ulioainisha msururu wa kukata Kodi Ili kuvhochea uchumi...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ukiwa Waziri wa Fedha usikubali kuyumba kwani utayumbishwa, nilimkubali sana Prof. Kighoma Malima kwa misimamo yake!

    Ukiondoa story za vijiweni na uzushi mwingi kumhusu alhaj Kighoma Malima RIP binafsi nilimkubali sana yule Prof kwa kunena na kutenda Kwake. Wakati akiwa Waziri wa Fedha nilikuwa nafuatilia jambo langu fulani ofisini kwa Mkurugenzi wa Utumishi Mr Mdidi ghafla waziri akaingia na kuongea kidogo...
  3. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Hivi Waziri wa Fedha ana taarifa bei za vyakula hazishikiki huko masokoni?

    Kama hana hiyo taarifa basi mfikishieni hizi taarifa. Mchele kwa sasa low quality unaupata kwa 3000-3200, high quality unaenda mpaka 4000. Unga, maharage, dagaa, tambi, ngano zote zinazidi kupaa. Wakati kama huu sasa ndiyo tulitakiwa tuone matumizi sahihi ya tozo, eneo la vyakula ni nyeti sana...
  4. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Waziri aagiza mabasi 60, Kampuni ya Esther

    Nawasalimu Wakuu, Nchi inaenda pabaya wakuu, TISS msaidieni mama. Hivi inakuwaje waziri anaagiza Yu Tong 60 halafu hamsemi kitu? Huyu Waziri Fedha hizi za Yu Tong 60 kampuni ya Esther, amepata wapi? Kazi kwenu! ======== Thread 'Mwigulu Nchemba ang'aka kuagiza mabasi 60, asema hana biashara...
  5. TIASSA

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba hafai kuongoza Wizara ya Fedha

    mfumuko wa bei doble taxation hapa anawakamua sana wananchi, madhara yake ni kupungua mzunguko wa pesa, uzalishaji deni la taifa limeongezeka kwa zaidi ya asilimia 10
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka imchunguze Waziri wa Fedha Dk. Nchemba kwani kufuru anazozifanya kwa timu yake ya Singida Big Stars zinatia shaka

    Kama hanyofoi pesa za Mama(Rais) za hazina kufanyia kufuru Klabu yake ya Singida Big Stars basi atuambie hizo pesa anazitoa wapi. Halafu mwambieni aache kuzuga na kuficha kuwa yeye si mwenye timu hiyo ya Singida Big Stars ili labda bosi wake mkuu asijue. Ukweli ni kwamba kwa 99.9% yeye ndiyo...
  7. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha ameudanganya umma, si kweli kwamba hawezi kutengua tozo

    Jamani eeh, hivi hawa viongozi siku hizi wanatuonaje wananchi? Wanadhani kwamba tuko mambumbumbu kiasi hiko? Iko hivi, siku zote muswada wa sheria hutungiwa nje ya bunge, kisha Bunge hutunga SHERIA MAMA, na baada ya hapo zinatungwa KANUNI na wizara husika. Hivyo kwenye suala la tozo, Bunge...
  8. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  9. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Kama kuna Ulazima wa Kubadili Jina la Waziri wa Fedha napendekeza David Kafulila au Zitto Kabwe

    Kama italazimu kupata Waziri mwingine wa Fedha badala ya Mwigulu Nchemba basi mmja wapo Kati ya David Kafulila almaarufu tumbili au Zito Kabwe wa ACT Wazalendo can make a good choice,huu ni ushauri Wangu tu sio lazima Mh. Rais aufuate. Sijaona mtu Mwingine yeyote wa kuvaa viatu vya Comrede Dr...
  10. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba awaambia Watanzania wahamie Burundi wasipoweza kulipa tozo za miamala

    Jeuri ya namna hii huwa wanakuwa nayo Wanasiasa wa Tanzania tu. Sababu wanajua Wananchi wa Tanzania wanaowalipa mishahara na posho. hawana la kuwafanya. Ni kauli iliyojaa dharau, kebehi, kiburi, ujivuni, ubazazi, ubaradhuli na ulaanatullah. Huyu amejikinai. Hawajali wananchi maskini wa...
  11. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba tunaomba uachane na uvaaji wa tai zenye rangi ya bendera ya Tanzania

    Wananchi wanaumia kwa sababu yako na tozo zako ambazo pamoja na kuzichukua zinawanufaisha nyie na familia yenu na kikundi chenu. Acha kudhalilisha bendera yetu kwa kuwaumiza wanachi na matozo ya kila aina mmekosa ubunifu bidhaa zimepanda bei bado unaendelea kuweka tozo hivi wewe na serikali...
  12. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sudan Kusini awafuta kazi Waziri wa Fedha, Gavana Benki Kuu

    Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir Mayardiit amewafukuza kazi Waziri wa Fedha, Agak Achuil Lual ikiwa ni miezi minane tangu alipomteua katika nafasi hiyo pamoja na Gavana wa Benki Kuu, Moses Makur. Baada ya uamuzi huo ambapo sababu hazijawekwa wazi, Rais Kiir amemteua Gavana wa zamani Dier Tong...
  13. Mudawote

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mteue Dkt. Ashatu Kijaji kuwa Waziri wa Fedha na Mipango

    GTs, Nina maoni: Naona kabisa Mh. Rais akimteua Dkt Ashatu Kijaji kwa nafasi ya waziri wa Fedha na Mipango itakuwa vema kwa uchumi wetu. Sababu: 1. Dkt Ashatu ni msomi na mbobevu katika masuala ya mipango na fedha. 2. Dkt Ashatu ni muadilifu na mwenye maadili 3. Dkt Ashatu ni mcha Mungu na...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa Nchi unapodorora kama huu wa Tanzania, lawama ziende kwa Rais au Waziri wa Fedha?

    Sasa ni dhahiri kwamba maisha ya Watanzania yamekuwa magumu kuliko awamu zote zilizopita , familia nyingi sasa zinakula mlo mmoja tu, huku Maharage yakiwa Chakula Muhimu kabisa. Ni kweli kwamba Mambo ya Utekaji, kuokota viroba vya maiti baharini na kwingineko na ubambikaji kesi za uongo...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  16. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Serikali itabadilisha lini saini ya Waziri wa Fedha kwenye noti?

    Kama mnavyojua aliekuwa Waziri wa Fedha kipindi hicho ni Dkt. Mpango na kwa sasa ni Makamu wa Rais hivyo noti za fedha zilikuwa na saini yake akiwa kama Waziri, kwa sasa Waziri Ni mwingine je! Kwanini saini ya Waziri husika isiwekwe kwenye noti? Mpaka sasa akija mgeni asiyejua au mtoto anaenza...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Nchemba: Nchi inayoendelea lazima ikope

    NCHI INAYOENDELEA LAZIMA IKOPE "Duniani kote nchi zinazotekelea miradi mikubwa ya maendeleo na zenye uchumi mkubwa, zina madeni makubwa, ipo hivyo nendeni mkaangalie Huwezi linganisha uchumi wa Tanzania na Marekani,” - Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Kuna nchi masikini hazina madeni na...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba awa Waziri wa Fedha wa kwanza kuingia na msafara huu Bungeni

    Kila nikikumbuka mwaka 2015 alivyochora mawe na madaraja kwamba yeye ndie Rais ajaye naanza kuamini jamaa anapenda siku moja awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Juzi kaenda kusoma bajeti ya mwaka mpya wa fedha bungeni, msafara wake sio mdogo yaani hadi mapikipiki ubavuni mwa gari lakr...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na pendekezo la Waziri wa Fedha kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa arudishwe kwenye mshahara wake wa awali

    Nimefuatilia hotuba ya Bajeti ya mwaka 2022/2023 na kwenye kipengele kinachosema kuwa kama mtumishi wadhifa wake umetenguliwa basi arudi kupokea ule mshahara aliokuwa anapokea kabla ya uteuzi. Hili ni pendekezo. Binafsi sikubaliani kabisa na pendekezo hili. Mhe. Waziri usije ukaleta vurugu...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kiswahili kitumike katika usaili wa Watumishi Serikalini

    Kiswahili ndio lugha yetu inatambulika SADC na Umoja wa Afrika. Wazri wa fedha ahoji sababu ya kufanya usaili wa watumishi wa serikali kwa lugha ya kiingereza na kushindwa kukipa nguvu Kiswahili. Ameshauri kishwahili kitumike katika usaili
Back
Top Bottom