Aliyependekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha alaaniwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,355
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungeni HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO, ANAPASWA KUTIMULIWA.

Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na Kiburi cha kishamba, asiyepaswa kupewa majukumu yoyote ya umma, hii ni kwa sababu Mtumishi wa umma anawajibika kwa umma wenyewe, anapaswa kuwa mnyenyekevu na mwenye kuwaheshimu anaowaongoza, sifa ambazo Mwigulu hana.

Ni nani aliyempendekeza huyu mtu duni mwenye mapungufu yote kabisa kuwa Waziri wa wizara nyeti ya fedha? aliyempendekeza alilenga kushirikiana naye kwenye nini?

NATANGAZA LAANA YA MILELE KWA MTU HUYO, AMINA.
 
53884462-5e8e-4ada-9c2d-69917bdff448.jpg

 
Waziri yeyote wa Tanzania ni Mtumishi wa Umma, anatumikia wananchi, HAJITUMIKII BINAFSI , hivyo basi Waziri yeyote anayetukana wengine na kukataa kujibu maswali anayoulizwa bungemi HAPASWI KUENDELEA KUWA KWENYE CHEO HICHO , ANAPASWA KUTIMULIWA.

Mwigulu tangu awali ni mtu mwenye majivuno na Kiburi cha kishamba , asiyepaswa kupewa majukumu yoyote ya umma , hii ni kwa sababu Mtumishi wa umma anawajibika kwa umma wenyewe , anapaswa kuwa mnyenyekevu na mwenye kuwaheshimu anaowaongoza , sifa ambazo Mwigulu hana .

Ni nani aliyempendekeza huyu mtu duni mwenye mapungufu yote kabisa kuwa Waziri wa wizara nyeti ya fedha ? aliyempendekeza alilenga kushirikiana naye kwenye nini?

NATANGAZA LAANA YA MILELE KWA MTU HUYO , AMINA .
Dah, limekukera mkuu mpaka umeamua kutangaza laana kabisa 😁
 
Kwani MAMA kasinzia mpaka asione viroja vya mteule wake mama ondoa takataka lile kwenye wizara yetu ya pesa limeshiba linatujambia wapishi
Atafanyaje sasa mama wa watu ingali kuna kijogoo toka Msoga kashikilia remoti?!

Mwigulu kawekwa pale kimkakati. Kipindi JK yuko madarakani awamu ya kwanza Mwigulu alikuwa muweka hazina wa CCM na aliajiriwa BOT obviously ni chawa mtiifu na yupo heartly affiliated na Msoga family & co.
 
Back
Top Bottom