waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BAJETI YA SERIKALI 2022/23: Mwigulu Nchemba akitoa Taarifa kuhusu hali ya Uchumi

    Tufuatilie hapa kwa taarifa zote kuhusu bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2021/22 Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba anatarajia kusoma bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2022/23 leo Juni 14, jioni bungeni. Bajeti inayopendekezwa ni Tsh. Trilioni 41.9 ikiwa ni ongezeko...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha yaomba kuidhinishiwa Trilioni 14.94 kwa mwaka 2022/23

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba ameomba Bunge kuidhinishia Wizara hiyo Bajeti ya Trilioni 14.94 kwa Mwaka wa Fedha 2022/23. Akizungumza Bungeni amesema miongoni mwa changamoto zilizoikumba Wizara hiyo ni mfumuko wa bei katika soko la ndani na kasi ndogo na ukuaji wa Pato la...
  3. Hussein Massanza

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Magari yetu ya Mizigo yanakwama sana Mpakani Horohoro, nitachukua hatua

    Nimekutana na ujumbe wa Waziri wa Fedha wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, aliouchapisha kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii nikaona niulete hapa kama taarifa. Ameandika: "Nikiwa safarini kuelekea Mombasa kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha kutoka nchi za...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani alipendekeza Mwigulu awe Waziri wa Fedha na Makamba Jr awe Waziri wa Nishati?

    Habari Watanzania, Hivi kweli nchi ya Tanzania, Mwigulu aliyeibuliwa na JK, baada ya sakata la Escrow, kijana wa kazi chafu kabisa kutokea huko UVCCM wkt huo...mkaona ndie awe mtunga sera namba moja za Fedha, na mshauri mkuu wa Uchumi wa Rais ktk Taifa hili? Mlikuwa mnajaribu? Au kuna kazi...
  5. comte

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu kajifunze kwa Mzee Msuya na Mtei. Bajeti ya nchi haiwezi kuchezewa

    Mh Mwigulu nakushauri uende kuwaona wazee wawili- mzee Msuya na mzee Mtei ambao nina hakika unajua walikuwa mawaziri wa fedha kama wewe wakati ule wa shida kuliko hizi za leo- ila walisimamaia bajeti na kutoa maelezo ilipobidi. Unaendeshaje uchumi wa nchi namna hii- yaani ni unazidiwa na mama...
  6. W

    JamiiForums Tanzania Tunaomba Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu afafanue hizi pesa zimefanya nini?

    Bajeti ya mwaka 2021/2022 iliyopitishwa na Bunge ukiondoa masuala ya kulipa deni la taifa na matumizi ya serikali ikiwemo kulipa mishahara ya Watumishi, kiasi cha Shilingi Trillion 4 zilitengwa kwaajili ya maendeleo ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa na vituo vya afya. Baadaye tukapata...
  7. Interest

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu: Sijasema fedha za AZAKI ipewe Serikali

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba amemaliza mkanganyiko wa taarifa kuhusu fedha za USAID na AZAKI ambayo ilionekana kutoeleweka vizuri na baadhi ya vyombo vya habari, wanaharakati na wadau mbalimbali. Itakumbukwa kuwa juzi akiwa Dodoma alifanya kikao kwa njia ya mtandao na...
  8. Mromboo

    JamiiForums Tanzania Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Aziomba hela za NGO's kutoka USAID

    Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi? Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Tofauti na tozo, Waziri wa Fedha amefanya nini mwaka mmoja Toka akabidhiwe ofisi?

    Jana niliuliza kuhusu majukumu ya Mhe. Waziri wa mambo ya nje, Leo naangazia utendaji wa Mhe. Waziri wa Fedha. Naomba anayeweza kueleza Mhe. Waziri wa Fedha wa Tanzania amebuni mikakati Gani yakukuza uchumi? Tofauti na kukopa pamoja na kutoza wananchi tozo ni kipi kipya chenye tija alichofanya...
  10. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tulikaa kikao na Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kujadili mkopo. Iko wapi nafasi ya Baraza la Mawaziri?

    Nikiendelea na uchambuzi wa hotuba ya juzi ya Rais Samia, kuna sehemu alisema walikaa kikao cha watu watatu, yaani yeye Rais, Katibu Mkuu Kiongozi na Waziri wa Fedha kuhusu kufanya maamuzi juu ya masuala mkopo na hali ya nchi kwenye ukopeshwaji! Kauli hiyo imenitia mashaka. Nimejiuliza iko wapi...
  11. My Son drink water

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigullu Nchemba, ujue kuna kesho!

    Mwigulu Nchemba, Kaka yangu, shikamoo, natumaini u mzima wa Afya wewe na familia yako. Cheo ulichonacho ulipewa na Mungu na siyo mwanadamu kama wewe uonavyo ktk macho ya Damu na nyama (physical world) ktk ulimwengu wa Roho (Spiritual world) ni Mungu ndo alikufanya uwe Waziri. Mungu alikupa hiyo...
  12. beth

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Imekuwa utamaduni wa Serikali kufukuza wamachinga

    Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema imekuwa utamaduni wa Serikali kuwafukuza Wamachinga kwenye maeneo yao ya biashara na kuwapeleka pembezoni, na maeneo ambayo sio wezeshi kufanya Biashara. Amesema, "Kuthibitisha Serikali haijali kundi hili la Wafanyabiashara wadogo hata kwenye Mpango...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Eng. Masauni ajitokeza kwenye vyombo vya habari toka ateuliwe kuwa Naibu Waziri wa Fedha, kweli reshuffle imekaribia

    Mara nyingi ukiona manaibu Waziri waliokuwa wamekaa kimya wanajitokeza na kutoa press Basi nidalili za kuamsha dude wasijeonekana wamepwaya. Unakumbuka mjadala mkubwa unaoendelea mitandaoni baada ya kuteuliwa kwa mbunge stagomena Tax Ni juu ya mabadiliko ya baraza la Mawaziri. Kipindi chote...
  14. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Uingereza ametangaza kushusha umri wa kustaafu kufikia miaka 63 kutoka 72

    Badiliko hili limelenga kuwasaidia babu na bibi kupata nafasi ya kulea wajukuu na kuwezesha idadi ya watu kuongezeka. Wengi wanaofanya kazi wanapata changamoto za gharama kubwa ya malezi ya watoto, jambo kinalopelekea wengi kuamua kutozaa. Kwa badiliko hili jipya, ukifikisha miaka 63 unaweza...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba si mbunifu

    Nakiri kama nchi hii msomi wa ngazi ya PhD anaweza kufikiri kama darasa la saba, ni jambo la kusikitisha sana. Mimi nisingeshindwa kusema naogeza tozo kwenye miamala, natoza kodi ya Nyumba kwenye luku, naongeza bei ya mafuta. Je, ijahitaji PhD kufikiri vitu hivyo? Je, nini kinafanyika kwa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba uko very Knowledgeable, ila you're very Poor in Communicating, lifanyie kazi tafadhali

    Kama kuna Kitu ambacho bila Unafiki au Sanifu au Kukudanganya nakipenda Kwako ni Uwezo wako mkubwa wa Maarifa uliyonayo hasa juu ya Fani yako na Exposure ya Wastani. Ila Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kama kuna tatizo Kubwa ulilonalo ni la Uwasilishaji wa Jambo katika Public (...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Serikali imekusanya bilioni 48 kutoka kwenye Tozo za miamala ya simu kwa wiki nne

    Wakuu, Waziri wa Fedha, Dr Mwigulu Nchemba anazungumza na waandishi wa habari muda huu kuhusu miradi ya Serikali pamoja na Tozo za miamala ya simu pamoja na mafuta. Kuwa nami kukujuza yanayojiri ========== Mwigulu Nchemba-Waziri wa Fedha na Mipango =▷ Itakuwa aibu mtanzania yoyote alie hai...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Charles Kimei anza kupiga 'jaramba', huenda muda wowote ukamrithi aliyeleta tozo za ovyo

    Kuna Watu wameteuliwa ila hawajui tu kuwa wapo katika 'Sacrifice List' ya 'Mama' kutokana na Rekodi zao mbovu na pia kwa Tamaa zao za Kuutaka sana Urais tena wa 2025. Hakika 'Mama' kwa Kusaidiwa na Taasisi fulani 'Muhimu' nchini anaonyesha kuwa japo Yeye ni Mwanamke ila katika Umafia wa...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa Fedha

    Hiki kindumbwendubwe cha mpesa kimeonyesha uwezo mdogo wa waziri wetu wa fedha. Kiukweli huyu kakayangu kapwaya kwenye viatu kwa Dr Mpango. Nilitamani Mpango arudi lakini kwa nafasi aliyonayo itakuwa kumshusha hadhi. Mie napendekeza Dr Edwin P. Mhede ateuliwe kuwa waziri wa fedha, huyu ni...
  20. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Fedha haina Waziri makini. Tutakwama!

    Katika wizara ambayo ambayo haikutendewa haki ni wizara ya fedha. Sijui mama Mama alikwambia wapi kumpa Dkt. Mwigulu Nchemba dhamana ya kusimamia wizara ya fedha. Sijui mamlaka zetu zilikwama wapi kumshauri Mama kuhusu uteuzi huu. Wizara ya fedha inahitaji mtu smart ambaye amekua kwenye field...
Back
Top Bottom