waziri wa fedha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. fasiliteta

    JamiiForums Tanzania Mwigulu, it's enough. You MUST resign!

    Mamlaka ya uteuzi tuseme Sasa imetoshaaaaa Tozo ya Mafuta juu Tozo ya Fedha mitandaoni juu Tozo ya kiwanja kwa luku Makato ya kwenye vocha juu. Kodi ya pembejeo za kilimo mara mbili Nauli mabasi mikoani juu (bado daladala any time wanapandisha) Mnataka tuishije sasaa? Najiuliza inamaana...
  2. Upepo wa Pesa

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Makamu wa Rais ni PhD holders wa uchumi. Tunakwama wapi?

    Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu? Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi? Makamu wa Rais ni PhD holder wa uchumi/fedha na Waziri wa Fedha ni PhD holder wa uchumi kutoka pale jalalani...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa fedha kasema kodi zote zimeishapitishwa na bunge hivyo yeye hawezi kufuta

    Waziri Mheshimiwa Dkt. Mwigulu kasema kodi zote tayari zimepitishwa na Bunge hivyo hawezi kuziondoa hata kama tutapiga kelele usiku na mchana, kwa hiyo tutulie sindano iingie vizuri mpaka tuseme inyeeeeeee!
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kinachokwenda kufanyika kwenye miamala ya simu, ni Serikali kuuchukua tena uchumi sadifu wa kati kwa walala hoi kwamba hawastahili kuwa nao

    Sijui ni kivipi mtu anapofika kwenye level fulani ya maisha hutaka kuilazimisha akili yake kuwa na wengine wote wako kama yeye Badala ya kurudisha akili zake kule alikotoka ili ayapime maisha aliyopitia na hatimaye aone pia wale ambao bado wako huko wanapitia ugumu uleule aliowahi kuupitia yeye...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nitashangaa na kusikitika kama hatutampongeza Dkt. Mwigulu Nchemba na kubadilika kwa ukweli mchungu huu

    "Watanzania waache kuwekeza sana katika Bajeti za Kunywa Pombe kila mara huku wakishindwa hata tu kukata Bima kitu ambacho nadhani kwa Mtu makini ni muhimu zaidi katika Maisha yake " Chanzo: Cloudstv 360 Mtani wangu kutoka Mkoani Singida Dk. Mwigulu Nchemba unajua fika kuwa GENTAMYCINE...
  6. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha: Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’

    Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali itaanzisha ushuru wa huduma za mitandaoni ‘Digital Service Tax’, “hili ni eneo jipya ambalo tunalifanyia kazi, katika bajeti zinazofuata litakuwa ingizo jipya. Mataifa mengi yanageukia kodi hii.” Kazi na iendelee!
  7. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ukimaliza Awamu ya Sita ukiwa Waziri wa Fedha basi wewe jiwe

    Hizi wizara mawaziri mnazibumunda sana na kuzichechemesha. Kama umekaa na jopo lako la kitaalamu la kikodi na ukaja na uteuzi wa samatta, kumwembe sijui na mobeto kuwa waelimishaji rika wa kodi unapoteza kani na sijui hii itakusaidia vipi kuongeza wigo na mapato ya kodi. Kama ni matakwa yako...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba: Yanga SC tuachaneni na Morrison kwani Makambo anakuja

    Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, kukata hela katika muda wa maongezi ni chanzo cha mapato

    Kuna kitu ambacho sikielewi kwa hawa viongozi wetu hususani katika Muhimili wa Bunge, hawa wabunge hawalipi kodi yoyote katika posho zao na wanapokea posho nyingi tu ambazo hazina makato. Lakini cha ajabu wanapopewa jukumu la kubuni vyanzo vya mapato kwao uwa ni mtihani mkubwa sana japokuwa...
  10. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu ninaomba ufafanuzi wako kidogo juu ya Makato ya Vocha

    DKT MWIGULU, WAZIRI WA FEDHA NINAOMBA UFAFANUZI KIDOGO JUU YA MAKATO YA VOCHA. Na Elius Ndabila 0768239284 Kwanza Mhe Waziri nikupongeze kwa hotuba YAKO nzuri ya Bajeti. Mimi si mchumi, lakini niliisikiliza na nimeisoma nimeona ni bajeti ambayo inagusa maisha halisi ya Mwananchi. Ni bajeti...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hiyo Kodi itakayotozwa pindi nitakapokuwa naingiza vocha ni tofauti na hii ambayo anakatwa mtoa huduma (VAT)?

    Mh waziri ukweli ni kwamba Mh Zungu anakudanganya utarudisha huo uwaziri kwa mama siku zinahesabika. Hivi wewe Mwingulu na PhD yako ni wa kuokota mawazo ya kijinga ya Zungu? Uzalendo haupimwi kwa kulipa tozo za kuumizana, Mh waziri ivi hiyo Kodi itakayo tozwa pindi nitakapokuwa naingiza vocha...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kuwalinganisha Marais kufanywe na watu walio nje ya mfumo tu

    Hii tabia ya kuanza kufanya uchambuzi wa kuwalinganisha viongozi wetu wakuu naona ingali bado inaendelea, binafsi nilimsikia Mhe. Rais mara kadhaa akikemea jambo hili lakini bado kuna watu tena wateule wa rais wanaendelea na hii tabia Uwaziri ni cheo cha heshima sana sasa inakuwaje mtu anaacha...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali 2021/2022 ni Trilioni 36.33, Bodaboda na Madiwani Waneemeka, Barabara hadi Vijijini, Miradi kuendelea, Watanzania Kufunga Mkanda

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Nchemba leo Juni 10, 2021 katika Bunge la Tanzania jijini Dodoma saa 10:00 jioni anawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mwaka wa fedha 2021/2022. Hii inakuwa bajeti ya kwanza kwa serikali ya awamu ya Sita na Waziri...
  14. beth

    JamiiForums Tanzania Bungeni, Dodoma: Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba aeleza changamoto za Wizara hiyo

    Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba amesema licha ya kutekeleza majukumu, Wizara hiyo imekumbwa na changamoto mbalimbali Akiwa Bungeni, ametaja baadhi kuwa ni ugumu wa kutoa viwango stahiki vya fidia kwa waaathirika wa ajali za mali za Serikali kutokana na kukosekana #Sheria/Mwongozo wa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Katibu Mkuu na Wakuu wa Idara na Vitengo waliohusika katika malipo wawajibike

    Waziri Mkuu aliiibua matumizi mabaya ya fedha za Umma katika Wizara ya fedha. Kiasi cha shilingi Bilioni 2 na ushee, zililipwa ndani ya watumishi wa Wizara husika isivyo halali. Waziri aliagiza Mkurungezi wa TAKUKURU kuchunguza, na aliwataja watumishi 9 kusimamishwa kazi wakisubiri uchunguzi wa...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Charles Kimei: Serikali itakuwa tayari kurejesha Kodi iliyokusanywa kwa shinikizo? Mwigulu amjibu

    Leo Bungeni, Mbunge wa Vunjo ameuliza swali lililoanzia kwenye misamaha ya kodi kwenye taasisi za dini ambapo Waziri Mwigulu alisema Taasisi za dini zinazofanya shughuli za kiuchumi kwa lengo la kujipatia faida zinatakiwa kusajiliwa na TRA kama wafanyabiashara wengine na kulipa kodi ya mapato...
  17. sammosses

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Tanzania hawaeleweki dhamira yao ya utumishi imesimamia maslahi ya Taifa au imesimamia maslahi ya mabosi wao

    Tanzania yetu ya watanzania ina Watanzania wenzetu ambao ni viongozi wa ajabu Sana katika utendaji wao wa shughuli za kila siku. Huwezi kuwajua misimamo yao imesimamia wapi Wala ukitazama vision yao kwa Taifa ni kinyume na matarajio na matakwa yao katika utumishi wao. Leo unaweza kuwa na...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akutana kwa mazungumzo na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Isdory Mpango leo Mei 04, 2021 amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. Viongozi hao walifanya mazungumzo hayo kufuatia ziara iliyofanywa na Dkt Mwigulu ofisini kwa Dkt Mpango Ikulu ya...
Back
Top Bottom