Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,109
- 18,326
Nimemsikia mkapa akisema enzi zake za uongozi aliwahi agiza baraza la usalama la Taifa wafanyie vikao vyao dodoma.
Sijawahi sikia kitu kinaitwa baraza la usalama la Taifa kwa Tanzania.
Nimejiuliza
1. Hilo baraza lina watu wa namna gani
2. Kina nani ni member wa hilo baraza
3. Muundo wa baraza hilo upoje
4. Hilo baraza limeundwa kwa sheria ipi
5. Kazi yao muhimu ni nini.
6. Kuna doc yeyote inaonyesha uumwaji wake kama ilivyo TISS.
Nchi nyingine hata wikipedia unapata taarifa zake.