Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

Jaffo amekosa ubunifu, post zote hizo mbili hazitaki watu wa kupelekeshwapelekeshwa Kama huyu mzee wa nyungu.
Huyu ajiandae tu kuwa naibu wa Waziri

Usilolijua Siku zote ni sawa na Usiku wa Giza.
 
Kulikua na stori ya Paul Makonda kufit hizi sehemu mbili na kwa muda tajwa. Kwahiyo zile stori za Paul Makonda ndiyo zimefia hapa kwenye hii stori yako?
 
Na kile kigugumizi anaongea kama anakula akae Tamisemi tu

Umeshajiuliza ni kwanini katika Biblia Takatifu pamoja na kwamba Musa ( Moses ) Mkombozi wa wana Israeli alipomwambia Mwenyezi Mungu kuwa hawezi kwenda Kuwakomboa wana wa Israeli kule Misri kwa Farao kwakuwa hajui Kuongea Kuongea ana Kigugumizi ( Stammerer / Speech Impaired ) na amchague Mtu mwingine aende, lakini bado Mwenyezi Mungu alimkatalia na akasema Yeye ( Musa ) ndiyo aende na atampa Msaidizi wake Aron?

Leo hii unapombagua na kumpinga Selemani Jaffo kwa Kigezo cha Yeye kuwa na Kilema chake cha Kuongea unajua kuwa hakuna Rais mwenye Kigugumizi kikali kama Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda?

Mwisho nikuombe tu kama Wewe ni Mcha Mungu hapo ulipo Piga Goti Tubu Kwake kwa Kitendo chako cha Kuudharau Uumbaji wake kwa huyo Selemani Jaffo ambaye unakicheka na kukidharau hicho Kigugumizi chake lakini tambua ya kwamba HUJAFA HUJAUMBIKA hapa duniani.
 
MSISHANGAE , ANNA MGWIRA ANAKUWA PREMIER 2020 , AU KA UNA BISHA NJOO INBOX NIKUPE VIDEO CLIPS .

Binafsi siwezi kuja huko Inbox Kwako kwa Mambo ya Kipuuzi ambayo yanatoka kwa Watu wa Vijiweni tu. Jaffo ni ama Premier au President period.
 
Back
Top Bottom