Waziri Mkuu, maagizo ya viongozi waandamizi yanafanywa kuwa rasmi na kusambazwa kwa ajili ya marejeo?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
877
4,106
Mfumo wa serikali unaenda kwa maandishi, nadhani kinachotokea nikutokuwa active kwa wasaidizi wa viongozi waandamizi.

Ofisi ya katibu mkuu kiongozi ikitoa forma directive kuhusu tamko la kisera la Mhe. Rais sidhani kama kuna mtu atapuuza. The same applies to Makamu wa Rais na Waziri Mkuu.

Ninashauri serikali irejee kwenye karatasi kwa kauli mbiu ya GOVERNMENT WORKS ON PAPERs ". Hii itakuwa tiba ya kauli zinazodaiwa kuwa za kisiasa.

Uwajibikaji ukiwa mzuri juu hata hoja za ukaguzi zitaondoka kwa sababu maamuzi yataambatana na maandishi ya mtoa kauli.

Mara nyingi waziri mkuu amekuwa akikemea maamuzi yasiyo na maandishi hivyo ni vyema yeye pia akaielekeza serikali kuweka kumbukumbu sawa na kuziwasilisha.
 
TRA hawana kosa masikini wamefata kanuni zinasemaje lakini ndiyo ivoo wanatolewa kafara nchi ngumu hii.
 
Back
Top Bottom