wazi

Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Video: Mbatia aitaka serikali iweke wazi msimamo wake kuhusu Ushoga

    Mwenyekiti wa zamani wa Nccr Mageuzi Mhe. James Mbatia, akiwa anafanya mahojiano na Edwin Odemba ameitaka Serikali iweke bayana msimamo wake kuhusu suala la ushoga na usagaji. Mbatia amesema, "Napinga Ushoga kwa nguvu zangu zote, Mungu alituleta hapa Duniani tuzaliane na kuijaza Dunia...
  2. JamiiForums Tanzania Hamas wameshashinda mapigano. Dalili zipo wazi kabisa.

    Hamss wameshashinda mapigazo ya Ghaza. Kinachowafanya mazayuni wasinyanyue bendera nyeupe kuashiria kushindwa ni kibri tu na kuogopa kulipishwa gharama zote za vita na watu waliowauwa hovyo. Kwenye nedani wameshindwa, hakuna hata sharti lao moja walilolipta, kwenye siasa wameshindwa, sasa hivi...
  3. JamiiForums Tanzania tukisema turudie kuhakiki NIDA,PASSPORT na hati za ardhi tunaweza kubaki mdomo wazi

    nakumbuka niko kwa madiba jamaa yangu alibahatika kupata uraia na kupata kitambulisho cha taifa ila kiligeuka mateso kwake sababu si rahisi hata mwenyeji kila mtu kupata kutokana taratibu zake. ukija huku kwetu yani nahisi hata mchina kukuta ana kitambulisho cha taifa,swala la passport ndio...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM kukataa mabadiliko ya miswada 3 inayopigiwa kelele na wote ni wazi wana nia ovu. Watanzania tusikubali

    Kama una nia njema huwezi kukataa kitu ambacho watu 99.999% wanakipigania ila wewe tu mmoja unakataa. By necessary implication ni kuwa wewe una nia OVU. Katiak social science kuna WENGI WAPE as opposed to natural science, na hivyo CCM inabidi ikubali matakwa ya wengi. Kuna mambo hayahitaji...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Gharama za Lipa namba ziwekwe wazi kama miamala mingine

    Mtandao ya simu imerahisisha huduma ya kulipa vitu mbalimbali ikiwemo malipo ya serikali na biashara binafsi. Ni kawaida kwa sasa kukuta biashara ina LIPA NAMBA ambapo mtu anaweza kulipa kwa namba hiyo. Hata hivyo katika kutumia lipa namba, kuna gharama ambayo mteja anakatwa, lakini gharama...
  6. B

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Uchambuzi ziara ya muenezi Paul Makonda, serikali ya CCM 2024 kukosa kura?

    January 2024 TATHMINI YA ZIGO ZITO ALILOTWISHWA MUENEZI PAUL MAKONDA KURUDISHA IMANI KWA RAIA Ziara ndefu ya Paul Makonda ambaye ni katibu uenezi, itikadi na mafunzo wa CCM imeibua na kuweka wazi jinsi chama hiki kongwe dola kimeshindwa kuweka mifumo ya utawala bora. '...
  7. JamiiForums Tanzania Jeshi la Uhamiaji limeumbuka kiutendaji, CDF-JWTZ ameeleza wazi waliyoshindwa kueleza

    General JJ Mkunda. Commissioner General Immigration Anna Makakala. Jeshi la Wananchi Tanzania kupitia Mkuu wa Jeshi JWTZ, has again done us proud. Mkuu wa Jeshi, CDF General Jacob John Mkunda amelezea tishio la usalama wa nchi kutoka angle ambayo kuna jeshi lingine lipo kwa ajili hiyo...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Demokrasia na ukanda hapa Tanzania vina uhusiano? Naona ni wazi kabisa awamu ya 2, 4 na ya sasa walau kuna unafuu kuzidi awamu zingine

    Raisi akitokea ukanda wa pwani na visiwani yani mikoa ya Pwani, Dsm na Zenji naona kunakuwa na unafuu sana kwenye Demokrasia kuliko Raisi akitokea mikoa ya bara. Enzi za Nyerere ilikuwa ni ngumu sana hata kusikia habari zake negative, Hii ilipelekea asifiwe kuzidi uhalisia, nakumbuka watu kama...
  9. JamiiForums Tanzania Namibia: Serikali yaweka wazi kuwa Rais Hage amekutwa na Ugonjwa wa Saratani

    Serikali imeweka wazi taarifa za vipimo vya Afya vya Rais Hage Geingob (82) na kuueleza Umma kuwa kiongozi huyo amekutwa na Ugonjwa wa Saratani na anatarajiwa kuanza matibabu kama ambavyo Madaktari wake walivyoelekeza. Taarifa ya Serikali imesema Rais huyo amekuwa akifanya vipimo vya afya mara...
  10. JamiiForums Tanzania Ni wazi Rais Samia kazidiwa ujanja na aliowaamini

    Sukari bei juu! Umeme mwaka wa 4 leo tokea aingie madarakani ni kero! Miradi ya ki mkakati kama reli ya mwendokasi danadana kila uchwao! Ufisadi na uzembe kwa Watumishi wa Umma umetamalaki! Nishati ya mafuta bei juu! Thamani ya Shilingi ni kupungua thamani kila uchwao! Mfumko wa bei...
  11. JamiiForums Tanzania Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

    Nimekaa coco beach naangalia jinsi meli kubwa kubwa za mizigo zikikaa hapo takribani week 2 zikipanga foleni nimejikuta natafakari vitu vingi sana. Gwajima Mtumishi wa Mungu, mchungaji mkubwa ambaye anamiliki pesa nyingi sana pamoja na ndege binafsi( kwa mujibu wake). Machozi yamenifika...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu jimbo liko wazi kwa Zuchu

    Kama haufagilii mizigo mikubwa mikubwa ya Sheikh Kipozeo unapenda wastani basi mali hii hapa imerudi sokoni wakuu.
  13. JamiiForums Tanzania Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

    Moja kwa moja..
  14. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Fidia ya Kipunguni A mbona danadana nyingi, TAA tuambieni ukweli

    Ni kipindi cha miaka karibu 23 hivi tathmini ya kwa ajili ya uhamisho wa Kipunguni imekuwa ikifanyika bila mafanikio, hivi karibuni imefanyika tena na Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba akathibitisha kuwa malipo yako kwenye hatua za mwisho, mwezi wa nane yatafanyika. Na kuwa hakuna mkutano...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar lakini ukweli namna Kassim Hanga alivyouwawa hauwekwi wazi

    Mpaka leo Dunia nzima haijapata ukweli kama alipigwa risasi au kutumbukizwa baharini. Hanga alikubalika sana kwa uwezo wake wa kudadavua mambo na kuwa na ushawishi mkubwa ndio maana Mzee Karume alimchukia. Hii ni kwa mujibu wa mzee Aman Than Kwa nini CCM hawaweki ukweli huu?
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi za mamlaka ya mapato Tanzania (TRA ) kuwa wazi tarehe 30 NA 31 December, 2023

    Ofisi za TRA zitakuwa wazi siku yavtarehe 30 na 31 Desemba ,2023 ili kuweza kuwahudumia wananchi na walipa kodi
  17. JamiiForums Tanzania Ukiona kuna Nafasi ya Uteuzi iko wazi na anafutwa Mtu halafu kisha akajadiliwa mno JamiiForums jua kwa 100% hapati tena

    Kabla ya Kukurupuka kuja Kubishana nami juu ya hiki nilichokisema tuliza Kwanza Akili yako, fanya Utafiti wako hapa JamiiForums na nina uhakika mwishoni utakubaliana nami 100% Na mara nyingi hii huwa ni Strategy ya System na Wasaga Kunguni ( Watu wasiopenda na kukupenda ) katika kutaka kujua ya...
  18. JamiiForums Tanzania Katavi: DC Jamila asitisha zoezi la uwekezaji mpaka taratibu ziwekwe wazi

    Wananchi wa Kijiji cha Mtisi, Kata ya Sitalike Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wamemgomea mwekezaji anayetaka kuwekeza katika maeneo ambayo yapo karibu na mto ambapo maeneo hayo ndio tegemeo la kuhifadhi chanzo cha maji ya mto huo. Bosco Chamtepa, Mwajuma Bashiri na Abel Mazuke wamesema...
  19. JamiiForums Tanzania Picha inayohusishwa kuwa ni Joshua akiwa katika gwanda za Jeshi la Israel

    Jeshi la Hamas ni nadra sana kuvaa kiraia, pia huficha nyuso zao kamwe hazionekani. Lakini wauwaji wa Joshua walikua hawana nguo za jeshi wamevaa kiraia na pia nyuso zao zilikua wazi. Kwanini Hamas hufunika nyuso zao? Hamas daima hufunika nyuso zao. Watu hawa, ambao hawajajulikana ni wakina...
  20. JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa wizara ya afya, tamisemi na wahusika wengine

    Salamu ziwafikie nyote, Naandika kwa wino unaovuja damu pia nitajitahidi kukosoa kwa staha, baada ya hosipitali ya amana kupewa hadhi ya rufaa, kuna hosipitali ilijengwa huku kivule ambayo inajulikana kama hosipitali ya wilaya ya kivule, mgonjwa anatakiwa aanzie hapo ndipo apewe rufaa ya kwenda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…