Bug Juice is a Disney Channel reality series that premiered on February 28, 1998. The series focuses around 20 kids and their experiences at summer camp. Together, the kids work hard to excel in their activities and become friends. The phrase bug juice is a camping slang term for a very sweet juice drink made from powdered mixes, such as Kool-Aid, which are often served at summer camps.On August 4, 2017, Disney Channel announced a revival series based on the original, titled Bug Juice: My Adventures at Camp, which premiered on July 16, 2018.
Wasalaam
Ni wazi kila Mtanzania anajua kabisa hali iliyokuwa nayo shirika la nyumba la Taifa kabla ya ujio wa awamu ya tano ya Hayati John Magufuli... ni wazi kila mmoja wetu atakubaliana nami kuwa shirika lilikuwa limechangamka na lilikuwa na muelekeo mzuri sana na watanzania walikuwa...
Wanabodi salaam
Hii ni barua ya wafanyabiashara mkoa wa Arusha wakilalamika bwana mmoja, huyu jamaa bado yupo enzi zile za pontio plato za kutishia watu ili ajipatie fedha, anakufanyia upepelezi feki ili iwe rahisi kukufanya utoe fedha
Taarifa za uhakika huyu bwana ana ukwasi mkubwa na...
1. Siasa ni ugonjwa na ukikomaa unakuwa kilema kisicho tibika wala kugusika. Mfano mzuri uvimbi uote nyuma ya kisogo halafu uunganike na "nerve system" hata uende wapi "operation yake ni ngumu sana maana kuna matatu hapo wakikufanyia upasuaji unaweza kupona, kupata kichaa au kufa kabisa.
2...
Mwaka 2015 Mbowe alifanya juu chini ili ampe nafasi Lowassa ya kugombea urais. Na ndipo hapo akakaribisha mamluki kibao toka CCM ambao walikuja kuharibu morali na nguvu tuliyokuwa nayo makamanda tuliotaka ukombozi wa kweli.
Leo hii wanarudi CCM na kutuacha tena kwa dharau na kebehi. Mimi nasema...
Bila aibu wala kuona soni unadiriki kusema kuwa ili uamini kuwa hao akina Mdee na wenzake 18 lazima upewe muhtasari wa kikao kilichowafukuza? Mbaya zaidi unaongea bila aibu kuwa ili wewe upate uthibitisho kuwa hao akina Mdee walifukuzwa unataka uthibitisho kuwa natural justice ilizingatiwa. Hivi...
Mama Samia kaingia na staili nzuri ya kuweka mambo wazi na si kuficha ficha kama ilivyokuwa kawaida ya mtangulizi wake.
From word go mwaka 2016, uchumi wa Tanzania ulianza kutikiswa kwa matumizi mabaya ya maguvu ya kisheria ya serikali.
Takwimu sa UONGO zilianza kutolewa na ikawa chini ya...
Mbunge Jesca David Kishoa amehoji kwanini Mikataba haiwekwi wazi akisema kufanya hivyo kuna faida mbalimbali ikiwemo kujenga uaminifu kati ya Wananchi na Serikali.
Amesema hayo Bungeni Dodoma na kuongeza kuwa, Serikali inapaswa kuweka akilini kwamba Rasilimali za Tanzania ni za Wananchi na...
Watanzania wengi wanachanganya mambo na kujikuta wakikengeuka na kupotoka.
Ibara ya 1 ya katiba ya JMT inasema wazi kabisa kuwa Tanzania ni dola iliyohuru ambayo ilitokana na kuungana kwa nchi mbili.
Ibara ya 33 (1) imeweka wazi kabisa mkuu wa hii dola na mkuu wa majeshi ni rais wa JMT.
Ibara...
Mwanzo mwanzoni niweke wazi, kama ilivyo kawaida yangu, kuwa mimi si mwanachama wala mshabiki wa chama chochote cha kisiasa hapa nchini au nje ya nchi hii. Nikiongozwa na uzalendo na utanzania wangu, huwa naunga mkono hoja zozote za kuujenga utaifa wetu na kuleta maendeleo ya Tanzania yetu...
Mh. Rais ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Hongera sana kwa kazi nzuri ya kulijenga taifa. Ninaandika hapa maana ulikiri kwamba unapitia mitandao ya kijamii.Pia kwakua umejipambanua kwamba ni mpenda haki na hutaki makusanyo ya uonevu na mabavu.
Wananchi wa Tanga mjini...
Mheshimiwa Spika,
Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
Uache siasa za changa la macho, Serikali ya JPM ndiyo imeua utendaji wa UDART.
Barabara za UDART kweli ni mali ya serikali lakini mradi wa mabasi mwendo kasi ulikuwa toka mwanzo ni mradi binafsi (private investment) uliowekezwa na mtanzania, Nd Kisenha.
Serikali ilifanya kila njia kumnyima...
Tito Magoti
SUMMARY: Ni kuhusu vilio vya haki dhidi ya mfumo wa haki jinai nchini.
Mheshimiwa Rais, licha ya uwepo wa misingi ya kitaasisi na kisheria katika uwanda wa haki jinai, bado kuna changamoto zinazotia doa suala la utoaji haki nchini. Barua hii inabainisha masuala machache ambayo kama...
Watanzania kama tuko makini na tunajifunza kutokana na makosa, hoja yetu kuu kuhusu huu mradi kwa sasa inapaswa kuwa ni mkataba husika kuwekwa wazi kwa umma ili kwanza watanzania wajue kilichomo ndani ya mkataba husika kabla ya chochote kufanyika( kuendelea) kuhusu mradi huu.
Uzoefiu...
Chama cha CUF kimesema Serikali inatakiwa kuweka wazi upembuzi yakinifu ya miradi inayotekelezwa ikiwemo ya SGR, ufuaji wa umeme na uimarishwaji wa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL).
Mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba amesema "Tunaelekezwa hii miradi ni mizuri lakini hadi leo Serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.