Kama Mchungaji anaweza kutudanganya wazi wazi anashindwa nini kutuibia sadaka?

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,678
Nimekaa coco beach naangalia jinsi meli kubwa kubwa za mizigo zikikaa hapo takribani week 2 zikipanga foleni nimejikuta natafakari vitu vingi sana.

Gwajima Mtumishi wa Mungu, mchungaji mkubwa ambaye anamiliki pesa nyingi sana pamoja na ndege binafsi( kwa mujibu wake). Machozi yamenifika nilipokumbuka siku anaomba kura ya kuchaguliwa kua mbunge wa jimbo la kawe alipotuambia kwamba ""amewasiliana na kiongozi wa jimbo la Birmingham kwamba kutakuwepo na ushirikiano kati ya wananchi wa kawe na wananchi wa huko Birmingham, wananchi wa kawe watakua wanaenda huko uingereza kuinteract na wananchi wa huko na kujifunza"

Imetimia miaka minne sasa baada ya mchungaji kutupiga fix sidhani kama wananchi wa kawe wamepelekwa hata Chanika, sasa mchungaji anapata uwezo wa kutupiga kamba na yuko madhabauni sisi tujifunze nini?

Leo nimeona Makonda kafanya ziara kamwe na ameahidi kutoa caterpillar 20 kwa ajili ya kutengeneza barabara zilizopo kawe ambaye yeye mwenyewe alishindwa.

Imenifanya nikatafakari sana maana nilikumbuka ile clip gwajboy anasema ""BASHITE KUANZIA LEO NA KUFUTA KWENYE ULIMWENGU WA SIASA"" licha ya gwajima kuapa madhabahuni lakini leo Makonda ndio boss wake.

mambo ni mengi sana yanayofanya tuwe na mashaka juu ya hawa watu, ukienda kwa mwamposa yeye daily ni kujenga tu, mliona juzi kafungua hotel huko kwao Mbeya, ingekua ni huduma tu angefanyia Moshi lakini akakimbia kwenda dar maana huko ndio kuna maokoto, sawa na yule Tonny kapola kukimbia kanisa Morogoro kaenda dar kwa sababu huko ndio kuna pesa. Angalia ibada ya mwamposa jumapili jioni SADAKA zinabebwa kwenye mabag huku magari ya ving'ora vikiwa mbele na nyuma, waumini wakiachwa nyuma na maji na mafuta.

Ewe mkristo usidanganyike maombi yako wazi kwenye biblia hiyo nguvu ndogo uliyonayo inaweza kufanya mambo makubwa ukiomba kwa roho na kweli, funga jifunze kua na maombi ya saa 7 usiku mwenyewe chumbani utaanza kuona vitu vikubwa vikitokea

Muwe na sabato njema.
 
Umealikwa kwenye hii party ?
 
Attachments

  • IMG-20240119-WA0029.jpg
    IMG-20240119-WA0029.jpg
    127.5 KB · Views: 4

Kwasasa watu wanauhuru wa kufanya lolote,

Watu wanasepa na mabilion wewe wanakuacha na chupa ya uhai tu kwasababu unataka kujifariji.

Uongo wa wazi kabisa, kwamba makonda angefutika kwenye siasa wakati aliendelea kuwa mkuu wa mkoa, na saiz karudi kwenye vyeo vya juu vya chama!?

Nkamkumbuka mwanafalsafa mjerumani Friedrich Nietzsche katika kitabu chake "The Gay Science" alisema

"God is dead. God remains dead. And we have killed him. How shall we, murderers of all murderers, console ourselves?"

Sema sishangai kwasababu mambo ya kiimani ni psychological thing
 
Mimi huwa sipendi kuingilia imani za watu ila caution yangu ni kuwa wawe na uhakika tu na hicho wanachokifanya maana watailizwa kuhusiana na nafsi za watu, siku ya kiama Mungu atawauliza kwa habari ya nafsi za watu.
 
Back
Top Bottom