Habarini jamani,
Kumekuwa na mambo mengi haswa wanaume kusahau wazazi wetu haswa wakishaowana au wakiwa na uchumba yani watu wanajisahau sana wanashindwa kujua kuwa wazazi ndo baraka kwa maendeleo.
Mzazi alijitoa kwako kwa hali na mali, alijinyima alifungu ili wewe ufike hapo galfa unaobwa...