wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Yajue madhara ya kukanda wazazi kwa maji ya moto

    Wakati wanawake walio wengi wanaamini kukandwa maji ya moto baada ya kujifungua ni tiba, wataalamu wa afya ya uzazi wanaonya kuwa kufanya hivyo kuna madhara zaidi ikilinganishwa na faida ambazo zimekuwa zikiainishwa. Miongoni mwa madhara yanayotajwa ni pamoja na kumsababishia mama maumivu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wazazi acheni uhuni na visingizio, toeni urithi kwa watoto. Elimu sio urithi!

    WAZAZI ACHENI UHUNI NA VISINGIZIO VYA KIPUUZI. TOENI URITHI KWA WATOTO. ELIMU SIO URITHI Anaandika Robert Heriel. Yule shahidi kutoka Nyota ya Tibeli. Andiko hili laweza waumiza wengi. Ikiwa unajihisi unamoyo dhaifu nakusihi usisome. Na ikiwa utasoma basi nisihusike na maumivu na madhara...
  3. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini na watoto wenu kuangalia muvi zenye superheroes Content

    Head's Up: Maneno nitakayoandika hapa haimaanishi kua nina dharau Uweza na Uumbaji/ Status ya-wa mwanamke katika Jamii. Kwanza kabisa mimi ni mpenzi wa Superhero based content, hasa content zinazotengenezwa na kampuni ya Marvel. Muvi hizi zinapendwa na watu wengi sana duniani wa rika zote na...
  4. Mama pretty

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, wazazi wangu hawataki nisome ujuzi mwingine zaidi ya taaluma niliyosoma

    Wakuu habari, Kama kichwa cha uzi kinavyosema hapo. Mtanisamehe mimi sio mwandishi mzuri ila nitajitahidi nieleweke. Mimi nimebahatika kusoma systematically kama ilivyo mfumo wa elimu wa Tanzania, yani kuanzia std7, f4, f6 mwisho chuo kikuu. Sasa kipindi nimemaliza f4 wakati nasubiri matokeo...
  5. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kheri iwaendee wazazi wa watoto hawa wanaokuzwa katika maadili na hofu ya Mungu

  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Dada yangu ananipa hasira, alikimbia ndoa baada ya mwaka sasa yupo kwa wazazi

    Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku ndoa kwa sababu ambazo hadi leo zinaonyesha alimsingizia tu mme wake wazi wazi ilomradi aondoke...
  7. Travelogue_tz

    JamiiForums Tanzania Waziri Doroth Gwajima, Wazazi na Wanafunzi tunasubiri ahadi yako kuhusu hatma ya waliovujisha mitihani ya utabibu

    Habari JF Serikali kupitia Wizara ya Afya ilitoa taarifa kuwa ipo katika hatua za mwisho kuwachukulia hatua wote watakaobainika walihusika katika kuvujisha mtihani wa kitaaluma wa mwaka wa pili wa matabibu pindi tu ripoti ya uchunguzi itakapokamilika na kuwasilishwa. Hayo yamesemwa na Waziri...
  8. guojr

    JamiiForums Tanzania Wazazi na Serikali tuangalie maadili ya watoto wetu Vyuo vya Kati

    Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
  9. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Wazazi jitahidini kuwaelimisha mabinti wa shule waache tamaa

    Wakuu hope mko poa. Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli. Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa kazini kwangu Kuna mmama alikuwa anauza chakula, nilimuomba awe ananiletea chakula Cha jioni ntakuwa...
  10. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Simba SC 1-3 Jwaneng Galaxy FC | CAFCL | Simba yatolewa klabu bingwa Afrika

    Ni Simba Sports Club Dhidi Ya Jwaneng Galaxy Fc Kutoka Botswana. Baada ya Mechi Iliyopita Simba Sc Kuibuka na Ushindi wa Goli Mbili Bila Ugenini, Leo Jwaneng Galaxy Wanakuwa na Kibarua Kizito mbele ya Miamba ya Soka Afrika Simba Sc kuhakikisha Wanapata Ushindi Wa Goli 3 bila Dhidi ya Wenyeji Wa...
  11. osmaney

    JamiiForums Tanzania Ni Funzo Gani Kubwa Ulijifunza / Unajifunza Kutoka Kwa Wazazi wako

    Habari Wana JamiiForums! Poleni na harakati za utafutaji wa riziki, hongereni pia. MUNGU awajalie katika utafutaji wenu. Hili ni jukwaa la elimu, kama mada inavyojieleza, naomba tupate elimu kidogo kupitia wazazi wetu. Karibuni
  12. Maleven

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawatafutie watoto wa kike wachumba wa kuwaoa

    Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo atamuaona kijana ambae anaamin ana tabia nzuri, amawambie kuwa amuoe bint yake, na kama mzazi ana uwezo pia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

    Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu. wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao. Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua. Nani...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watoto wetu wa Siku hizi 'mnapotupiga' Wazazi wenu Pesa kwa 'Kutudanganya' msidhani huwa hatujui ila tunakausha kwakuwa nasi 'tuliwapiga' Babu zenu

    Na kama tukiamua 'Kuwakazia' tutaishia Kuwachapeni sana 'Bakora' na huenda hata hizi Pesa zenyewe tusiwe tunawapeni vile vile na hakuna cha Kutufanya. Haiingii Akilini Mtoto umeenda Kumtembelea Wiki Mbili tu zimepita Leo hii anakupigia Simu na Kukuambia sijui kaishiwa Vitabu mara sijui kaibiwa...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania DC Singida: Wasiopeleka watoto wa kike shule tutawachukulia hatua

    Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili amesema wazazi wote ambao hawatawapeleka watoto wa kike shule watachukuliwa hatua. Akizungumza kwenye hafla ya kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Kike Duniani yaliyofanyika kiwilaya katika mji mdogo wa Ilongero wilayani Singida, amesema...
  16. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Singida: DC Muragili awasihi wazazi kuwasaidia watoto wa kike kujikwamua kiuchumi wanaposhindwa kuendelea na masomo

    Wazazi na walezi wameaswa kuwatafutia njia mbadala watoto wao wa kike ya kujikwamua kiuchumi inapotokea kukatishwa ndoto zao kwa kushindwa kuendelea na masomo kwasababu mbalimbali ikiwemo kubebeshwa mimba. Mkuu wa Wilaya ya Singida Mhandisi Paskas Muragili alitoa wito huo wakati akizungumza...
  17. Tlmau

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye watoto waliohitimu vyuo tusemezane kidogo

    Habari, natumaini uko salama na Leo nataka niongee na wazazi ambao Wana watoto ambao wamemaliza chuo na wako nyumbani bado hawajapata kitu maalumu cha kuwaingizia kipato. Uzi unaanza..wazazi wengi ambao wana watoto waliomaliza chuo sasa hivi wengi wao ni wazazi ambao walikua wanaamini sana...
  18. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Elimu bora inahitaji ushiriki wa wazazi na walezi

    Katika makala zilizotangulia niliweka bayana kuwa ili tuweze kupata elimu bora tunahitaji mambo gani; kwa ufupi tu nilianisisha suala la mazingira bora ya kujifunza na kufundishia, vifaa vya kujifunza na kufundishia waalimu bora, ushiriki wazazi na walezi pamoja na suala zima la stahiki na...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wazazi tukumbuke kuwatoa out watoto siku moja moja! (Nimegundua wazazi wengi tunafungia sana watoto)

    Familia nyingi sana! Watoto wanaishi kwa masikitiko! Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari! Kibaya zaidi watoto hawa wadogo 1yr to 3yrs wanauwezo mkubwa wakujua vazi la mama au baba la kushindia nyumbani na lile la...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Wanafunzi wasingizia wazazi wamefariki ili wapate mikopo ya elimu

    Serikali imefuta mikopo kwa wanafunzi 47 nchini Uganda baada ya kubainika kudanganya kuwa wazazi wao wamefariki Wanafunzi hao walibainika kujitaja kuwa yatima au wanaolelewa na mzazi mmoja ilhali wazazi wao wako hai. Wanafunzi 10 kati ya 47 walijitaja kuwa watu wenye ulemavu Bodi ya Mikopo ya...
Back
Top Bottom