wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dhamira (theme) ya mepenzi ya jinsia Moja inapenyezwa kwenye baadhi ya filamu za watoto. Wazazi tuwe makini

    Habari wanajamvi, Filamu za watoto imekuwa miongoni mwa sehemu muhimu sana ya kulea watoto wetu. Filamu hizi zinajumuisha katuni, TV Shows, Filamu za watu halisi na nyinginezo zilizotengenezwa kumlenga mtoto. Sote tunajua kuwa filamu na wahusika wa filamu wamekuwa na Athari kubwa kwenye tabia...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazazi na walezi kuna vyuo vya ufundi kwa watu wenye ulemavu, tuvitumie

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze kwa kutoa ufafanuzi kidogo juu ya VYUO hivi vya ufundi Kwa watu wenye ULEMAVU. Hivi ni VYUO vilivyoanzishwa maalum kwaajili ya kuwasaidia walemavu kupata ujuzi na stadi za maisha Ili waweze kujitegemea na pia kujichanganya na jamii wanamo ishi. VYUO hivi...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  4. Black Opal

    JamiiForums Tanzania Wazazi mnafatilia kweli kujua mabasi ya shule yanayobeba watoto wenu yana hali gani? Au mkishalipa hela mmemaliza?

    Habari Wakuu, Leo asubuhi wakati naenda kwenye michakato yangu nimekutana na magari mawili njiani yakiwa na wanafunzi, kwakweli yanaogopesha na inatisha. Gari moja lilikuwa la wanafunzi na jingine la mtu binafsi lakini pia limebeba wanafunzi. Gari lililobeba wanafunzi, gari la Shule ya St...
  5. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani hupelekea vijana wengi kuwaombea wazazi wao wafe ili warithi na kuuza mali?

    Japo sio vijana ila vijana wengi sasa hivi ambao wazazi wao wamebahatika kuwa na Mali kila iendayo leo wanaombea wazazi wao waondoke hapa duniani ili waweze kurithi Mali na kuuza Mali. Wako wengine wazazi licha wako Hai tayali wameshapiga hesabu wako wangapi kwa baba yao, wameshapiga hesabu hii...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ni mhimu kuwa na tovuti au mfumo wa matokeo kwa shule za msingi na sekondari ili kuwarahisishia wazazi na walezi kupata wepesi wa kufuatilia maendeleo

    Ni mda mrefu hata sasa waalimu wa shule za msingi na sekondari wanatumia njia ya kutuma ripoti ya matokeo au karatasi yenye matokeo ya Mwanafunzi, Shule baadhi waalimu huwakusanya wanafunzi na kuanza kuwasomea matokeo yao kuanzia mwanafunzi wa nafasi ya kwanza mpaka kwa mwanafunzi aliyepata...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ni sawa kwa baba au mama kuwaficha watoto kuwa ana ugonjwa wa (UKIMWI)

    Habari zenu Wana Jamii forums Wazazi wengi wanaishi na ugonjwa wa UKIMWI kwa Siri bila watoto wao kujua na wanatumia ARV kwa siri chumbani. Na wengi wao wanaogopa kueleza Hali zao za Afya kwa familia wakihofia kudharaulika,sababu watoto now days shuleni wanajifunza UKIMWI unatokana na ngono zembe.
  8. benzemah

    JamiiForums Tanzania Vipimo "DNA" Mtoto "Aliyefufuka", kuokotwa Porini Vyaibua Mapya

    Vipimo vya vinasaba (DNA) vya mwili wa mtoto Mabirika Wilson (8), aliyefariki dunia Aprili 16 mwaka huu wilayani Magu, pamoja vya wazazi wake, vimeonesha ni mtoto wao. Uchunguzi huo unapingana na madai ya awali kwamba mtoto huyo amekutwa akiwa hai katika wilaya nyingine ya Kwimba mkoani hapo...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwaweke watoto na ndugu zetu wanaopambana na ufisadi mikononi mwa Mungu; kuna familia zinalinda madaraka kwa kumwaga damu

    Kuna watu wameingia kwenye mfumo wa siasa na biashara wanaishi Kwa dili. Ukisikiliza bungeni ni kama vile wanafanya siyo Kwa Siri tena Bali wanafahamika na hakuna wakuwafanya chochote. Tumemsikia Msukuma kuhusu sakata stika za ushuru; anasema wazi kwamba kuna watu wanufaika na kwamba anaogopa...
  10. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Wazazi hawana budi kuandaa kesho bora ya mtoto wao

    Kama umezaliwa umekuta wazazi wako wapo well financially, huwezi kulalamika kukosa ajira zetu hizi za laki Saba kwa mwezi. Mzazi/wazazi usifanye Mambo ya kuzaa tu ebu fikiria huyo unayemzaa umemuandaaje kuja kuishi vvizui. Binafsi mambo ya umasikini tunasema tumerogwa lakini Hakuna uchawi...
  11. Rwetembula Hassan Jumah

    JamiiForums Tanzania Tukomeshe kwanza matusi kwenye Jamii naamini hatutokuwa na Vijana wa ovyo au wazazi wa ovyo

    Hongera sana sana wachaga..matusi mmekomesha watu wamekaa mkao Kilimanjaro. Hii ingetakiwa iwe kila mkoa ingependeza sana.
  12. Madame S

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule za awali na shule za msingi pamoja na wazazi kwa ujumla

    Nawasalimia Kuna jambo leo limeniumiza mno moyo na kichwa changu kwa mawazo Kisa kipo hivi Leo kwetu huku ni mvua tangu jana usiku, kulipokucha nilimwandaa mwanangu kwenda shule, sio mbali na eneo tunaloishi. Baada ya kuona muda unaenda mtoto harudi ndio nikakumbuka mvua imesababisha...
  13. Beesmom

    JamiiForums Tanzania Wazazi tusiache kusomesha watoto wa kike

    Nadhani mmeona wenyewe mambo aliyofanya ASHRAF HAKIMI na wanaume pia baadhi ya wanawake wanavyofurahia alichokifanya. Mwanaume anamdharau mwanamke anamthamini mama yake. Yaani anamthamini aliyemzaa anamdharau aliyemzalia, namaanisha anamdharau mama anamweshimu mama, nadhani mmenielewa. Kiufupi...
  14. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kama huna pesa hakuna mtu atakuheshimu. Hata wazazi wako watakudharau

    Kuna huu ukweli ambao ni vema kila mtu anatakiwa kuufahamu. Kwa asilimia kubwa heshima ya mtu huletwa na pesa alizonazo. Kama huna pesa hata wazazi wako, kaka na dada watakudharau. watu baki ndiyo kabisa watakudharau. Na si kwamba hawakupendi. Watakupenda sana ila hawatakuheshimu. Kifupi...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Siri ya wazazi kulala chumbani na watoto

    Suala la watoto kulala na wazazi chumba kimoja linaelezwa kuwa ni chanzo cha kushuka kwa maadili ya Kitanzania, huku umaskini ukitajwa kuwa sehemu mojawapo. Kwa mujibu wa wachambuzi wa mambo, baadhi ya watoto hukaa macho usiku kuangalia nini kinachotokea kwa wazazi wao au kusikiliza...
  16. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Natamani Wazazi wangu wananitafutie Mke wa kuoa me nitachemka akinishinda nawapa mzigo wao

    Utamaduni huu naomba kwangu ubaki maana Ndoa nyingi siku hizi hakuna japo tunaona sherehe nyingi sana kuliko Ndoa. mimi naomba wazazi wangu wanitafutie mke atakayenifaa hivo tu sijajua kwako kijana mwenzangu una maoni gani juu ya hili.
  17. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Tukiachilia mbali umasikini /ufukara wa wazazi wetu ilishawahi kujiuliza unakwama wapi?

    Umasikini si ukilema ila ni hali ya kukosa mambo muhimu ambayo mtu unayahitaji katika maisha yako ya kila siku ,japo wapo watu wanajaribu kusema masikini ni kilema ila anaekosa hayo mambo muhimu anaitwa fukara,siwezi kubisha ila mtazamo wangu umependa kuamini nivyoamini. Nimeona kwa asilimia...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Je, hawa watu wa wataenda mbinguni?

    Wakuu habarini za jioni Nipo napitia Bible hapa kuna kitu kimenitatiza kidogo Swali langu..wakati mussa yupo mlima sinai akiwa anapokea amri za mungu. Huku jamii alioiacha walianza kuchonga sanamu kuabudu Je, hawa watu walitenda dhambi? Kwa kuabudu miungu wengine Sasa kama walitenda dhambi...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenye Watoto wa Secondary wa Shule za Dar Kagueni Mashavu ya Watoto wenu kwani kuna Mmoja nimemuadabisha Kimara Stendi Juu Darajani leo

    Hakuna Kitu ambacho GENTAMYCINE nachukia kama Watoto wa Shule (Watoto zetu) kuwa na tabia za Matusi Matusi tena Hadharani ambako Watu wazima tupo au tunapita. Leo mida ya Saa Mbili Usiku GENTAMYCINE nilikuwa nakatiza zangu Kimara Juu Darajani na nikakuta Wanafunzi wa Upili (Secondary) wakiwa...
  20. kwenda21

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakikulilia shida wasaidie

    Jamani please wazazi wakikulilia shida wasaidie hasa mama, siku nne zilizopita bimkubwa alifululiza kunipinga mizinga, juzi nikamkaushia, nikamwambia sina, ukweli nilikuwa nayo, nikaondoka zangu kwenda kwangu, kufika home nikasikia kunguru wanalia sana nyuma ya nyumba, kwenda kucheki kulikuwa na...
Back
Top Bottom