wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Wazazi si kila filamu ya katuni inawafaa watoto, tuwe makini

    Salaam ndugu zangu, Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo. Ni kweli kwamba filamu nyingi za katuni zimeundwa kwa ajili ya watoto. Lakini...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi, Wazazi wamlilia Rais Samia kuhusu matokeo yaliyofutwa

    Wanafunzi 140 wa shule ya sekondari Thaqaafa ya jijini Mwanza waliofutiwa matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka jana wamemwomna Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati kwa kuziagiza mamlaka husika kuwapa fursa ya kurudia kufanya mitihani ya kidato cha nne. Wakazungumza na waandishi wa...
  3. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Muswada unaozuia wazazi kuweka picha za watoto Mtandaoni wawasilishwa Bungeni

    Wazazi nchini Ufaransa wanaweza kupigwa marufuku ku-post picha za Watoto wao kwenye mitandao ya kijamii iwapo muswada mpya uliowasilishwa wiki hii utapitishwa kuwa sheria. Muswada huo utaipa Mahakama mamlaka ya kuwapiga marufuku Wazazi kuweka picha za Watoto wao mtandaoni ambapo wote wawili...
  4. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi wa kiislamu hasa wa kike hawataki watoto zao kuolewa mke pili

    Wakati wa mwezi mtukufu wa ramadhan unakaribia vijana wanavuta jiko na wengine wanaongeza mke wa pili,tatu mpaka wa nne kama dini inavyoruhusu. Kuna tukio limetokea juzi mama wa binti ni muislam Safi tu na mumewe ni shekh mkubwa Ila mama wa binti amekataa mtoto wake kuolewa mke wa pili, Je hii...
  5. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Mzigo wa wazazi kulea mabinti na watoto wa binti zao

    Nimehamasika kuanzisha Uzi huu baada ya kusoma Uzi wa mdau analalamika dada zake wote wamezalia nyumbani. Bila shaka atakuwa na uchungu juu ya Jambo hili na ndivyo ilivyo kwa wazazi wengi wanaolea binti zao na mwisho kupewa majukumu mengine ya kulea wajukuu. Hili ni tatizo kubwa kwasasa...
  6. Da'Vinci

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

    Be warned, This post is strictly for God's Believers. If you'll find it useless, you're strongly advised not to provoke or outrage targeted Audiences. Natumaini nyote mko salama, and so do I. Tatizo la wa toto kutoku[patina na wazazi lipo sana, haijalishi ni mzazi wa kiume au wa kike wengi...
  7. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wazazi wanataka mjukuu wanashangaa hawajawahi kuniona na mwanamke

    Maisha Yana Mambo mengi Sana. Mimi ni kijana wa kiume Nina miaka 29 nakaribia 30 soon,mtoto wa pili Kati ya watoto watano nimemaliza chuo mwaka 2019 sasa hivi nipo mtaani napiga harakati zangu Mungu anasaidia maisha yanasonga JAPO familia yetu inajiweza kipesa sitegemei hela za nyumbani...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wanajisahau sana. Hawajui uswazi ni kawaida watoto kulala chumba kimoja na wazazi sababu ya ugumu wa maisha

    Mshahara wa mhindi sh 150,000 halafu chumba elfu 35 utaweza kupangisha vyumba viwili? Acheni porojo
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jaji aonya wazazi kuwatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo

    Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Morogoro, Jaji Paul Ngwembe amekemea tabia ya baadhi ya wazazi na walezi wanaowatumia watoto kutoa ushahidi wa uongo mahakamani. Jaji Ngwembe amesema hayo wakati akitoa elimu ya msingi ya sheria kwa wananchi mkoani Morogoro wanaofika katika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Jiji La Tanga, wazazi tunaomba ufafanuzi wa hii michango ya fedha

    1. Kila asubuhi watoto eti wanafanya mitihani. Mtoto anawajibika kuripoti shuleni saa 12 asubuhi na kuanza mtihani saa 12.30 asubuhi. Ada shiling 200 kila asubuhi. 2. Jumamosi mtihani. Toka saa 1 mpaka saa 7 mchana. Ada ya mtihani shilingi 1,200. Hii ndiyo utaratibu kutoka ofisini kwako? Au...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wazazi wawezesheni walimu kiuchumi

    Walimu wetu wanatumia mda mwingi Sana kutuandalia kesho ya watoto wetu, vipato vyao havitoshi kumudu mahitaji yao. Viongozi wa dini wanalishwa na waumini wao lengo kuu Ili wasiwaze watakula nini. Maana huwezi mtumikia Mungu na mali yaani uhudumie kiroho huku ukafanye vibarua Ili familia iishi...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi kuweni makini sana katika kuchagua vyuo hasa vya NACTE kuwapeleka watoto wenu

    Sitafuni maneno, chuo kama cha MATI Mtwara, ni kambi ya kupata manamba wa kufanya kazi kwenye Mikorosho, ufuta, alizeti, mpunga (kidogo), mahindi,mboga mboga za aina zote unazoweza kuzifikiria etc etc ya the so called chuo na vyuo vingine vya hivyo. . Hakuna watoto wanachosoma cha kuwasaidia...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi wamuua mtoto wao ili wapate utajiri

    Baba wa kambo na mama mzazi wanashikiliwa na polisi Ruvuma kwa tuhuma za kumuua na kumfukia kwenye shimo la takataka mtoto wao wa miaka 6 aitwaye Paul Haule huku sababu zikiwa ni imani za kishirikina ambapo wamesema wamefanya mauaji hayo wakiwa na nia ya kupata utajiri. Tukio limetokea katika...
  14. mama D

    JamiiForums Tanzania Wazazi pangeni muwe na muda na watoto wenu - Archbishop Jude Thaddaeus Ruwa'ichi

    Usipomsikiliza wewe watakuja waharibifu watamsikiliza nae atawasikiliza Mwenye masikio na asikie
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Juliana Shonza apokea vyeti kwa kutambua mchango wake katika jumuiya ya wazazi CCM

    MHE. JULIANA SHONZA APOKEA VYETI KWA KUTAMBUA MCHANGO WAKE KATIKA JUMUIYA YA WAZAZI CCM Mbunge wa Viti Maalumu CCM Mkoa wa Songwe, Mhe. Juliana Danieli Shonza amepokea vyeti viwili vya shukurani kwa Katibu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Ndugu Gilbert Kalima. Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Songwe...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu atoa wito Vyombo vya Habari vitoe elimu kwa wazazi kuwapeleka watoto shule

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ametembelea vyombo vya habari vilivyopo Wilayani Rungwe na kujionea vipindi mbalimbali vinavyorushwa vituo hivyo sambamba na kuzungumza na wananchi. Vituo alivyotembelea ni pamoja na Redio Rungwe na Chai FM vyote vikiwa Tukuyu Mjini. Katika vituo hivyo...
  17. Yakki Kadaf

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Niliyoyabaini baada ya kuhudhuria kikao cha wazazi Shule ya Sekondari Nyiendo wilayani Bunda Mkoani Mara. Serikali iingilie kati kwa baadhi ya mambo

    Habarini wakuu, Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Nipo maeneo ya bunda,mkoani Mara. Ijumaa iliyopita tarehe nilipata mwaliko kuhudhuria kikao cha wazazi na walimu katika shule ya Sekondari Nyiendo kujadili mustakabali wa shule kwenye maeneo tofauti na hasa eneo kuu la...
  18. Lupamba's grandson

    JamiiForums Tanzania Wazazi msipowafuatilia watoto wenu chuo mtajutia mwishoni

    Wazazi na walezi, Tembelea watoto wako wanaosoma vyuo! Hasa hawa walioenda ngazi ya cheti baada ya kumaliza kidato cha nne, wengine wameoa na kuolewa! Binti haingii darasani, anafua na kupika kwa kijana waliyekutana naye chuoni. Kuna ambao pesa ya ada hajalipa anahudumia "mke"! Unaweza fikiri...
  19. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO VIDEO: Wazazi angalieni Walimu Shule ya Sekondari Majaliwa

  20. G

    JamiiForums Tanzania Wazazi tunaofanya biashara tuwaandae watoto mapema wafike mbali kutuzidi, shule ipewe nafasi lakini iwe kwajili ya maarifa ila sio ndoto za kuajiriwa

    Hata mimi mwenyewe tangu mtoto naaswa, soma sana mwanangu uje upate kazi nzuri, elimu ndio ufunguo wa maisha, n.k. misemo yote hio inapindishwa ili mtoto adhani kwamba njia pekee ya kutoboa ni kuja kuajiriwa wakati kuna alternatives far more better, elimu inatupa maarifa muhimu lakini...
Back
Top Bottom