Wapambanieni watoto wenu wasije kuwa na wivu kwa wenzao waliopambaniwa na wazazi wao

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu.

Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na juhudi za wazazi wetu kutumbania future za watoto wao ambao ni sisi kwahiyo niuwalize nyie mkiuza plot hata laki mbili kila mwanafamilia atapata? Shame on them.

Sasa niwatonye nyie wapambanie watoto wenu kuwatengenea future watoto wenu msiangaike na hizo pisi kali hizo wapambanie watoto wenu huko!huu ni ushauri wangu kama utanuna nuna tu ila ukweli ndiyo huo.

Wazazi wenu walikuwa kutwa kuhaingaika na pisi kali miaka Ile ddc mlimani Park sasa wanakuja kuwatesa nyie watoto poleni sana.

This thread posted by someone who get 200million from inheritance property also use note 10 plus 5G na ambaye haishi nyumba ya kupanga.
 
Screenshot_20230109-203006.jpg
 
Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu...
KaTIka waliopambaniwa na Msoga boys wamo? Hebu msitucheze Shere basi kwa kuona tuko kimya.
 
Sawa Mkuu.

Kumbuka baba yako naye hakufanya kazi kwa bidii. Ingelikuwa hivyo angekuwa tajiri mkubwa, ambapo hiyo Million 200 ingelikuwa kwa ajili ya kununua gari moja tu latest.

Note 10 unayoiona simu ya maana, ndiyo toy ya kuchezea kwa watoto wengine.

Baba yako angekuwa na hela, angekusomesha kwenye shule nzuri ili ujue kuandika Kiingereza kilichonyooka. Siyo kuunga unga mwana

Baba yako angekufunza kuheshimu kidogo na kupambania kutafuta zaidi. Siyo kujivunia vya kuridhi
 
kuna wewe unajisifu kwa baba yako kukupigania mpaka unaweza kuwekewa 200mln kwenye acc.

halafu kuna mtoto wa elon hata hapigi kelele.

maisha ya mafanikio yana vitu hivi,
1,bahati(Mungu zaidi)
2,timing(mahesabu sahihi kwa wakati)
3,juhudi(nguvu afya bora)

ukiangalia vyote hivyo hapo juu hakuna kilicho mikononi mwa mtu au kwenye maamuzi yake.vyote hutokea kwa kudra.ndio maana wenye pesa nyingi hata ukiwauliza wamezipataje wanapata kigugumizi, maana wanajua hawakuwa waamuzi wa mwisho juu ya mafanikio waliyo nayo.
 
Baba yako ndio yule anaemiliki Lodge, Bar & Guest House nyingi hapa bongo? Hongera mkuu mwambie aendelee kuongeza zingine

Mwambie aanze kuwajengea na Hotel na yale malori yenu ya mafuta mwambie aongeze mengine yafike hata 800 zile real estate za kule kigamboni mwambie amefanya vizuri sasa akajenge zingine Zanzibar kuna utalii wa bluu kule na nasikia ile kampuni aliyoianzisha ya clearing & forwarding sasa inaelekea kuopiku Silent Ocean,

Mwambie aongeze kupambana kuwajengea mahekaru kila pembe ya hii nchi maana hatoishi milele na ile plot yake kule Lushoto vipi ameshaiendeleza kuwajengea watalii?

Hongera mkuu maana baba yako ndie mmiliki wa Maduara mengi ya migodi kuanzia Songwe, Mwadui, Sekenke na kwingineko

Baba yako ana miliki magari mengi ya daladala kwenye majiji makubwa, baba yako anamiliki ardhi na mashamba makubwa anavuna cocoa & parachichi kila mwaka na kuuzia makampuni ya nje, hongera sana mkuu baba yako anamiliki hisa nyingi kwenye soko la hisa, mwaka huu amewekeza billion 900 kwenye mradi fulani mpe hongera zake, na wewe nasikia unapelekwa kusoma MIT mwakani Ila mwaka huu dada yako yupo Harvard University bado anamalizia masomo yake ya udaktari wa biashara
 
Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu..
Kuna mwenzako from Uchagani nae alipata bahati ya mtende kama yako and now nakwambia hapa amebaki anachokimiliki ni Toyota alphard pekee na apartment anayoishi kwa kupanga pale Masaki.

200Mil + Nyumba kubwa Jijini Arusha alipatiwa mara tu baada ya Mzee wake kufariki, Mdau akapagawa katoka A town kaja dar.

Miongoni mwa ndinga alizonunua kwa kipindi chake kifupi Cha utawala wa pesa zake Vanguard na Forester Subaru new m
Model kwa pamoja na zote kashapiga mnada, akanunua Alphard nayo Iko sokoni.

Jiangalie kijana.
 
mi pamoja na umasikini uliopo kwenye familia yetu, mana hatuko juu hatuko chini ..
ila hamna watu huwa nawasifu wakiwa hai kama wazazi wangu... kwa maono yangu nawaona kama watu waliofanikiwa zaidi .. nawaambiaga Mmeoana, mmetuzaa, mmetulea mpaka tumekua haikutosha mkatujengea na boma mpaka hapa mlipofikia mwendo mmeumaliza bado kuukamilisha tu ishini kwa amani iliyo kuu ndani yenu maana kama ni kazi kubwa mmeifanya..

Tangu nikue nione maisha yanavyonipiga KO huwa nawaangaliaga sana wazazi nawaonaga kama magenius flani hivi najivuniaga sana kuwa nao maana wamehangaika mnoo !! Hio lawama ya millioni 200 kwakweli sina
maaana hata hao watoto wangu ambao unawafundisha kuja kunilaumu nmeshindwa kuwazaa mpaka leo
 
Ashakum si matusi! Wivu hauwasaidii nyie watu ukweli lazima usemwe kabisa na na ni ukweli ni safi ila unauma ila ndiyo hivyo lazima niuseme tu no way kabisa wakuu.

Juzi kila mwanafamilia kwetu ameingiziwa milioni miambili kwenye akauti yake miongoni mwao ni mimi nimelamba hiyo pesa kutokana na juhudi za wazazi wetu kutumbania future za watoto wao ambao ni sisi kwahiyo niuwalize nyie mkiuza plot hata laki mbili kila mwanafamilia atapata? Shame on them.

Sasa niwatonye nyie wapambanie watoto wenu kuwatengenea future watoto wenu msiangaike na hizo pisi kali hizo wapambanie watoto wenu huko!huu ni ushauri wangu kama utanuna nuna tu ila ukweli ndiyo huo.

Wazazi wenu walikuwa kutwa kuhaingaika na pisi kali miaka Ile ddc mlimani Park sasa wanakuja kuwatesa nyie watoto poleni sana.

This thread posted by someone who get 200million from inheritance property also use note 10 plus 5G na ambaye haishi nyumba ya kupanga.
Umewekewa hiyo hela kwasababu wewe ni tahira ,, usiyejua kutafuta wala kukiendeleza kidogo ulichonacho . Wakaona wakikuwekea kidogo utakufa bila hata kujijua , Kama upendi unachofanya fanya fanya unachopenda..
 
Vp mama yako yupo comfortable kuzaa shoga kama wewe?
 
Siwezi kubisha na mbwa nabisha na mwenye mbwa endelea na ujuha wako
Unadharau za kimbwa hivyo we ni mbwa tu, watoto wako unampango wa kuwaachia bilioni ngapi? Au ndio hadi ukatwe ringi za marinda sio? Wewe lazima ushughulikiwe before you get out of hand, as soon as possible!
 
Back
Top Bottom