wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  2. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

    Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka, Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa Unakuta...
  3. lugoda12

    JamiiForums Tanzania Tuwakumbuke wazazi wetu bila kujali walipo au sisi tulipo

    Tuwakumbuke wazazi wetu bila kujali walipo au sisi tulipo. 👌 Mzee alipeleka simu yake kwa fundi ikatengenezwe, Fundi akamwambia mzee mbona simu yako hii sio mbovu kabisa, Mzee akamuuliza fundi kama sio mbovu kwanini sasa watoto wangu hawanipigii. 🥲 Tuwapigieni wazazi wetu walau mara mbili kwa wiki.
  4. G

    JamiiForums Tanzania Ni kama kuvunja miiko ila hakuna namna, Wazazi tutumie mbinu zipi kuwaelimisha watoto kuhusu mapenzi kuwalinda na kizazi hiki

    Kwakweli kwa tamaduni zetu hili suala limekuwa likifumbiwa macho na la kukwepa, ila angalau zamani tunapobalehe wavulana tulienda jandoni na dada zetu walienda kufundwa unyango, kwa sasa wavulana na wasichana wanakuzwa peku peku bila hizi elimu muhimu, ni jambo hatari sana. Binafsi nakumbuka...
  5. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Swali kwenu wanawake mlioolewa, watoto wa kike na wazazi wa kike

    Hellow Inapokuja swala zima la kuolewa kwa mtoto wa kike kunakuwa na mitazamo tofauti kuanzia mzazi mpaka mtoto mwenyewe wakike anakuwa na mtazamo tofauti Ipo hivi kuna familia ina watoto wa kike 3 na wa kiume mmoja wa kike wote hawajaolewa mama yao anasema watoto wake wamerogwa ili wasiolewe...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Sikufundishwa popote kuwapenda wazazi wangu

    Watu wengi wana mapenzi ya dhati kwa wazazi wao. Mapenzi haya bila shaka yanayokana na namna mzazi anavyotekeleza wajibu wake wa kulea familia aliyoanzisha. Mapenzi haya ya watoto kwa wazazi hayalazimishwi. Mapenzi ya namna hii yanaweza pia kuwepo kwa wananchi kuipenda nchi yao pale viongozi...
  7. McCollum

    JamiiForums Tanzania Makuzi ya watoto yanaharibiwa na Teknolojia kama haitasimamiwa na wazazi!

    Habari za Jumapili, ni matumaini yangu muwazima wa afya. Siku ya leo naomba nijadili nanyi au kiwasogezea mada hii "Makuzi ya watoto yanaharibiwa na Teknolojia kama haitasimamiwa na wazazi!" Awali ya yote nipende kuanza kwa kusema, maendeleo ya Sayansi na Teknolojia ya sasa yanafanya wananchi...
  8. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Watoto wa kiume ni wagumu kuwasadia wazazi wao kuliko watoto wa kike

    Hili jambo nimelifuatilia muda mrefu sana hapa barani africa esp. Tanzania wazazi wanaenjoy tu pale ambapo mama akipata toto la kiume jamii inakuchukulia mtu wa thamani sana yaani hongera unapata nyingi lakini kadri toto hilo la kiume linavyozidi kuwa kubwa ndivyo linavyoanza kuwa jitu la hovyo...
  9. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi (watoto) kupakiwa mbele kwenye bodaboda wakati wa kwenda na kurudi shule ni hatari kwa afya. Mamlaka na wazazi hamuoni hili?

    Habari za alasiri hii ndugu wana JF, naandika kwa kughadhabika kinamna kutokana na upuuzi unaofanywa na baadhi ya wazazi huku mamlaka husika (Jeshi la Polisi) likiwa doro tu. Kuna huu utaratibu wa kuwapeleka watoto wadogo shule kwa kutumia usafiri wa boda boda. Mzazi anamkabidhi mtoto kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza Wazazi waliofiwa na watoto 4 kwenye ajali watibiwe kwa VIP Class Muhimbili, JK, MOI na Hospital zote nchini!

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Chalamila amesema Rais Samia ameumizwa sana na vifo vya wanafamilia 4 waliofariki kwenye ajali huko Mbwewe Chalinze. Chalamila amesema Rais Samia anajua kuwa Mzee Msuya na mkewe walikuwa wanawategemea watoto wao hawa waliofariki, hivyo ameagiza wazazi hawa wawe...
  11. turubbo

    JamiiForums Tanzania Naumia sana ninaposhindwa kuwa msaada kwa wazazi wangu

    Yaani jinsi maisha yalivyo magumu kwangu nawaza maishani mwangu nisije kupata mtoto akaja duniani kuja kula msoto kama Mimi. Maana Mimi mwenyewe niña wazazi lakini siwezi kuwasaidia msaada wowote wanahangaika nauzee wao mtoto wao sieleweki. Bora niwe wa mwisho kuteseka ila damu yangu nisiilete...
  12. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Agosti 1-7, Wiki ya Unyonyeshaji Duniani 2023

    Wiki ya Unyonyeshaji Duniani inalenga kuangazia umuhimu wa kunyonyesha kwa afya na ustawi wa Watoto na manufaa kwa afya ya uzazi. Pia kukuza, kulinda, na kusaidia haki za Wanawake kunyonyesha popote na wakati wowote Kauli mbiu ya Maadhimisho ya Mwaka huu inajikita katika 'kunyonyesha na kazi' ...
  13. goroko77

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wanakuwa wagumu kuwapa watoto mitaji kuanzisha biashara?

    Hbr za siku, Nina rafika yangu wazazi wake wote walikuwa waajiriwa wa taasisi za umma na kwa Kweli walifikia hadi nafasi za juu sana katika hizo taasisi walizo ajiriwa hivyo mishahara na pension zao ziko vizuri mno. Hoja Jamaa ni mwaka wa nne hana kazi ni kula kulala tu amejaribu kuomba angalu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Rushwa kwa watendaji wa serikali

    Katika miaka michache niliyowahi kufanya kazi katika jamii, nimegundua na kushuhudia namna WATENDAJI wa serikali wanavoihujumu serikali na nchi yao kwa kupokea rushwa. Hili linajidhihirisha katika mikoa ya Tabora, Shinyanga na Simiyu ambapo watoto wengi huachishwa shule kwaajili ya kuchunga...
  15. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Hivi wazazi wanaolipaga polisi wawapigie watoto wao huwa wana lengo lipi?

    Nyumba unakuta ina baba lakini cha ajabu wanamlipa polisi eti aende kutoa hukumu Nachojua suala la kutoa displini huwa linafaa zaidi mzazi ndio ashughulikie tena iwe kwa lengo la kumfunda mtoto na si kumuumiza. kwa maana hii ni kwamba ukimkodi mtu akuchapie mtoto wako, impact huwa ni ndogo...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali siyo wazazi wetu bali ni watumishi wa umma

    Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa. Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda kwa jirani fulani lakini ghafla habanduki huko, shtuka!

    Wakuu, Una jirani, rafiki yako au hata ndugu mnaoishi karibu na mtoto wako alikuwa hana mazoea ya kwenda huko lakini ghafla amekuwa habanduki kwa jirani huyo mzazi shtuka. Na kinyume chake vile vile, mtoto wako alikuwa anapenda kwenda sehemu fulani kucheza lakini ghafla haendi huko na unajua...
  18. Mdigokhan

    JamiiForums Tanzania Majunio Wanazingua

    Wazazi naomba tuongee kwa dakika 5 tu… Sisi Tumechoka sana Tukija kuwatembelea makwenu Iwe kipindi cha matatizo Au matembezi ya kawaida, ila Naomba Niongelee sisi ambao tunaofikia makwenu Kuja kutafuta maisha… Kuna hawa watoto wenu hasa wenye majina ya JUNIO aisee wanatuboa sanaa sanaa...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Wazazi waliomuozesha mwanafunzi kwa Tsh. 30,000 waomba radhi

    Familia ya wazazi waliomuozesha mwanafunzi wa kidato cha tano kwa mahari ya shilingi elfu 30 wilayani Tunduru - Ruvuma wameungana kuomba radhi ili Serikali iwasamehe kwa kitendo walichokifanya kwa madai kuwa walikuwa hawajitambui. Pia Soma: Mwanafunzi wa Kidato cha Tano aolewa kwa Tsh. 30,000...
  20. Replica

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mwezi mmoja afariki baada ya wazazi kumuangukia wakipigana

    Taarifa za kusikitisha kutoka nchini Zambia zilianza kuenea wiki iliyopita baada ya mtoto wa mwezi mmoja na wiki tatu kufariki dunia baada ya wazazi wake kumwangukia wakiwa wanapigana. Tovuti ya Diamond Tv ya nchini humo imesema tukio hilo limetokea katika kijiji cha Reuben Wilaya ya...
Back
Top Bottom