Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 576
- 1,625
Wazazi wengi huwa hawana utamaduni wa kuomba msamaha watoto wao pale wanapogundua kuwa wamewakosea.
Badala yake hutengeneza mazingira ama ya kugeuza kosa lile liwe kwa mtoto, au kutengeza mazingira ya kumfanya mtoto kuonekana anastahili adhabu hiyo sababu alizubaa kusema mapema kuwa hajakosa.
Jambo hili linafanya baadhi ya watoto kukua na vinyongo wangipunguza upendo kwa wazazi wao na mara nyingine kuhamisha tabia ile ile kwa watoto wao, na pia kuchangia kuchochea matatizo ya afya ya akili.
Mzazi nini kinakupa ugumu kuomba msamaha pale unapomkosea mtoto wako?