watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    JamiiForums Tanzania Kuondolewa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi ya Watumishi wa Umma (PSSSF)

    Tarehe 6/2/2024 lilitolewa tangazo la mabadiliko katika uongozi wa mashirika kadhaa likiwemo hilo lililotajwa hapo juu. Hilo shirika hapo nyuma lilikuwa na historia ya kutofanya vizuri katika majukumu yake mpaka pale ndugu HOSEA KASHIMBA alipoteuliwa kuliongoza shirika hilo. Malalamiko ya...
  2. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Kwa hii serikali kuna kufanikiwa kweli kwa watumishi wa umma bila kuiba?

    INTRODUCTION: Hapa sizungumzii wizi wa fedha au mali za Umma pekee ila nazungumzia wizi wote wa MUDA na FEDHA. Nimekuwa nikiona na kusikia watu wengi sanaa wakiponda juu ya wizi fedha za uma kwa watumishi. Nimekuwa nikiona na kusikia raia wengi sanaa wanalalamika kwamba wakienda ofisi fulani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Uhamisho kwa watumishi wa umma

    Wakuu, habarini, Naomba kupata elimu kidogo naamini humu wataalamu wapo. Je, mtumishi wa umma aliyepewa ruhusa ya kwenda masomoni (mafunzo ya muda mfupi yasiyo zidi mwaka) anaweza kuomba uhamisho kwenda taasisi nyingine ya umma na akahamishwa kwa kipindi ambacho yupo masomoni? Tafadhali...
  4. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wa serikali Tunaomba muwapiganie watumishi wa umma wenye Masters/PhD ili waweze kutambulika kimuundo na kimaslahihi

    Hiki ni kilio Cha miaka mingi kwa watumishi wa umma, wamekuwa wakiomba Shahada ya Pili na PhD itambuliwe kimaslahi kwenye Baadhi ya idara bila mafanikio yoyote, huko Tamisemi Tunaomba mlichakate Jambo hili. "Najua hili swala akifikishiwa Rais wetu mpendwa, Dr. SSH, ataagiza lifanyiwe kazi Mapema"
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete awaasa Watumishi wa Umma kutokuwa na hofu na mfumo mpya wa tathimini ya Watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Ridhiwani Kikwete amesema Mfumo Mpya wa Tathimini ya Watumishi wa Umma (SAU) hauna lengo la kumuondoa kazini ama kuwaonea watumishi wa umma hivyo hawana sababu ya kuuhofia mfumo huo. Kikwete amebainisha hayo leo Desemba, 13, 2023 wakati wa ufungaji...
  6. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Waziri wa Mazingira, Dkt Suleiman Jaffo: Watumishi wa umma 333 wamefuata nini kwenye mkutano wa COP28 huko Dubai?

    Mheshimiwa Dkt. Suleiman Jaffo, Waziri wa Mazingira, Mkutano wa kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi unafanyika huko Dubai, kwa siku 14, tangu tarehe 30 Novemba hadi 12 Desemba 2023. Lakini ukubwa wa ujumbe wa Tanzania umeibua utata miongoni mwa Watanzania wanaotaka...
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watumishi wa Umma wanaendelea kutumika kwenye Uchaguzi licha ya Mahakama ya Afrika kuitaka Tanzania kubadili kifungu hicho?

    Moja ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa demokrasia nchinina kitendo cha Tume kutumia watumishi wa umma katika michakato ya kiuchaguzi. Kwa mujibu wa kifungu cha 21 cha Mswada, Tume itaendelea kutumia aukuazima watumishi wa umma kuwa wasimamizi wa uchaguzi, kwa lugha nyingine...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Eng. Ezra Chiwelesa: Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wapewe kazi kwa mikataba ya miaka 5

    Akichangia hoja bungeni Mbunge Eng. Ezra Chiwelesa amesema Watumishi wa Umma kuanzia ngazi ya Wakurugenzi wasiwe wanapata nafazi zao siziwe hazina ukomo, badala yake wapewe mikataba ya miaka mitatu au mitano na kazi hizo zitangazwe wenye vigezo waombe ili kuleta uwajibikaji katika utendaji wa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watumishi wa Umma wana roho mbaya na wanajikatili wenyewe kwa wenyewe?

    Kikokotoo kimeandaliwa na watumishi wa umma na kinalalamimiwa na watumishi wa umma Bima ya watoto imeondolewa na watumishi wa umma kisa watoto wao wanatibiwa bure ila wanashindwa kufahamu kuna kufukuzwa kazi. Mishahara inaandaliwa na watumishi wa umma na siku zote waliopo hazina ukiwasikia...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Kagera: Watumishi wa Umma washtakiwa kwa Kuficha Mapato ya Manispaa Tsh. Milioni 409.4

    Watumishi hao ni Richard L. Kubona, Adelina K. Leonard na Musa S. Kalumba ambao ni Maafisa Biashara wa Manispaa ya Bukoba wamefunguliwa Kesi ya Uhujumu Uchumi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba Mkoani mbele ya Hakimu Mfawidhi Janeth Massesa. Washtakiwa wamesomewa Makosa ya Matumizi Mabaya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

    Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu. Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa...
  12. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Teuzi Mpya: Rais Samia na falsafa ya kimageuzi kwa Watumishi wa Umma

    Na Mwl Udadis, Buza kwa Lulenge Moja ya falsafa ngumu katika uongozi ni uwezo wa kuongoza watu kimageuzi. Rais Samia anaendelea kuiishi falsafa hii kwa weledi na umahiri wa hali ya juu. Nafasi za teuzi siku zote ni dhamana katika kuwatumikia watanzania, dhamana hii inaweza kukabidhiwa kwa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma, mwezi huu kuna jipya?

    Mshahara wa mwezi August ndio umetoka, swali ni je, kuna jipya mwezi huu? Tukumbuke mwezi wa 7 hakukuwa na mabadiliko kama ilivyokuwa inatarajiwa. Karibuni.
  14. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Poleni watumishi wa umma uyo ndio mama anaupiga mwingi hakuna ongezeko la mshahara

    Poleni sana tena sana endeleni kunywa mchuzi nyama mtazikuta chini
  15. I

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali siyo wazazi wetu bali ni watumishi wa umma

    Nimeona clip ya Nape Nauye akifoka na kumwambia Tundu Lissu amuheshimu Rais Samia kwa kuwa ni mama yake. Sawa hatukatai kuwa kila mtu anastahili heshima na si viongozi tu wa serikali na kisiasa. Kosa kubwa ni pale machawa wa viongozi wanataka chawa wao wasikosolewe wala kofokewa wanapofanya...
  16. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma wakimaliza utumishi wa kisiasa warudi kwenye ajira zao mpaka watakapostaafu

    Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake. Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi. Mimi binafsi...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Taasisi za mikopo zinawaona watumishi wa Umma sio waelewa! Serikali iingilie kati tunakufa

    .
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kuna kero kubwa kwa Watumishi wa Umma wanapotaka kuhama au kubadili taasisi

    Mdau wa Jamii Forums anaeleza... Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi. Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo...
  19. IKEKERA

    JamiiForums Tanzania Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

    Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada. Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari. Kwa...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu TAMISEMI, kwanini unanyanyasa watumishi wa umma kwa kuwanyima uhamisho wao halali?

    Siku za karibuni Rais alifanya mabadiliko madogo kwa makatibu wakuu ambapo ndg. Adolf Ndunguru alipelekwa Ofisi ya Rais- TAMISEMI. Huyu bwana tangia aingie katika ile ofisi alikuta tayari kuna watumishi walishapata uhamisho hasa wale wa kubalishana vituo vya kazi. Jambo la ajabu amezuia...
Back
Top Bottom