Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 2,814
- 11,991
Mdau wa Jamii Forums anaeleza...
Mimi ni mtumishi wa Umma kuna jambo ambalo limekuwa kero kwa Watumishi wengi, ni kuhusu kuomba uhamisho kutoka Taasisi moja kwenda nyingine au kuomba kwenda kufanya ‘interview’ ya kazi.
Kuna mambo kadhaa ambayo yanafanya kuwe na ugumu katika kufanikisha hilo;
1. Kwanza zikitangazwa nafasi za kazi kupitia Ajira Portal ni lazima kama wewe ni Mtumishi wa Umma na unakata kuomba nafasi hiyo ni lazima upitishe barua yako kwa Muajiri wako.
Sasa unakuta mwajiri wako ni Mkurugenzi Mkuu katika Taasisi, hivyo inakubidi ipitie hatua nyingi mpaka imfikie na hii inasababisha mtu kushindwa kuendana na deadline ya submission ya kazi husika.
2. Ni lazima upitie mchakato huo wa juu kama unataka kuhama au kutafuta ajira katika taasisi nyingine, ukikuta mazingira ya wahusika wanaotakiwa kupitisha barua yako si rafiki kwako basi tambua hiyo inakula kwako.
Kuna watu wengi wanatamani kutafuta changamoto katika taasisi nyingine au wengine kupata maslahi bora, inakuwa ngumu.