watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Unyonyaji wa serikali kwa watumishi wa umma ulianza hapa .

    Habari! Unyonyaji unaanzia kwenye tangazo la kazi Ukisoma tangazo lolote la kazi za serikali hasa ajira za kudumu utaona sehemu moja wameiandika kiwango cha mshahara kimafumbo, wenyewe wanaita kimuundo. Mfano,: TGS D, TGOS A, TPAS D, TANAPA 4, TGTS C n.k, n.k. Kama nia ni kuficha kiwango cha...
  2. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Ufanisi wa kazi kwa watumishi wa umma ni mdogo sana

    Wanabodi, twende mbele, turudi nyuma, wafanya kazi wengi wa serikali (zaidi ya 70%) hawana ufanisi katika kazi zao. Ni kama serikali inawalipa mishahara ya bure kabisa. Kada za ualimu, afya, ulinzi/usalama (Polisi, Magereza, Wanajeshi), sheria(mahakimu) zinajitahidi sana hata kuingia kazini...
  3. vnn

    JamiiForums Tanzania Kama NHIF imefilisika, tafadhari watumishi wa umma wawe na uhuru wa kuchagua mfuko wautakao

    Dharau zimeanza sasa! Serikali inakoelekea itatufikisha kwenye point ya mwisho. Haya mapendekezo kuwa mteje wa nhif atibiwe kwenye kituo kimoja tu huu ni upuuzi kwamba kama nilikua natibiwa mwanza nikiugua nipo dar nisitibiwe? Eti mgonjwa haruhusiwi kutibiwa zaidi ya mara tatu kwa mwezi...
  4. balimar

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kupunguza Makali ya Maisha kwa Watumishi wa Umma?

    Habari ya saa hizi waungwana!! Ni ukweli usiopingika kuwa Maisha kwa watumishi wa Umma yanazidi kuwa ni tia maji tia maji. Mathalani nyongeza ghafi isiyonyumbuka ya mshahara haifui dafu kabisa kwenye mfumuko wa bei uliojitokeza kuanzia April 2022. Nadhani wakati umefika sasa kufungua mjadala...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa Watumishi wa umma watakukumbuka daima

    Moja ya piga kubwa watumishi wa umma walilipata ni kuhamishwa kwa Waziri Mchengerwa kutoka Wizara ya ofisi ya Rais Menejoment ya utumishi wa umma na Utawara Bora kwenda Wizira ya Michezo. Mhe Mchengerwa hakutanguliza siasa Kwenye Wizara hii. Badala yake akaletwa mhe Jenista Mhagama ambaye...
  6. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Royal Tour: Watumishi wa Umma Tumeona Matokeo Yake

    Kwakweli binafsi nashukuru sana kwa nyiongeza nono ya 25,000/= (kabla ya makato) nadhani haya ni baadhi tu ya matunda ya filamu yetu. Nasema ni matunda maana filamu imemtengeneza msanii kweli kweli na sanaa hiyo aliitumia katika hotuba ya mei mosi na sasa tumeshuhudia na kudhihirisha bila shaka...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma mna akili finyu, acheni kazi sisi tutazifanya kama mshahara hautoshi

    Wameongezewa mshahara ambao wanadai ni kidogo ila jinsi wanavyoleta taharuki utadhani kuna crisis kubwa kama vile Tanzania imepigwa bomu la nyuklia Hivi Hawa watu hawajui kuna watu wasomi zaidi yao wapo mtaani miaka zaidi ya 10 hawana ajira na wanatamani hata walipwe nusu ya huo mshahara...
  8. Superbug

    JamiiForums Tanzania Rais Samia fuatilia reaction ya watumishi wa umma kwà nyongeza yao ili 2025 usiibe kura, wewe ni muislam safi!

    Kwakuwa Serikali ya CCM inabebwa na public servants ila kwà niliyoyasikia jana CCM msije mkaiba kura, mama ni mwanamke wa kiislam msimchonganishe na MUNGU wake!
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

    Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao. Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
  10. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Je, ipo siku watumishi wa umma watasusia au kuacha kazi?

    Nafahamu tu: (a). Nyongeza ya mishahara ilisimama mpaka tulipomaliza ujenzi wa barabara nchini - walitulia kimyaa; (b). Kikokotoo kimepita - wao wametulia kimyaa; (c). Nyongeza ya mishahara kwa Julai hii haikuonekana benki - tena wako kimya. SASA JE HILI NI TABAKA LINALOJITAMBUA KWELI?
  11. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Kundi Hili la Watumishi wa Umma lina Upeo Mdogo? Nini kifanyike?

    ..
  12. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Kwa nilichokiona leo, Watumishi wa Umma wategemee nyongeza ndogo chini ya 10% na sio 23 kama wanavyotarajia

    Kwanza tukubaliane Kiongozi wa nchi huwa anashauriwa na sio kuongozwa. Lkn kila nikitafakari sasa naona wapo wanaotaka kumuongoza kwa nyuma na kumtoa kwenye reli. Kila akipanga jambo Jema kabisa kama tiba na ya vidonda alivyoacha Magufuli watu humuongoza kutonesha vidonda na kumjenga achukiwe na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma kucheka au kulia

    Waswahili walisema usiku wa deni haukawii kucha. Zimebaki siku chache ili watumishi wa umma nchini waweze kupokea mshahara wao mpya wa mwaka wa fedha 2022-2023. Kufuatia nyongeza ya 23.3% iliyotangazwa na Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mama Samia Suluhu Hassan siku ya Mei Mosi...
  15. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Watumishi wa umma wapewe likizo miaka 3 wakajiajiri

    Kuna watumishi wa umma wenye ujuzi na uzoefu wa mambo mbalimbali, na wangependa wawe wajasiliamali wapewe likizo ya miaka mitatu wajiajiri na wakifanikiwa basi wapewe mikopo ya 100M ya kuendeleza biashara zao. Hawa watumishi wakifanikiwa watuajiri vijana wengi
  16. Protector

    JamiiForums Tanzania Happy New Year Watumishi wa Umma

    Serikali leo imeanza mwaka mpya wa fedha, kadhalika hata watumishi leo wameanza mwaka mpya ambapo jambo kubwa linalotarajiwa na watumishi ni nyongeza ya mshahara ambayo leo ndio imeanza kufanya kazi. Mtumishi umejiandaaje kupokea mshahara mpya?
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Sri Lanka: Watumishi wa Umma waondolewa siku moja ya kazi kuhamasisha walime

    Serikali imeridhia pendekezo la Watumishi wa Umma kutoenda kazini siku ya Ijumaa kwa miezi mitatu ijayo ili kuwahamasisha kulima katika maeneo yao ili kukabiliana na uhaba wa chakula unaotarajiwa kutokea Sri Lanka inakabiliwa na mdororo mbaya zaidi wa Kiuchumi kutokea ndani ya miaka 70 na hali...
  18. nashicha

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wana cha kujifunza kwa Sabaya

    Wanabodi kwa jinsi ilivyo duniani vyeo tulivyonavyo ni mamlaka ya muda tu Bado utu wetu na nidhamu ni muhimu sana hakuna haja ya kupandisha mabega na kujipa umungu mtu hata tuwe na elimu ya aina gani hatukupewa uwezo wa kujua Kesho yetu. Leo Wakuu wa mikoa willaya wakurugenzi na wote waliokuwa...
  19. yolam sanga

    JamiiForums Tanzania Tuliomba mkopo wanaopewa watumishi wa Umma, tumeanza kukatwa kabla ya kupewa mkopo wenyewe

    Jamani nina suala naomba ufafanuzi kwa wenye uelewa, hapa nilipo kuna tangazo lilitolewa halmashauri juu ya mikopo kwa watumishi wa umma toka mwezi wa pili mwaka huu, Tukaomba ila chaajabu tukaanza kukatwa kwanza bila kupewa hela na tukiwauliza utumishi wanadai jamaa wa hadhina wanazingua mala...
  20. Zakaria Maseke

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma: Sehemu Sahihi ya Kupeleka Malalamiko Ukifutwa Kazi

    Kama ilivyowekwa bayana na Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Tanzania Posts Corporation Vs (dhidi ya) Dominic A. Kalangi, Rufaa ya Madai na. 12, 2022. Mwandishi: Zakaria Maseke (Advocate Candidate) MATERIAL FACTS (STORI YA KESI): -Dominic A. Kalangi alikuwa ameajiriwa na Shirika la Posta...
Back
Top Bottom