watumishi wa umma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iunde Taasisi ya Usimamizi na Ukaguzi kwa Watumishi wa Umma. Hii PEPMIS tunawekeana 90% maisha yanakwenda, hakuna mabadiliko ofisi za umma

    Hello! Nikiwa kwenye corridor za umma takribani miaka 10 sasa nimejionea uzembe wa kiwango kikubwa sana. Watumishi wengi wa umma maadamu mshahara wao ni lazima wapate kila mwezi na posho zipo palepale basi watumishi hawataki usumbufu kabisa. Hata ubunifu hakuna. Unakuta ofisi leo inaomba...
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO Kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya Utumishi imekuwa kero sana

    Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana. Taratibu za mtumishi kufuata ili kupata uhamisho zinawekwa na wizara lakini bado barua zinachukua zaidi ya miezi Sita (6) kutoka huko...
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Wakenya kutaja mali za Watumishi wa Umma na kuwauliza wamezipataje!?

    Baada ya kufanikiwa kwa kiasi kwenye maandamano ya kuzuia muswada wa sheria ya fedha uliopitishwa na wabunge usisainiwe na Mh Rais,Wakenya sasa wanakuja na namna nyingine ya kuwatambulisha wezi wa mali ya Umma,Wananchi wa Kenya wameonelea kutaja mali za watumishi wa Umma,wabunge na mawaziri ili...
  4. copyright

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) inaangamiza watumishi wa umma

    Salaam! Ni jumanne iliyo njema sana. Moja Kwa moja kwenye mada. Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
  5. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Asante JamiiForums: Hatimae watumishi wa Umma wamelipwa Mishahara yao, kelele zimefika kwa mamlaka

    Nipenda kutuma Salamu zangu kwa mwanzilishi wa JF, watumishi wa JF na watumiaji wa JF. Ni mtandao unaofuatiliwa na kusomwa na wengi. Napenda kuwashukuru kwa kuusimamia Uzi uliokuwa unaelezea kulipwa mishahara ya watumishi Umma, June 2024. Watumishi wamelipwa baada ya kelele kuwa nyingi...
  6. REJESHO HURU

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma wale wa madaraja sikilizeni hapa mpaka mwisho

    Majibu ndio hayo msisononeke
  7. mchawi wa kusini

    JamiiForums Tanzania Nimegundua wafanyakazi wa Tanzania ni njaa sana

    Habari ya Jioni Jf, sina Mengi zaidi Nimekuja kugundua Wafanya kazi wa Tanzania wananuka Njaa Sana,yaani mshahara umechelewa kidogo kila mfanyakazi analalamika mara hivi mara vile. Niwaombe nyinyi wafanyakazi mnao lia lia mjitahidi muwe na nyenzo zingine yaani literally uchumi kingine sio...
  8. majumba 6

    JamiiForums Tanzania Kuanzia mwezi huu, June 2024 mishahara ya watumishi wa umma itakuwa inalipwa Kati ya tarehe 28 - 30

    Taarifa kutoka TUCTA Ndugu wafanyakazi napenda kuwataarifu kwamba kuanzia mwezi huu mishahara itakua ikitoka tarehe za mwisho wa mwezi yaani tarehe 28-30. Lengo la kufanya hivyo ni kuondoa gap lililopo kati ya tarehe za mishahara wa sektabinafsi na sekta za Umma. Mwenyekiti wa TUCTA kasema...
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mishahara imechelewa kutoka June 2024, watumishi wa Umma wana maisha magumu sana

    Kuna Kila dalili serikali kuwaonea huruma watumishi wa umma Hadi Leo tar 23.6.2024 mishahara haijatoka. Hili ni tatizo ,na ukiona serikali imeshindwa kulipa watumishi wake jua ipo mwishoni. UPDATES: Habari hii imekanishwa. Zaidi soma...
  10. maina23

    JamiiForums Tanzania Hata usiku huu nimeangalia promotion madaraja kwa watumishi wa umma

    Naomba ajitokeze HR mmoja aseme modality ya upandishaji madaraja.. Wadau wahusika wataelewa tu kwa sababu kila ninapocheki profile level ya cheo iko vile vile ...saaa mimi kama mm sitajali HR yyt aseme kitu
  11. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Ni wakati Muafaka sasa watumishi wa Umma kumsamehe Hayati Magufuli na kayaishi Mazuri yake

    Watumishi wengi mpaka leo hii hawamkubali JPM kwa sababu kuu nne 1.Mishahara haikupanda 2.Watu hawakuajiriwa 3.Madaraja hawakupandishwa 4.Mianya ya Upigaji ilizibwa Sasa mambo mengi mazuri ambayo Magufuli kaifanyia hii Nchi ni wazi sasa ni wakati Muafaka watumishi kusamehe na kuyaenzi...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kuonea watumishi wa umma

    • Mishahara kidogo • Kuna Taasisi posho zao halali za nauli na Uhamisho zinalipwa kwa mbinde . • Sasa mmeleta PEPMIS ambayo watumishi wanapaswa kujaza kila wiki. • Kikokotoo kandamizi kimetupwa kwa watumishi. • Idadi ndogo ya watumishi inaathiri watumishi waliopo makazini maana mtumishi mmoja...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Madhara na suluhisho la kuendelea kuwapa kazi watumishi wa umma waliostaafu

    Katika ulimwengu wa sasa, ambapo mabadiliko ya kiteknolojia na kijamii yanaendelea kwa kasi, nchi nyingi zinafikiria mbinu za kipekee za kushughulikia masuala ya ajira na ustawi wa kiuchumi. Moja ya mbinu hizi ni kuendelea kuwapa kazi Watumishi wa Umma waliostaafu. Ingawa hatua hii inaweza...
  14. The Sunk Cost Fallacy 2

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma 586,000 wametwishwa mzigo wa kuhudumia Watanzania zaidi ya milioni 65. Kwanini serikali haiwalipi mishahara mizuri?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Waziri wa Mipango na Uwekezaji Prof.Kitila Mkumbo,Nchi ya Tanzania Ina Jumla ya Watumishi wa Umma 586,000 ambao wanafanya kazi kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wa Serikali. 1. Wizara na Idara(Serikali Kuu) 2. Mamlaka ya Serikali za Mitaa 3. Mashirika na Taasisi za Umma...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma sasa wameamka

    Tofauti na miaka mingine yote, kwa sasa watumishi wa Umma wameamka kutoka usingizini. Wengi wao wameshagundua kuwa, mtetezi wao mkubwa si Wabunge wala serikali bali ni Viongozi wa vyama vya upinzani. Hawa ndio watetezi wakuu wa watumishi wa Umma kwani husimama hadharani na kuyalalamikia...
  16. kichongeochuma

    JamiiForums Tanzania KERO TAMISEMI kuwanyima watumishi wa umma stahiki zao kwa sababu ya mfumo ambao hata hamjazingatia mazingira yao ya kazi ni ukatili mkubwa kwao

    TAMISEMI inacheza na maisha ya watumishi wa umma , kwamba hawato pata stahiki zao za kupanda madaraja kwa kisingizio cha PEPMIS mfumo ambao unahitaji mda kuuelewa na unahitaji vitendea kazi ni kuwafanyia ukatili mkubwa watumishi Kwa taarifa zilizopo ni kwamba mfumo huu kwenye simu na vishkambi...
  17. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Uhuni mkubwa wanaofanyiwa watumishi wa umma katika michango ya PSSF

    Huu ni uhuni mkubwa unaofanywa either na PSSSF or Hazina kwa maana kwamba michango ya pesa zinazotakiwa kuingia PSSSF haionekani kabisa na hii inapelekea kupunguza kiasi cha pesa ambacho mtumishi mstaafu anastahili kukipata kama kiinua mgongo baada ya kazi kubwa ya kulitumikia Taifa. Ni...
  18. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Watumishi wamejaa viburi hawatekelezi maagizo ya wakubwa wao au ni maigizo?.

    Haya ni mambo yanafikirisha kidogo, kipindi cha shujaa wa Afrika kipenzi cha wana Hayati Magufuli Wananchi walikuwa wakifurika na kutoa malalamiko ya kero zao mbalimbali tofauti tofauti na kuonyesha kuwa zinatatuliwa na wengine kupewa maagizo, na kuona yamepokelewa na kuahidiwa kumalizwa...
  19. T

    JamiiForums Tanzania KERO Mkurugenzi Manispaa ya Moshi awalazimisha watumishi kufyeka na kusafisha makaburi ya Karanga siku za mapumziko

    Kichwa hapo juu cha husika, huyu Mkurugenzi tangu Jumamosi iliyopita aliwaamuru watumishi hasa walimu kuchukua mafyekeo na majembe kwa amri na vitisho kwenda kusafisha makaburi siku ambayo si ya kazi. Leo tena Ijumaa ametoa vitisho kupitia kwa Walimu Wakuu kuwa asijekwenda kusafisha makaburi...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi wa Umma kupandishwa madaraja karibuni

    Kiukweli tunafarijika sana kuona sisi waajiriwa wa serikali mama akitukumbuka. Hatimaye tunaenda kupanda daraja kwa mara nyingine baada ya kupanda 2021. Kongole Mama yetu, tunakupenda sana, yaani mitano tena.
Back
Top Bottom