Jinsi mabenki yanavyowaibia watumishi wa umma kupitia mikopo

NUMAN

JF-Expert Member
Sep 3, 2019
614
831
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
 
Miezi 96 ni miaka 8. ni mjinga pekee anayeweza kopa mdogo hivyo kwa kipindi cha zaidi ya miezi 48.

Mikopo ya muda mrefu mi ghali sana.

Yaani unakopa kabla ya mtoto kuzliwa unaendelea kulipa mpaka mtoto anafanya national ya std 4.
 
Kwani utachukua mkopo bila kusoma mkataba
Mkuu yaani acha tuu.
Wanachokifanya kwenye ule mkataba just wanakuambia just usaini sehemu yako na shahidi wako tu. Ile sehemu utalipa kiasi gani wanajaza wao wakati haupo, apo utakachoambiwa ni makato ya mwezi ni kiasi gani.

Ni mtumishi mwenyewe azidishe makato ya mwezi na idadi ya miezi ya mkataba, hapo ndipo anaweza kugungua huu wizi.
 
Habari za jioni GT...Niende moja kwa moja kwenye mada.

Mabenki nchini wanawaibia sana watumishi wa umma kupitia kinachoitwa mikopo ya watumishi. Nina rafiki yangu anafanya kazi serikalini. Juzi alienda kukopa pesa benki (NMB)...sasa shida ilianza juu ya mchanganuo wa mkopo, duh, ni hatari.

Kwa kiasi cha Tsh mfano 6M, unatakiwa urudishe almost zaidi ya 10M. Bado kwenye hiyo 6M uliyoomba, wanakata 8% kama processing fee. Hivyo, unajikuta unachukua net take home 5.4M. Kumbuka mkopo huu unakatwa kwa muda wa miezi 96. Yaani, unapewa 5.4M, unarudisha 10.6M. Hii ni sawa na riba ya 100%.

5.4M * 2 = 10.8M. Kwanini wasikopeshwe bure kama walivyo wafanyakazi wa BOT, NMB, NK ambao hawatozwi riba kwenye mikopo yao? Serikali ipo wapi kwenye wizi huu wa mchana?
Ndio maana fedha hizo zinarudi kama gawawo.....
 
Back
Top Bottom