watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Usiogope kuvunja miiko kama unaona imeshapitwa na wakati: Abe na NBA dhidi ya watu weusi

    Ni miaka ya nyuma sana, Wazungu walikaa chini na kugundua michezo mbalimbali ambayo ingewafanya kuinjoi maisha, kutengeneza pesa na kupata vitu vingine, hapo ndipo walipogundua mchezo wa kikapu (Basketball). Ulikuwa mchezo mzuri tu, haukuwa ukipendwa sana, walikuwa wanacheza Wazungu tu...
  2. President of China

    JamiiForums Tanzania Askofu Desmond Mpilo Tutu wa Afrika ya Kusini hakukaa kimya kuwatetea watu weusi (Dini vs Siasa)

    Kumekuwa na discussion kuhusu kuchanganya dini na siasa. Kusema kweli jambo hili limafikirisha sana. Askofu Desmond Tutu wa Afrika ya kusini alisimama na waafrika kupinga sera za ubaguzi wa rangi huko Afrika ya kusini. Ukombozi wa mtu mweusi umekuwa ukipiganiwa na maaskofu miaka mingi. Hapa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Watu weusi watabaki masikini na duni milele

    Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu. Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele". Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa...
  5. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania KWELI Argentina iliua na kuondoa kizazi cha watu weusi ili kulinda kizazi cha watu weupe

    Baada ya Afrika, bara la Amerika Kusini ndilo lenye watu weusi wengi zaidi wakikadiriwa kuwa zaidi ya milioni 170 huku Brazil ikiongoza ikiwa na watu weusi takriban milioni 120. Nchi ya Argentina inatajwa kuwa mpaka sasa watu weusi ni chini ya laki mbili wakiwa takriban asilimia 0.5% kutoka...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  7. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Jamii ya watu weusi inaangamia kwa kupenda miujiza, maajabu na mazingaombwe badala ya kupenda kuwajibika kwa juhudi na maarifa

    Mimi ni Mkristo nisiyeamini katika makanisa na miujiza, maajabu na mazingaombwe. Ila jana nilienda kusali kwenye kanisa moja nikiwa nimeambatana na rafiki yangu na baba mzazi wa rafiki yangu, huyu mzee anasema kila siku anawaona nduguze waliokufa siku nyingi wanamwita. Na nyakati nyingine...
  8. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Je, tatizo la nchi zetu za watu weusi ni kuwa na uwezo Mdogo wa fikra?

    Naomba mawazo ya Great thinkers yatumike hapa. Yaani unakuta mtu Katika familia hana uwezo wa kuwafanya watoto au kuwaandalia maisha kipindi akiwa Mdogo hadi kuwa mtu mzima yaani unazaliwa bila kuoneshwa njia yakupita na wapi utokee ili ufike salama. Mfano Mimi binafsi kipaji changu cha asili...
  9. The Boss

    JamiiForums Tanzania Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors. History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
  10. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Watu weusi hawapaswi kuwa viongozi kwa sasa hadi pale watakapopata akili

    Kwa kuwa bado sisi watu weusi maarufu kama Waafrika hatuja pata akili ni vyema basi swala zima la uongozi tuachie wazungu na watu jamii za mashariki mwa asia ya mbali (wachina, wajapan, wakorea .........) Sisi kama watu weusi cha kufanya sasa kuanzisha mpango kabambe wa kukopa watu kutoka...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Video: Hali ya maisha kwa watu weusi yazidi kuwa mbaya USA

    Kwa kawaida watu wengi wasio na makazi nchini USA ni wale wa asili ya Afrika, sasa najiuliza, kundi hili tu ndio wavivu wa kufanya kazi? Kundi hili tu ndio wahanga wa madawa ya kulevya? Au ni tatizo la kimfumo zaidi? Lakini pia, kwenye video hapo chini, kwa siku za hivi karibuni, na wale wa...
  12. ASIWAJU

    JamiiForums Tanzania Waafrika/watu weusi tuna matatizo gani?

    Ningependa kuwakaribisha wadau wote kwa majibu yenu juu ya swali hili hapa chini. SWALI Ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je ni lipi hasa tatizo letu sisi Waafrika/watu weusi hapa duniani, kwa nini tupo nyuma katika mambo mengi tofauti na Wazungu na Waasia? Karibuni kwa maelezo na majibu yenu...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ajenda za ufeminia, mapenzi ya jinsia moja, kulazimisha uwepo wa watu weusi, kumenipunguzia hamu ya kuangalia filamu/tamthilia za kisasa za Marekani

    Feminism – hawa feminists ajenda yao ni kutumia nguvu kubwa kuproove kwamba wanawake wapo sawa na wanaume na wanawake inabidi wapewe kipaumbele, huko Hollywood ndio wameona iwe sehemu ya kupush ajenda zao. Mfano kwenye muvi ya Wakanda kutoka Marvels iliyotuwakilisha vema waafrika wameona ndio...
  14. aka2030

    JamiiForums Tanzania Kwanini Argentina hakuna watu weusi?

    Nauliza tu taifa hilo why halina watu weusi wakati mataifa jirani yao wamejaa tele.
  15. D

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunakwama wapi?

    Jana France imeumizwa na watu weusi kama ilivyoumizwa england mwaka jana. Nashindwa kufahamu tatizo ni nini, siku zote pakishakuwa na mikwaju ya penalty ukiona wabantu wanasogelea sogelea mpira ni maharibiko tu yatakayotokea. Hivi ni kweli kuwa mtu mweusi amelaanika?
  16. G

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kujaza watu weusi kwenye timu ya taifa ni kuendeleza utumwa

    Kwanza kabisa nimefurahi Messi kuchukua kombe la dunia. Isingekuwa haki kama huyu mwamba angestaafu bila kuchukua hii ndoo. Poleni timu Ronaldo, mimi nafurahi nikiona mnaumia. Niende kwenye mada husika. Timu ya Ufaransa imejaa wachezaji wa Africa. Nimeona waafrica wengi wakiishabikia Ufaransa...
  17. Poker

    JamiiForums Tanzania Kwanini jamii ya Wayahudi inalindwa sana duniani kuliko watu weusi?

    Jamii ya wayahudi imekuwa ni jamii inayolindwa sana duniani kiasi kwamba ukiongea neno lolote lenye kiashiria kibaya au cha kibaguzi dhidi yao hata kama ni cha ukweli lazima wakushughulikie. Ila jamii ya watu weusi kutwa kucha inabaguliwa lakini hatua hazichukuliwi na inaonekana ni sawa tu...
  18. Active

    JamiiForums Tanzania NADHARIA Vyakula vya mbegu vya GMO vipo kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi

    Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
  19. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

    Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo. GMO ni nini? Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
Back
Top Bottom