Hii dunia ni yetu pekee na watu wote ni watumwa wetu (kumbukumbu zangu Juni 17, 2020)

Nelson Jacob Kagame

JF-Expert Member
Dec 26, 2022
9,473
12,866
Nilibahatika kuhudhuria kwa njia ya video za kupandikiza kijasusi na kwa kificho kama mtafiti wa dini za binadamu na akili za binadamu na utashi wa kibinadamu na hulika za binadamu majadiliano ya kikundi kimoja cha itikadi za kidini na kisiasa cha wafuasi wa juu kivyeo ndani ya chama hicho. Na kikao kilikua kirefu ila maazimio yao yalikua kama yafuatayo:

1: Hakuna kushirikiana kujenga himaya za kisiasa na jamii za watu wasio wa jamii yetu kwa sababu kiasili wao ni vizazi vya watumwa.

2: Ngozi yetu ndio ngozi bora kuliko jamii yoyote na tuna haki ya kutawala dunia nzima na kuzifanya jamii nyingine vijakazi na watumwa.

3: Asiyefuatisha mitizamo yetu na tamaduni zetu hafai hata kua mtumwa auawe.

4: .Haki ya kuwafanya wengine watumwa ni yetu pekee kwa sababu ya ubora wa rangi na ngozi yetu

5: Dunia nzima ni haki yetu kuimiliki na ni haki yetu kuwalazimisha watu wengine wafuate mitazamo yetu na itikadi zetu na utaratibu wa maisha yetu.

6: Wapinzani wetu wakuu wametuwahi kwa ushawishi wa mda mrefu ila tutumie nguvu kuuondoa bila majadiliano.

7: Sisi ndio jamii bora duniani hivyo tusiruhusu jamii duni ziingize damu katika jamii yetu.

8: Watu wa jamii zote duniani ni watumwa wetu hivyo tujitahidi kupoteza tamaduni zao na lugha zao na kuwapandikiza lugha na ushawishi na tamaduni zetu ili tuvifute vizazi vyao baada ya milenia moja.

9:Imani ndio njia pekee ya kukusanya wafuasi wa kutufanyia kazi zetu na tuwatumie kama madaraja ya kufikia malengo yetu.

Hayo ni malengo tisa ya wafuasi wa kikundi hicho na mikakati yao ya kuitawala dunia baada ya miaka elfu moja kuanzia 2020 na wamejipanga kuitimiza kwa gharama yoyote ile.Baada ya kikao kile na wao viongozi kujipangia majukumu nikahitimisha kitu kimoja katika utafiti wangu wa akili za binadamu na mapokeo yao.

Binadamu wengi duniani wa madaraja tofauti ya akili yanayopelekea kua na maadhimio na maoni na maamuzi ya nje ya ubinadamu.Hainiingii akili kujiharasishia kuua au kumfanya mtumwa binadamu mwenzio kwa sababu ya rangi yake au tamaduni yake au imani yake na wewe kujipa hadhi ya kuhozi maisha yake na kumpangia namna ya kuishi.

Hivi mpaka karne hii kumbe kuna binadamu wana fikira za kujiona wao ni bora kuliko wengine na hii itapelekea migogoro katika hii dunia kutokuisha.Nimejaribu kufuatilia utekelezaji wa maadhimio ya kikao kile na nimeona sehemu mbalimbali duniani yanafanyiwa kazi ili kuja kutoa matokeo ya mda mrefu ujao.

Wakati binadamu mengine wanapenda amani basi kuna binadamu wana mikakati ya kuwatawala wengine katika nyanja zote. Wasiwasi wangu ni kwa jamii zetu wabantu maana naona ndio kama tutakua wahanga wakubwa wa dhahama kama hizi kwa sababu hatujitambui na tumekataa kujitambua kwa makusudi kabisa.

Wakati wewe unapenda amani basi ujue kuna watu duniani hawapendi amani.Wakati wewe unapenda usawa basi ujue kuna watu duniani hawapendi usawa.Wakati wewe unapenda umoja basi ujue kuna watu duniani hawapendi umoja.

Wakati wewe unapenda binadamu wenzio basi ujue kuna binadamu wanakutazama wewe kama mtumwa au kijakazi au mtu wa daraja la chini,kwa sababu tu ya rangi yako ya ngozi na imani yako na asili yako.

Siwezi kuhitimisha kwa kusema binadamu ni wenye mapungufu ila naweza kuhitimisha kwa kusema binadamu wana utashi tofauti tofauti katika hii dunia.
 
kuanzia pale kwenye paragraph ya wabantu umeongea kinabii zaidi,

Umeongea, Ukweli, Ukweli mtupu Ee Mungu Nisaidie.
 
Na siku za usoni kutakuwa hakuna hata haja ya Watumwa watabakia AI na waliozitengeneza.

Hii ni Planet of the Apes 👈
 
Back
Top Bottom