watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Watu wengi ambao wanawapinga mafasadi ni kwamba hawajapata hiyo nafasi ya kufisadi ila sisi waafrica (Watu weusi) kiasili ni wapigaji na wezi .

    Sisi watu weusi, kiasili ni wezi ni vile mtu hajapata nafasi . Kupitia Asili yetu ya tamaa za Mali ,fedha na ngono . Basi wenzetu weupe wamekuwa waki -take Advantage hiyo kutulewesha , kutupa rushwa n.k Wahindi , waarabu na wazungu , wanaujua udhaifu wa mtu mweusi kuwa anaongozwa na tamaa ya...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubora wa hotuba ya Gwajima ya jana ni tofauti yetu Watu weusi na Wazungu katika kuwatumia vizuri watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili

    Kwenye hotuba ya jana tarehe 15/08/2025 ya Gwajima, kwenye maneno yote aliyozungumza, neno bora kabisa ni lile kuhusu watu weusi tunavyotofautiana na Wazungu katika kuwatumia watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili. Kila siku nikiona namna watu wenye akili na upeo tofauti wa kufikiri na kutenda...
  3. Knock life

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tunashindwaje kuandaa wealth generation kama Rockefeller Family , ili watoto wetu wasiishie kuwa vibarua au bodaboda!

    Ukisoma historia ya Rockefeller Family . Unaona kabisa lipo swala la kujifunza sisi watu weusi au blacks. Juzi nimeangalia Familia ya Job Ndugai naona kabisa Changamoto. pamoja na ukwasi wa Ndugai Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi?

    Kila siku nakaa natafakari matendo na vitendo vya mtu mweusi unabaki unajiuliza hawa viumbe akili zao ziko wapi? Leo watu wamefurahi sana kuchangia na kuchangiwa. Mabilioni ya pesa yamechangishwa kukiunga mkono chama. ILA SISHANGAI Watu ambao kila kukicha wanaomba misaada kwa ajili ya...
  5. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen???

    Je Watu Weusi Tunahitaji Sunscreen??? Discuss🤣🤣🤣
  6. Fbn

    JamiiForums Tanzania Watu weusi uchawa ulianza kipindi cha Obama kuwa Rais kama mtakuwa na kumbukumbu

    Mtu mweusi aliposhika madaraka marekani kulikuwa na kiwango cha uchawa kila kona kwa watu weusi mpaka kwao. Nakumbuka ilifikia kule marekani uchawa ulifikia mpaka kwa wasanii kuanza kumuimba na wakina lucas mwashamba wa kipindi kile yani walikuwa wengi kila kona obama kama huku na kila jambo ni...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tuna roho mbaya sana. Wenzako akipatwa na baya wewe ndio unafanya harusi

    1.Ni watu weusi ndio tulikuwa tunauza ndugu zetu utumwani,siyo waarabu. Ni watu weusi ndio tunauuana hovyo hovyo kwenye bara hili la Africa. Ndio tunaoongoza kwa uvivu na ulaghai . Ndio tunaona ni Bora kuuza urith wetu kwa wengine, Hatuna roho ya kutosheka kwa chochote,tunapobarikiwa...
  8. fact only

    JamiiForums Tanzania Watu weusi tuna shida Sana (Mindsets)

    Habari Wakuu. Jioni nikirudi nyumbani huwa naangalia mpira CWC. Sasa kabla wanaume hawajaanza huwa naangalia mpira wa wanawake(Timu za taifa za wanawake) wachezaji wanawake wa timu za watu weupe wapo vizuri Sana kimuonekano Yani wamesuka vizuri wana haiba zote za kike. Njoo Kwa timu za watu...
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Ushauri , Sisi watu weusi mambo ya uongozi hatuyawezi tukubali nafasi kama Rais , mawaziri na makatibu wawe ni wazungu .

    Wakuu . Mimi nimetembea duniani kote USA UK France German N.k Tukubali tu kuwa sisi watu weusi mambo ya kutawala nchi hatuyawezi Ila tunachoweza ni kuwa chini ya utawala wa MTU Fulani . We are not organized Angalia nchi Kama Venezuela haina , Gas , haina mafuta Ila ni moja ya richest...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Baba anatoa nyumba yake ya Kariakoo wakfu iwe mali ya msikiti, huku watoto wake wamepinga hawana urithi, why Watu weusi hatujui Generational wealth

    je ni sawa baba yenu aliyezeeka kutoa nyumba yake ya pekee kwenye prime area kariakoo kuwa mali ya msikiti huku watoto wake hamna maisha ya kueleweka, mnateseka kutafuta mtaji wa kujikomboa ? video inaonesha mzee mwenye umri wa miaka 97 akiitoa nyumba yake ya kuishi yenye ardhi yenye thamani...
  11. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Watu weusi kwenye Biblia

    Biblia inawataja watu weusi, ingawa si kwa lugha hiyo ya kisasa. Unapochunguza maandiko, utakutana na watu na jamii ambazo kijiografia na kihistoria zinaelekeza kwenye watu wenye asili ya Afrika. Hawa ni baadhi yao: * Wamisri: Misri, iliyoko Afrika Kaskazini Mashariki, inatajwa mara nyingi sana...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Makundi yanayoongoza kwa ubaguzi na chuki dhidi ya watu weusi

    Makundi ya Kikabila Yanayojulikana kwa Ubaguzi Mkubwa Dhidi ya Weusi Duniani Ubaguzi dhidi ya watu weusi upo duniani kote kutokana na historia, siasa, na mitazamo ya kijamii. Ingawa si rahisi kupima kiwango cha ubaguzi kwa kila kundi la kikabila, baadhi ya jamii zinajulikana kwa kuwa na...
  13. Intricate

    JamiiForums Tanzania Watu weusi na laana ya kubaguana wenyewe kwa wenyewe

  14. S

    JamiiForums Tanzania Je, Ni vitu gani vinatufanya watu weusi tuwe na akili ndogo?

    Hakuna kitu cha maana ambacho tumeisaidia dunia. Kiufupi tupo tupo tu, Tunasubiria watu wa mashariki ya mbali waje watusaidie. Tumejiandaa vipi majanga ya asili kama tsunami, tetemeko etc yakitotea? Je, Kuna siku Waafrika tutakuja kuwa na akili za kuweza kutatua changamoto zetu? Au ndo...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Vita ya DR Congo na M23 ni tafsiri ya namna watu weusi ni wabaguzi wao kwa wao, wakabila, wabinafsi n. k

    Umewhi kujiuliza kwenye hio vita ya congo ingekua ni jamii mbili tofauti ndo zinazopiganna yani mfano jamii moja iwe mtu mweus nyingine iwe mzungu au mwarabu mu asia n.k Si kwa chuki, si kwa uchochezi, bali kwa kusema ukweli! unawezaje kumbagua mwafrika mwenzako mweusi mwenzako kisa kabila...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Rasmi nimeligundua hili, Mungu na Shetani hawapo: Dini ni utapeli

    Kuna watu ni wajinga wanaamini kabisa kwamba Kuna mungu utakuta mtu amefanyiwa ubaya na binadamu mwenzie eti namuachia mungu halafu Kwa mujibu wa dini huyo huyo mtu alienda kutubu anasamehewa aisee zindukeni dini na neno mungu limetungwa na matapeli Ili waweze kuitawala dunia ikiwemo kuanzisha...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Hawa watu weusi huku Uarabuni wametoka wapi?

    Kumchelile? Kwali mwenga! Kila nikipita humu JF lazima nikutane na Uzi unazungumzia ukatili wa mwarabu. Miaka yangu yote ya kuperuzi humu jf imekuwa hivyo. Na zaidi ni kwa namna gani waarabu wanawachukia, wanawatenga na wanawatesa watu weusi. Nikajikuta nikiwa muumini wa Imani hiyo miaka yote...
  18. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Jamii za watu weusi zina idadi kubwa ya Watu wenye Crab Mentality (Kaa kwenye ndoo)

    Jamii nyingi za WATU weusi zina Crab mentality au huitwa kaa kwenye ndoo. Kaa wakiwa kwenye Ndoo yule mmoja anayejaribu kutoka huwa anavutwa na kurudishwa ndani ili asitoke , maana yake kinachotekea hakuna kaa atakayefanikiwa kutoka katika ndoo. Hii ndo mentality ya jamii nyingi za WATU weusi...
  19. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Watu weusi Ughaibuni na Kelele

    Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea masaa kw simu kwa nguvu zote kama roho inakata😡😡😡😡😡 na hajali Kama kuna watu wengine na ambao pia...
  20. instagram

    JamiiForums Tanzania Kuna mikutano ya siri kutuondoa watu weusi duniani

    Wakati viongozi wetu wako busy kununua madege ya kula bata na kizurula duniani badala ya kutengeneza mikakati ya kutengeneza ndege zetu za vita na mabomu ya nyuklia ya kujilinda dhidi ya vita ya tatu ya dunia waafrika tumejisahau sana ila tungejua tu kuwa bila mzungu kutukingia kifua hakuna race...
Back
Top Bottom