Tuseme Wasomali wanajitambua ,maana hawakubali kuitwa Waafrika ,na hujitambulisha kama ni msomali na anatoka Somalia.
Hata waZanzibari wanakwambia ni wa Zanzibari na wanatokea Zanzibar hawajitambulishi wala baadhi ya wakati hawakubali kuitwa waafrika.
Na kuna nchi viongozi wake huwasikii kusema ...sisi waafrika...hivi na vile.. Ila Hapa Tz tumejaa ujahili wa kujifaharisha kuwa ni waafrika, utawasikia vitimba kwiri ya CCM ....sisi waafrika.... ,hapo anawahutubia wananchi wa kijiji ,wilaya,mkoa au Nchi ,sasa ni aibu kusema sisi waTanzania ? au mtu kujijulisha kuwa ni Mtanzania na kuweka mbali kabisa neno Afrika!
Dharau kubwa huko ulimwenguni,tunadharaulika na wakitilia mkazo kidharau utawasikia ...Africans ,..We know you people from Afrika, yaani tunajumuishwa aliekuwemo na asiekuwemo.
Viongozi wetu acheni kulitumia hili jina Afrika mnapotuwakilisha au huko mnakotembea muonekane mnatoka Tanzania na ni waTanzania.
Je Waafrika ni watu weusi watupu ? Au tunapotoshwa na wazungu ? Hili jina linatumika kutudharau na kuonekana watu weusi si binadamu wazuri.