watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Tuombe angalau biashara za watu weusi Tanzania zi-survive hata vizazi vitatu maana matajiri weusi wakishakufa ni mwendo wa tunatoana roho mali za baba

    Hawa wakina pravin na jabir wamerithi tokea babu na anaambia baba wa babu yao ndio alianzisha hio business ambayo leo ni kampuni. Watu wana muunganiko wa pesa tokea nyakati ya arab slave trade Ila kwa upande wa wala ugali , baba akishakufa tu unaanza kupambana na watoto hwwataki kila kitu ila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wazungu vs watu weusi in social media

    Kuna tofauti kubwa sana kati ya sisi watu weusi especially tunavyotumia social social media na wenzetu . hilo group lipo USA na angalia post za mtu anatka msaada anavyoandika jamii forum. wazungu sio kama wana akili sana ila community zao zinafanya mtu anajua kujielezea na fanya watu waweze...
  3. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi matajiri popote duniani wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kuonyesha mafanikio yao?

    Celebrities na matajiri weusi kuanzia Marekani, Nigeria, South Africa, Kenya mpaka Tanzania wote tabia zao zinafanana, wanapenda kuonyesha maburungutu ya pesa kwenye matukio kama harusi, birthday n.k au hata pasipo matukio. Sijawahi kuona hii tabia kwa Wachina, Wahindi, Wajapan, Wakorea au...
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ni furaha ilioje jana watu weusi wameshinda. Nimelala kwa furaha sana

    Jana team yetu weusi imeshinda dhidi ya weupe. Kiukweli nliombea sana hilo litokee sababu sikupenda wale weupe wapate ushindi. Mbape, Dembele hawa asili yao ni huku huku kwetu nimefuatilia kumbe Kylian ni Mnyakyusa kabisa. KYLIAN MWAMBAPE na Dembele ni Mnyamwezi. Nikaona hawa ndo wenyewe...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Kazi wanazofanya Watu Weusi Marekani Sio Kubeba Box ,Dada huyu kwenye Video Ametupa Ubuyu

    My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
  6. Stability

    JamiiForums Tanzania Watu weusi mlipigwa mchana kweupe na mkakubali

    Ukweli ni kuwa Obama hakuwa raisi wa kwanza mweusi hapo US bali Raisi wa kwanza chotara.
  7. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Magaidi Jama’at Nusrat al-Islam wal Muslimin wenye uhusiano na Al- Qaeda, wametangaza zawadi ya mabilioni kwa atakae toa taarifa ya alipo rais wa Mali

    Taarifa ya kundi hilo la kigaidi la JNIM limekuja siku moja tu, baada ya serikali ya Mali, kutangaza zawadi ya mamilioni ya pesa kwa yeyote mwenye taarifa kuhusu watu walioishambulia serikali, miundombinu na raia. Kobaz once again...
  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha maana tulichovumbua sisi watu weusi?

    Kama kijana ukitaka uimalike kifikra unapaswa uchukie na uwe kando na kile chochote kilicho kuwa na umaarufu katika utamaduni wa watu weusi ■Makalio makubwa ■Kulalamika kila tabu ni kwa sababu ya mzungu ■Uchawa ■Utapeli wa kidini ■Utapeli wa mafanikio ya kiganga ■Kuzaa bila mpangilio ■Kuoa wake...
  9. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu weusi ndio wanaoongoza kubaguliwa zaidi duniani?

    Kwa nini ukienda popote duniani penye ubaguzi wa rangi utakuta wanaoongoza kubaguliwa zaidi ni watu weusi? Iwe blacks huko America au Ulaya, Wahindi weusi India au Waarabu weusi uarabuni Hali ya ubaguzi bado ni hiyo hiyo tu. Yani hata hapa Africa baada ya kupata uhuru kuna namna Wazungu...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika hasa kwenye tawala za watu weusi lisigawanye kwenye makoloni ili litawaliwe upya katika phase mpya ya Tatu?

    Kuna kila hali na kila namna bara la afrika kuanzia afrika magharibi,ukanda wa afrika mashariki,hadi ukingo wa afrika mashariki,tukiitoa ethiopia,afrika ya kati,na ukanda wa nchi zilizo kusini mwa afrika,mataifa yote haya yanapaswa kupokonywa sovereignty zao,watawala wa mataifa haya 1: wanatumia...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mnasemaga tunashobokea wazungu ila ndio wa kwanza kuwapokea katika tabu, jana mmejionea kiasi tu ya mambo waarabu/barberic wanayoweza kuwafanyia

    Maduka ya wa senegali yaliyopo mjini yamevamiwa na kuharibiwa na mashabiki wa morocco Mashabiki weusi waliokuwamo katika kundi la wamoroco wamezongwa na kusemewa maneno ya kibaguzi. Wanaijeria baada ya kuwashinda walgeria, mashabiki wa algeria walianza kuwaambia kuwa watawahasi na kuchukua...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Watu weusi hatutaacha kudharaulika kamwe

    Hebu fikiria, mtu mweusi akienda Ulaya anabaguliwa, akienda Marekani anabaguliwa, akienda Japan, China, South Korea, India, Australia kila kona anadharauliwa, why? Lakini wao wakija huku tunawaheshimu sana. Ukweli ni kwamba sisi watu weusi hatutakuja kuheshimika kwa kulia lia tu eti watu weupe...
  13. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna mwamba aliwahi kuandika uzi humu kuwa alipewa utajiri na majini kutoka uajemi na akasema wahindi wanakitabu cha namna ya kuwatumikisha watu weusi

    Jamaa mjanja sana baada ya huo uzi hajawaahi tena kuonekana na hicho kitabu hakuwahi kukisema, 😂😂 Jf is a mystery sometimes
  14. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kuwachanganya watu weusi na waarabu, unganisha kitu chochote na Mungu uone, direction yote inabadilika.

    Wenzenu wanaikimbizia mars, Nyie bado mnakanyagana kisa mafuta. Wenzenu wanabunu security system za kujilinda na kujihami, Nyie bado mnakatana vichwa kwa jina la mungu. Wenzenu wanajaribu ku-share intelligence na aliens kurahisisha maisha, Nyie bado mnalalimikia ugumu wa maisha ni kutokana na...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Moja ya kitu kinachofichwa katika historia ya sisi watu weusi ni kuwa tulikuwa washirika wakubwa wa kuwauza ndugu zetu utumwani

    Najua hii ndio sifa tuliompa mtu mweupe ili kuficha asili yetu wenyewe ila ukweli ni kuwa sisi waafrika kwa kiasi kikubwa ni moja ya jamii katili na ya ovyo kuwahi kutokea katika uso wa sayari hii ya bluu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Angalia huyu kiongozi wa zamani wa Afrika ya kusini (Kaburu) alivyowaelezea waafrika. Bado tuna safari ndefu

    “Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana uwezo wa kiakili na kimasikini wa kuongoza jamii. Wape bunduki, watakutana na kuua wao kwa wao. Wape mamlaka, wataiba fedha zote za serikali. Wape uhuru na demokrasia, wataitumia kukuza ukabila, utofauti wa makabila, chuki, mauaji na vita.”...
  17. TheGreatest Of AllTime

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli hakuna trace yoyote kihistoria au katika vitabu vya dini kuonesha sisi watu weusi labda tuna laana fulani maana tunapigika vilivyo

    Hii tabu, mateso, jasho na damu kwa sisi watu weusi sio vya kawaida , nawaambia wakuu sio kawaida. Kila kitu cha hadhi ya duni lazima namba moja iwe afrika, upumbavu, ujinga, kuoneana, magonjwa
  18. Poker

    JamiiForums Tanzania Tuzungumze Asili ya watu weusi duniani kote

    Kwa mujibu wa sayansi watu wote Duniani wametokana na nyani au sokwe mtu (chimpamzee) hivo maisha au uhai ulianzia afrika kisha kusambaa duniani kote. Ila mazingira ndiyo yalifanya kukawa na wazungu au watu weupe. 1- imekuaje IQ za watu weusi zikawa chini kulinganisha na watu weupe? 2- ni...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Je, Botha alikuwa sahihi kuhusu sisi watu weusi au basi tu alikuwa anacheza "MIND GAMES"?

    Botha aliwahi kuwa raisi wa afrika kusini wakati wa utawala wa kibaguzi. Haya ni baadhi ya maneno aliyoyasema katika hotuba yake inayojulikana kama "the rubicon speech" ALISEMA: "Watu weusi hawawezi kujitawala kwa sababu hawana akili na uwezo wa kifikra wa kutawala jamii ... Wape bunduki...
Back
Top Bottom