Watu weusi watabaki masikini na duni milele

Vladmir Putini

JF-Expert Member
Mar 22, 2022
777
1,442
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
 
Ecowas yuko tayari kushirikiana weupe kumtwanga Niger wakati wananchi wameyaunga mkono mapinduzi,Afrika bara lililoacha utamaduni wake na kufata tamaduni za weupe
Nashangaa sana NIGERIA na ukubwa wake eti ndiyo ya kwanza kuishawishi ECOWAS nzima waingie NIGER kijeshi, ni ujinga mtu kuhangaika na mataifa mengine wakati kwake tu pale boko haramu wamemshinda, magenge ya wahalifu yanateka na kuua watu kila kukicha na wameshindwa kudhibiti hiyo hali alafu leo wapeleke jeshi NIGER kwenda kumrudisha madarakani kibaraka wa weupe.

Au kwa sababu wanajua wakiingia kijeshi NIGER weupe watawaunga mkono ndo maana wanaji-aminisha hivo.

Bora Burkina faso ilisema wazi kuwa, ecowas ikiingia NIGER kijeshi itakuwa pia imetangaza vita na sisi.

Na leo naona NIGER wamefunga anga yao hakuna ndege kupaa, maana yake ndege itakayoonekana angani ni halali yao mpaka pale watakapoifungua anga tena.
 
Nashangaa sana NIGERIA na ukubwa wake eti ndiyo ya kwanza kuishawishi ECOWAS nzima waingie NIGER kijeshi, ni uijinga mtu kuhangaika na mataifa mengine wakati kwake tu pale boko haramu wamemshinda, magenge ya wahalifu yanateka na kuua watu kila kukicha na wameshindwa kudhibiti hiyo hali alafu leo wapeleke jeshi NIGER kwenda kumrudisha madarakani kibaraka wa weupe.

Au kwa sababu wanajua wakiingia kijeshi NIGER weupe watawaunga mkono ndo maana wanaji-aminisha hivo.

Bora Burkina faso ilisema wazi kuwa, ecowas ikiingia NIGER kijeshi itakuwa pia imetangaza vita na sisi.

Na leo naona NIGER wamefunga anga yao hakuna ndege kupaa, maana yake ndege itakayoonekana angani ni halali yao mpaka pale watakapoifungua anga tena.
Kama Burkina Faso kaamua kusimama na Niger ni jambo zuri sana,ni wakati wa Afrika kusimama na kuwa kitu kimoja ni kheri tuwe masikini tukiwa na mali zetu kuliko kuwa masikini uku tukiachiwa mashimo tupu
 
Huko sahihi, pia wengi tunashindwa wekeza kwenye kichwa nakuachia ujinga utawale
Sana.

Kwa kiasi kikubwa umaskini na uduni wetu unasababishwa na sisi wenyewe wala siyo wazungu.

Hasa uongozi mbovu (hili ndiyo tatizo cronic) na pili sisi waafrica hatujafunzwa kujikubali na kujipenda wenyewe, kuyapenda mataifa yetu, kwa kifupi uzalendo hatuja funzwa
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".
Mtu mweusi ana uwezo kama hao wengine....

Tatizo linaanzia katika UKOLONI NA UTUMWA....

Leo umebaki UKOLONI NA UTUMWA WA FIKRA.....

Bila ya kupambana dhidi ya UKOLONI NA UTUMWA WA KIFIKRA kamwe hatutosonga....
 
Kama Burkina Faso kaamua kusimama na Niger ni jambo zuri sana,ni wakati wa Afrika kusimama na kuwa kitu kimoja ni kheri tuwe masikini tukiwa na mali zetu kuliko kuwa masikini uku tukiachiwa mashimo tupu
Burkina faso na mali wamekataa kukaa upande wa ecowas wa kuingia niger kijeshi.

Na ni maamuzi mazuri mno kufanya hivo maana wanajua fika fitina na weupe, watawachanganya hapo muanze kupigana ninyi kwa ninyi alafu wao waendelee kuiba rasilimali zenu.

Yaani nilitamani sana ikiwa NIGERIA itaiongoza ECOWAS kuingia NIGER KIJESHI, alafu NIGER yenyewe itangaze vita dhidi ya nigeria ili wajutie uamuzi wao wa kifala mpaka wakimbie wenyewe.
 
Inafurahisha sana Pale mweusi anawaza kwenda kutafutia uzungunguni, huku wao wanawaza kuja kutafutia kwetu.
Broo niko Zanzibar for almost 5 years now.

Nakutana sana na watalii wazungu kutoka mataifa mbali mbali ulaya na kupiga now stori kadhaa.

Believe me wazungu wanasema "Africa is like a paradise".

Wanasema Africa ni nzuri mno kuliko ulaya, wanasema hali hewa tunayo nzuri, arable land ya kutosha, watu wake ni wakarimu bado tofauti na ulaya kila mtu yuko bize na mambo yake kiasi kwamba unaweza kufia ndani na upweke hata mwezi mzima na watu wasijue kuwa umefia ndani.

So, sisi hatujui kuwa tuko sehemu nzuri sana
 
Leo nna hasira najikuta sitaki hata salamu.

Japo inauma lakini ukweli ndiyo huo inabidi tuukubali kwamba "Watu weusi tutabaki kuwa duni milele".

Nimekuwa nikifatilia historia ya mtu mweusi since enzi za utumwa kuja huku mbele hadi leo, sijaona dalili za mtu mweusi kuheshimika, kujikomboa kifikra na kiuchumi.

Mpaka naanza kuwa na dhana huenda material yaliyotumika kutokea kwa mwanadamu mweusi yalikuwa tofauti sana na hayana thamani kama ambayo yalitumika kutokea kwa mwanadamu mweupe.

Yeah acheni tu nifikiri hivo maana sioni dalili ya ukombozi wa mtu mweusi dhidi ya uduni alionao.

Mtu mweusi awe anaishi nje ya AFRICA, popote duniani anapoishi ili mradi ni mweusi,huwa anakuwa treated tofauti kabisa na walio weupe.

Kifupi hatuna tunachoweza kujivunia kwamba sisi ni miongoni mwa watu duniani, kuanzia humu humu kwetu AFRICA tunamoishi hatuna kabisa cha maana tunachoweza ku-offer kwa ulimwengu zaidi ya ujinga na unafiki.

Nakupa mifano dhabiti kuanzia hapa hapa kwetu TANZANIA kwa kuangalia hali za kiuchumi.

Angalia matajiri wakubwa hapa TANZANIA wanaoshikilia uchumi wa nchi, wengi wao utagundua si weusi kwa asili, walio wengi ni waarabu na wahindi ndiyo wanaoshikilia biashara kubwa kubwa hapa kwetu, sisi weusi tunaambulia kuwa madalali wao tu na biashara za kawaida sana.

Si mahoteli makubwa makubwa, si viwandani wala biashara za bandarini kote huko ni waarabu au wahindi ndiyo wamiliki, sisi weusi tupo tupo tu yaani tukiamini wanatumia ushirikina kufanikiwa.

Nenda Zanzibar hapo kisiwani wanakosema tanganyika inawanyonya, hakuna kitu.

Zanzibar biashara zote kubwa kubwa ni Bakressa na waarabu/wahindi wenzake, lakini wazawa wao wanaishia kuwa wanunuzi tu au wauza madafu na ukwaju, hakuna biashara za maana ambazo weusi wazawa wanazimiliki.

Nenda kwenye mahoteli makubwa makubwa ya nyota 5 hadi 7 zanzibar uone wamiliki wake, ni wazungu wala siyo weupe, sisi tunaishiwa tu kuajiriwa kama ma-garderner na ma-house keeping kwa miashara ya laki tatu kila mwezi wakati wao wanavuna mabilion ya pesa kwa mda mfupi tu.

Angalia SOUTH AFRICA ambako tunaona ndiyo imeendelea sana kwa hapa Africa, lakini in fact hayo maendeleo ni ya weupe siyo ya weusi.

Data za WOLRD BANK zilizotolewa mwaka 2021 zinaonesha kuwa population ya wazungu south africa ni 10% tu, huku wenyeji wakichukua almost 90% ya population nzima.

Lakini cha kushangaza pamoja na wazungu kuwa wachache south, bado wao ndiyo wanamiliki asilimia 80% ya uchumi wa South Africa, that means the majority of south africans wana miliki only 20% of the whole south african economy.

Sasa hapo kuna pa-kujisifia kuwa weusi wenzetu wa kule wamepiga hatua ?

Kwa kifupi tumewaruhusu wazungu watutumie kujitajirisha hapa hapa kwetu, waumiliki uchumi wetu hapa hapa kwetu alafu sisi tukiishia kuwa vibarua wao, what hell is this ?

Alafu tunawashangilia kabisa na mara pengine sisi wenyewe tuna msaidia kutu-pora sisi.

Sisi watu weusi wakati wa uumbaji kuna kitu itakuwa hakikwenda sawa kabisa.

Sisi kwa sisi hatupendani na kuthaminiana kama wenzetu weupe, kipindi cha utumwa kuna weusi wenzetu walishirikiana na wazungu kuuza weusi wenzao kwa wakoloni, tumepita huko tumekuja sasahivi kwenye uhuru wa bendera, viongozi wetu wa kisiasa wa ki-africa wanawauzia wazungu na kuwa-binafsishia rasilimali zetu kwa bei chee kabisa kwa maslahi yao binfsi bila kuangalia maslahi ya wengi anao waongoza.

Hii ndiyo hali ya mtu mweusi ilivyo, na bado ukienda nchi za wenzetu na rangi yako unabaguliwa na kuonekana siyo binadamu mwenzao, wakati wao wakiwa huku unawachukulia kama malaika, what stupid is this

Yaani nchi za wenzetu wanaungana wawe wamoja na nguvu kwa ajli ya kujenga taifa lenye nguvu kwa ajli ya vizazi vyao, lakini sisi tunachojua ni kutengana,ubinafsi,usaliti, unafiki, mawazo finyu badala ya kufanya kazi unakimbilia kwa mwaposa kwenda kufata sijui udongo, maji na mafuta ya upako, yaani ni ujinga mtupu.

I wish ningekuwa mkuu jeshini, hii nchi ningeipundua mchana kweupe alafu niwafunze watu ni namna gani tunapaswa tuwe.

Africans we have a lot of excuces in attaining develepment.

To day I declare that, Being black is an Evil
Akili zenyewe kama ndio hizi zambarau zinazotutawala ikulu zote mbili basi usitegemee chochote.
Hata alie juu ni zambarau, hivyo ni wakala wa waarabu.

Niliwahi and iliyopo hivi:

Wazenji lazima wamuweke mtu mweupe mbele japo awe kama urembo, wao rangi imewaharibu. Mzanzibari hajui kufanya kazi na mtu mwenye rangi nyeusi, ndio maana Wazanzibari weusi ilibidi watie mkorogo.
Mwarabu au mhindi hakai foleni hapa zenji.
Kikao chochote lazima atafutwe mtu mweupe akae mbele hata kama hajui anafanya nini.
Wazenj wameathirika kiukweli kwa rangi.
 
Inauma sana ukifikiria na iyo dini Cjui hata watu wanapata moyo wapi kuamini kuna Mungu angeweza kuruhusu Haya; angalia wayahudi kwa miaka michache tu wamejiinua na Taifa Lao lina nguvu, wakorea, wachina wote walitawaliwa lakini cc hata hasira Hamna tunasikia maneno tu ya kina Lumumba but no development. Inauma sana but mpk nakufa Africa haitokuwa popote.
 
Back
Top Bottom