Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

Jun 30, 2023
11
38
1: Mwanamke Zipora
Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe..

2: Simon Mkirene
Huyu alikuwa muafrika kutoka Libya zamani Kirene. Huyu alimsaidia Yesu msalaba kuelekea Goligota. Wenda pasipo yeye Yesu angefia njiani na ukombozi kupata dosari. Mwafrika ni mtu muhimu kwa wokovu wa mwanadamu tangu miaka 2000 iliyopita.

3: Muethiopia
Huyu ndiye mtu wa kwanza kurekodiwa katika biblia asiyemuyahudi kubatizwa. Alikuwa tajiri mkubwa maana mtu wa kawaida ilikuwa vigumu kutoka ethiopia hadi Jerusalem kwenye ibada za kiyahudi. Waafrika matajiri na wenye ushawishi walianza kumpokea Yesu na kumuabudu Mungu wa biblia miaka zaidi ya 1500 kabla ya mzungu kukanyaga Afrika. Mwafrika alianza kumjua Mungu wa kwenye biblia kabla ya mzungu wa magharibi.

Afrika pia imewatunza na kuwalea magwiji wakubwa katika biblia.

Yusufu na israel yote imekulia afrika. Misri.

Ibrahim alipopigwa njaa, alipona kwa kukimbilia misri.

Yesu alipotaka kuuwawa utotoni alikimbizwa misri.

Mwafrika Farao Neko aliwahi kumuua mfalme wa israel Yosia kwa sababu tu alimzuia asipite kwenda kufanya kazi ya Mungu wa israel huko iraq (babeli). Mungu amekuwa akuwatumia waafrika kwa kazi zake tangu siku nyingi.

Kwa hiyo kuendelea kuabudu mizimu, mababu, na ushirikina kisa dini ya Biblia ni ya wakoloni ni mtazamo uliojengwa katika hofu za kujitungia.

Barikiwa.
 
Tunaishi maisha duni sana ukitoka kidogo nchi za wazungu utajionea Africa asee Bado sana Yani sana....sio chakula sio miundo mbinu sio technology sio Elimu mipango miji .....kitu pekee tunachojivunia pengine ni kukata magay na malesbians...tunaishi kijamaa Kuna vimaadili vyetu ... Hatuna upweke uleeee k ama wa ulaya....vinginevyo Wenzenu kuku ni kama dagaa tuuna zimenunuliwa ziko kwenye furijiHuku ukinunua soda mbili unaziwaza usiku kuchando hivyo bhana Sasa tusemeje?
 
1: Mwanamke Zipora
Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee.

2: Simon Mkirene

Huyu alikuwa muafrika kutoka Libya zamani Kirene. Huyu alimsaidia Yesu msalaba kuelekea Goligota. Wenda pasipo yeye Yesu angefia njiani na ukombozi kupata dosari. Mwafrika ni mtu muhimu kwa wokovu wa mwanadamu tangu miaka 2000 iliyopita.

3: Muethiopia
Huyu ndiye mtu wa kwanza kurekodiwa katika biblia asiyemuyahudi kubatizwa. Alikuwa tajiri mkubwa maana mtu wa kawaida ilikuwa vigumu kutoka ethiopia hadi Jerusalem kwenye ibada za kiyahudi. Waafrika matajiri na wenye ushawishi walianza kumpokea Yesu na kumuabudu Mungu wa biblia miaka zaidi ya 1500 kabla ya mzungu kukanyaga Afrika. Mwafrika alianza kumjua Mungu wa kwenye biblia kabla ya mzungu wa magharibi.

Afrika pia imewatunza na kuwalea magwiji wakubwa katika biblia.

Yusufu na israel yote imekulia afrika. Misri.

Ibrahim alipopogwa njaa, alipona kwa kukimbilia misri.

Yesu alipotaka kuuwawa utotoni alikimbizwa misri.

Mwafrika Farao Neko aliwahi kumuua mfalme wa israel Yosia kwa sababu tu alimzuia asipite kwenda kufanya kazi ya Mungu wa israel huko iraq (babeli). Mungu amekuwa akuwatumia waafrika kwa kazi zake tangu siku nyingi.

Kwa hiyo kuendelea kuabudu mizimu, mababu, na ushirikina kisa dini ya Biblia ni ya wakoloni ni mtazamo uliojengwa katika hofu za kujitungia.

Barikiwa.
Amina. amen.
 
1: Mwanamke Zipora
Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe..

2: Simon Mkirene
Huyu alikuwa muafrika kutoka Libya zamani Kirene. Huyu alimsaidia Yesu msalaba kuelekea Goligota. Wenda pasipo yeye Yesu angefia njiani na ukombozi kupata dosari. Mwafrika ni mtu muhimu kwa wokovu wa mwanadamu tangu miaka 2000 iliyopita.

3: Muethiopia
Huyu ndiye mtu wa kwanza kurekodiwa katika biblia asiyemuyahudi kubatizwa. Alikuwa tajiri mkubwa maana mtu wa kawaida ilikuwa vigumu kutoka ethiopia hadi Jerusalem kwenye ibada za kiyahudi. Waafrika matajiri na wenye ushawishi walianza kumpokea Yesu na kumuabudu Mungu wa biblia miaka zaidi ya 1500 kabla ya mzungu kukanyaga Afrika. Mwafrika alianza kumjua Mungu wa kwenye biblia kabla ya mzungu wa magharibi.

Afrika pia imewatunza na kuwalea magwiji wakubwa katika biblia.

Yusufu na israel yote imekulia afrika. Misri.

Ibrahim alipopigwa njaa, alipona kwa kukimbilia misri.

Yesu alipotaka kuuwawa utotoni alikimbizwa misri.

Mwafrika Farao Neko aliwahi kumuua mfalme wa israel Yosia kwa sababu tu alimzuia asipite kwenda kufanya kazi ya Mungu wa israel huko iraq (babeli). Mungu amekuwa akuwatumia waafrika kwa kazi zake tangu siku nyingi.

Kwa hiyo kuendelea kuabudu mizimu, mababu, na ushirikina kisa dini ya Biblia ni ya wakoloni ni mtazamo uliojengwa katika hofu za kujitungia.

Barikiwa.
Safi sana...una hoja nzuri sana...
 
Mke wa Musa sio Musa.
Hesabu 12:1
Kisha Miriamu na Haruni wakamnenea Musa kwa sababu ya mwanamke Mkushi aliyekuwa amemwoa; maana, alikuwa amemwoa mwanamke Mkushi.

Kushi~Ethiopia.
Muethiopia sio Pure Blacks na sio Bantu ni Wahabesh

Wahabesh sio Pure Blacks, wana nywele laini, sura na pua zilizochongoka na rangi isiyo nyeusi kama rest of Black Africans

Ni mixed race ya Mtu mweusi mwenye asilimia flan ya Uarabu (kumbuka Axum iliitawala Arabia zamani mpaka Yemen wakazaa nao) na pia baadhi wana asilimia kama 10 ya Uisrael

Kwahiyo Ethiopians na ndugu zao Eritreans sio Pure Blacks

Ndio maana Haille Selasie hakuwa considered kama Pure Black Africans kwny movements

Blacks wa kwanza kuleta nembo duniani ni Wasudani

View attachment 2772282
 
Waafrika tuliminywa kutumia akili,

Tokea Adam alisimamiwa na Mungu.

Musa aliongozwa na Mungu,

Ibrahim alielekezwa na Mungu.

Bwana Yesu alikuwa mtoto wa Mungu, alifuata maagizo.

Waafrika tumekaa tuna relax ndo maana kila kitu tunataka tuasaidiwe, hata hizo bandari na mbuga tunaona hatuwezi kusimamia.

Tunaona tusaidiwe, ni nature. Inatakiwa elimu kubwa ya kutufanya waafrika tutumie akili yetu. Ubongo huu hatuumii kabisa.

Sorry for this.
 
Back
Top Bottom