watu weusi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Elizabeth, kabla ya kifo chako uliwahi kuwaomba msamaha watu weusi?

    Japo kwa cheo QUEEN ELIZABETH wewe ulikuwa malkia kwa maana kiongozi hakosei. ila kwa upande wengine tukitoa cheo chako wewe Elizabeth Alexandra Mary Windsor ulikuwa ni binadamu kama binadamu wengine. na japo kosa haukulifanya wewe walifanya watu wengine ila ungetudanganya basi hata kwa neno...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Watanzania weusi na Chuki binafsi dhidi ya Watu weusi

    Unashangaa wamewekeza kushambulia vidagaa kama akina Mwigulu kwamba sijui ni Ufisadi, Mwigulu anashambuliwa tu kwa kuwa ni mtu mweusi na Mkristu na anashambuliwa na mtu mweusi na Wakristu wenzake. Tuweke mambo sawa, hata kama Mwigulu kafanya Ufisadi ambapo sina uhakika lkn hakuna watu...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Acheni kutumia picha za watu weusi kuripoti mlipuko wa monkeypox!

    Hivi karibuni, ugonjwa wa monkeypox umeendelea kuenea katika nchi za magharibi. Tangu tarehe 13, nchi 23 zikiwemo Marekani na Uingereza zimeripoti maambukizi zaidi ya 250 yaliyothibitishwa na zaidi ya maambukizi 100 yanayoshukiwa kwa WHO. Hata hivyo, Reuters, BBC, ABC News na vyombo vingine vya...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyeua Watu Weusi 10 kwa risasi alipanga kuendelea za tukio kama hilo sehemu nyingine pia

    Kijana Payton Gendron, 18, ambaye aliwaua watu 13 kwa kuwafyatulia risasi, 10 kati yao wakiwa wenye rangi nyeusi inaelezwa alipanga kufanya mauaji zaidi kama angetoroka eneo la tukio Jijini New York, Marekani. Kamishna wa Polisi, Joseph Gramaglia amesema: “Alitaka kwenda kwenye gari alekee...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Uyaudi na watu weusi

    Leo naendelea na huu uzi pale ambapo niliishia mara ya mwisho.. Baada ya kuona ushahidi wa wana historia mbalimbali juu ya uwepo wa wayahudi weusi ndani ya Afrika kaskazini na Afrika ya magharibi... leo nitatoa ushahidi wa wana historia na kuonyesha kuwa wayahudi weusi walijenga Empires za West...
  6. Tango73

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu gani nchi za watu weusi kuwa mwanachama wa Arab league?

    Nijuavyo Arab League ni umoja wa nchi za kiarabu na AU ni umoja wa nchi za kiafrica. Sasa Somalia, Chad, Sudan, Djibut, Senegal na Mali kuwa mwanachama wa umoja wa nchi za kiarabu kuna mantiki gani? Je, ukitokea mgogoro wa nchi ya kiarabu na kiafrica kama ilivyo mgogoro wa bwawa la umeme la...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uyahudi na Watu weusi

    Je ulishawahi kuwaza kuwa labda jamii ya watu ambayo ilikuwa na watu maarufu duniani kama Yesu, mfalme Daudi na mfalme Sulemani walikuwa na ngozi nyeusi? nakuletea taarifa kuwa jamii ya Wayahudi walikuwa na ngozi nyeusi na mpaka leo wayahudi ni watu weusi na kwa maana hii wewe unayesoma uzi huu...
  8. Heaven Seeker

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu mfupi wa kitaa Uzunguni-unapingana na dhana ya kuwa 'Wazungu pekee ndio watu waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili'

    Nilipokuwa mdogo niliamini dhana ya kwamba.. i) Wazungu wote ni watu wenye waliojaliwa kuwa na uwezo mkubwa kiakili kuliko akina sisi wa kwa Mtogole na Buza kwa Mama Kibonge.. Kabla sijatembelea nchi za Ulaya niliamini dhana hii. Lakini baada ya kufika Ulaya na kusoma nao darasa moja...
  9. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Mtu mweusi leo kujitambua na kutambua historia yake halisi na ya ukweli ni kazi ya ziada

    Habari zenu wanaJF wenzangu. Kiujumla watu weusi tumeishi 'gizani' kwa karne nyingi. Tumeishi katika mifumo kadhaa iliyolenga kutupeleka huko 'gizani' na kutubakisha huko. Mifumo hii imepitia marekebisho ya kila aina - tokea mifumo ya kutumia nguvu hadi leo kutumia mifumo ya kutufumba macho na...
  10. dungune

    JamiiForums Tanzania Je, watu weusi wanaonewa?

    Kumekuwa na malalamiko yanayo tafsiri ubaguzi kwa watu weusi. Wiki moja iliyopita moja kati ya matukio yalio shika vicha vya habari ni pamoja na tukio linalo onyesha mchezaji wa club ya westham Kurt Zouma akimpiga mateke paka wake. Umoja wa haki za wanyama umetafsiri kitendo hicho kama ukatili...
  11. Abu Ubaidah Commando

    JamiiForums Tanzania Watu weusi na ubaguzi dhidi ya Waarabu/ Uislamu

    Afrika tunalia kila siku kuhusu maswala ya ubaguzi ila mechi ya Misri na Senegal 90% ya Waafrika duniani kote walikuwa wanaisapoti Senegal. Huu ni ubaguzi haswaa Tukubali tu, Waafrika ni wabaguzi, wana chuki na wana roho mbaya, japo sio wote. Wapo wanawachukia Waarabu kisa ni Waarabu hata kama...
  12. Full charge

    JamiiForums Tanzania Kwanini Waarabu hawapendi Watu Weusi wawaoe binti zao?

    Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa? Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea...
Back
Top Bottom