Siku hizi watoto kugraduate chekechea imekuwa dili sana?

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Sijui ni uzungu au ni ulimbukeni, wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea. Haya mambo mbona enzi zetu hayakuwepo, au watoto siku hizi wamekuwa vilaza sana!!
 
Sijui Ni uzungu au Ni ulimbukeni.. wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea!!! Haya Mambo mbona enzi zetu hayakuwepo , au watoto siku hizi wamekua vilaza Sana!!
Acha wivu. Kila mtu afanye kinachompendeza madam havunji sheria
 
Sijui Ni uzungu au Ni ulimbukeni.. wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea!!! Haya Mambo mbona enzi zetu hayakuwepo , au watoto siku hizi wamekua vilaza Sana!!
Kwa kuwa wewe hukuvaa basi usitake na wa kizazi hiki wasivae kwa kua kila zama na kitabu chake
 
Mambo yanabadilika mkuu,inawezekana kwa wakati wako mambo hayo hayakupewa kipaumbele lakini ukweli ni kwamba kila hatua katika maisha ya mtoto ni muhimu kwake, na hivyo mzazi kuungana nae katika furaha inaonesha namna unavyo mjali

Suala la kupost au kutopost ni utashi wa kila mtu anavyoona ila hilo haliondoi umuhimu wa kusherehekea maandalizi ya mtoto na utayari kuanza elimu yake ya msingi.
 
Sijui Ni uzungu au Ni ulimbukeni.. wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea!!! Haya Mambo mbona enzi zetu hayakuwepo , au watoto siku hizi wamekua vilaza Sana!!
Enzi zenu chekechea hazikuwepo ndio maana
 
Sijui Ni uzungu au Ni ulimbukeni.. wazazi wanawapost watoto wao kwamba wamegraduate chekechea!!! Haya Mambo mbona enzi zetu hayakuwepo , au watoto siku hizi wamekua vilaza Sana!!

“Celebrate Life” hii ni dhana iliyoanza kupata maana baada ya binadamu kufahamu kua life ends in this Universe hivo ikawa kusherehekea ni moja ya vitu muhimu kwa binadamu , mbali ya kukupa furaha na kuongeza siku za kuishi lakini kiafya na kisaikolojia pia hukuweka vizuri na kukuweka karibu na marafiki wapya na wazamani,
Hivo hakuna siku ambayo binadamu atayazoea majonzi ndio maana sherehe ni muhimu
 
Mr. MTUI: usije ukaishi maisha kwa kujibana au kupuuza kusherehekea ukidhanj kuna jipya baada ya maisha, ishi vyema na watu yasherehekee maisha yako na maisha ya wengine pia hata kama una mke au mtoto penye nafasi hakikisha unawapa furaha kwani kuna wakati hautokua na uwezo wa kuwafanya wafurahi wafanye wafurahie maisha kwa wakati utaoweza
 
Back
Top Bottom