Watoto Church, formerly Kampala Pentecostal Church (KPC) is an English-speaking cell-based community church located around East Africa and headquartered in Kampala, Uganda. The vision of the church is "an English speaking cell-based community church, celebrating Christ, growing and multiplying as each one reaches one, touching those around us with the love of Jesus, bringing healing to the cities and the nations." Watoto means "the children" in Swahili.
Katika miaka ya hivi karibuni malumbano ndani ya nyumba zetu yameshika hatamu. Tumeshuhudia tabia iliyozoeleka kwa wazazi - baba na mama wakipigana, kurushiana maneno, matusi na kadhalika mbele ya watoto tena bila aibu. Kisaikolojia mtoto hujengeka zaidi na kuwa mwenye furaha kutokana na kuwepo...
Watoto waliozaliwa tumbo moja wakiwa wadogo huwa wana mshikamano na wanakuwa na upendo ila sasa wakikua na kila mmoja akawa na mji wake ndipo changamoto zinapoanzia.
Ule upendo wa utotoni upotea na kuanza kuwa maadui. Hii huwa ni kwanini?
Nimejaribu kupitia vitabu mbalimbali ikiwamo na biblia...
DAKTARI bingwa wa magonjwa ya pua, koo na mdomo kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili-Mloganzila, Perfect Godfrey, ameishauri jamii kuwapeleka watoto wanaokoroma hospitali kupata matibabu kwani kukoroma ni ugonjwa kama magonjwa mengine.
Dk. Godfrey alisema zipo jamii zinazoamini kuwa kukoroma...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty.
Sio kila muda tunapaswa kusoma na kujadili makala zinazohusiana na masuala ya cold war, jeshi na ujasusi wa KGB, CIA na Mossad. Ngoja leo...
Ofisa lishe mtafiti kutoka Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania (TFNC), Fatuma Mwasora amesema chupa na chuchu bandia ni hatari kwa afya ya mtoto kutokana na chuchu hizo kujaza gesi tumboni na kupunguza kiwango cha unyonyaji wa mtoto.
Fatuma alisema madhara zaidi ya chuchu hizo na chupa...
SPECIAL PRAYERS FOR WAITING MOTHERS
1. I bring to judgement before the Lord, every spiritual cause that is delaying your child bearing in Jesus name.
2. Every physical cause of your delay, that has been hidden to medical knowledge, I ask that they be made obvious for immediate correction in...
Waziri wa Afya ndugu Ummy Mwalimu amesema kuwa Katika nchi yetu ya Tanzania, watoto chini ya miaka mitano asilimia 31.8 wana utapiamlo.
Waziri akaendelea kusema kuwa, hali hiyo inahatarisha maendeleo ya ukuaji ubongo wa watoto hao kitu kinachoweza kupelekea udumavu wa akili.
Mimi binafsi...
Wajumbeeee!
Poleni kwa misiba na maombolezo. Mwenyezi Mungu azipumzishe pahala pema peponi roho za waliotutangulia.
Nakumbuka kushuhudia Uchaguzi wa CCM MWAKA 2000 Mimi nikiwa mtia mmojawa of mikoa wa mashariki mwa Tanzania. Hayati Mzee Mkapa akiwa Mwenyekiti wa Chama alikata majina ya...
Benjamin William Mkapa alizaliwa mnamo 12 November 1938 huko Ndanda Wilayani Masasi Mkoani Mtwara. Alimaliza Shahada ya kwanza ya Lugha ya Kiingereza kutoka Chuo Kikuu cha Makerere nchini Uganda mwaka 1962
Mwaka 1963 alihitimu shahada ya Uzamili katika Mahusiano ya Kimataifa kutoka katika Chuo...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Irene James mwenye miaka 36 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Tabora kwa tuhuma za kuwafanyia unyanyasaji wa kingono watoto saba (7) wa kike wenye umri kati ya miaka Minne (4) hadi Saba (7) ambao ni watoto wa majirani zake.
Akisoma maelezo ya...
Historia ya Benjamin Mkapa
MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA
WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA
Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
bendera
chadema
habari
haki
historia
huzuni
itv
kubwa
makongoro
makongoro nyerere
maua
mkapa
musiba
mwanaharakati
nyerere
nyumbani
rais
saa
serikali
shada
sherehe
tanga
tbc
uhuru
upinzani
watoto
Familia nyingi zinateseka na watoto sababu ya kuachia kila kitu mabinti wa kazi
Wako leo hii waliojisahauu na sasa mabinti wakazi wamekuja sec wife na hawana nguvu ya kuwaondoa anaelipa mume kumbe ni kwa ujinga wako mwenyewe
Turudi kwenye màda kifupi ningeombà mjitahidi watoto wenu kabla ya...
Kuna ripoti fulani nilikuwa nasoma nikakutana na neno "vifaranga" ikimaanisha samaki wachanga. Ni sawa samaki wachanga kuitwa vifaranga?
Majina mengine ya watoto (vikembe) wa wanyama mbalimbali ni kama ifuatavyo:
Ng'ombe......Ndama
Nzige...kimatu/maige/tunutu/matumatu/funutu
Ndege....Kinda...
Mkanganyiko wa elimu uliosababishwa na janga la COVID-19 unawazuia watoto kuanza kupata elimu yao wanayostahili ilisema taarifa ya UNICEF
Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Watoto-UNICEF lilisema Jumanne kwamba kufungwa kwa majengo ya elimu kutokana na janga la COVID-19...
Wadau nimeona nijiajiri.kazi zimekuwa ngumu sana. Nikaangalia haya maisha na changamoto zake kuzigeuza kuwa fursa.
Nmepata wazo, kuna watu huwa mpaka wanaenda nje ya nchi kutaka pandikiza mimba.mimi naona hiyo ni gharama.
Nitakuwa tayari kuwapa mimba wanawake ambao wana uhitaji.bei...
Ripoti ya idadi ya watu ya mwaka 2000 huko nchini Brazil ilionyesha kwamba familia milioni 11.2 kati ya familia milioni 44.7 zinaongozwa na wanawake. Nchini Nikaragua 25% ya watoto huishi na mama zao pekee. Mnamo mwaka 1990 huko nchini Kosta Rika takwimu zilionyesha kwamba idadi ya watoto...
JUMLA ya wazazi 35 kutoka kata ya Nalasi wilayani Tunduru wamekatwa baada ya kukutwa wakiwafundisha watoto wa kike walio chini ya umri wa miaka 8 mbinu za kuishi na wanaume na kufanya tendo la ngono maarufu kama msondo.
Mkuu wa wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro ambaye ni Mwenyekiti wa kamati...
Muhimu: Nimesema wengi sio wote
Ni kutokana na maisha waliyoyaishi
Akitoka shuleni, nyumbani hakuna kutoka (geti kali), ni kiangalia katuni na kufanya homework
Shule zao darasani unakuta watu 20 tu, hapo sana sana anaweza kuwa na mabesti wawili tu.
Na mambo mengine kadha na kadha.
Hiki kitu...
Jumla ya wazazi 35 wakazi wa Kata ya Nalasi katika Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wamekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuwafungia watoto wa kike chini ya miaka minane huku wakiwafundisha mbinu za kuishi na wanaume maarufu kama “Msondo” mila ambayo imekuwa ndiyo chanzo kikubwa cha mimba za...