Wizi waongezeka Mbezi Beach: Serikali za mitaa mmewashindwa wale watoto wa Kawe? Polisi Kawe mbona wakiletwa wanaachiwa shida nini?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
45,047
2,000
Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.

Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa wanawake wamekuwa wakibakwa live usiku saamoja wakirudi makwao, jambo hili lilishaisha ila limeanza tena baada ya sungu sungu kusitisha huduma kutokana na kutopata ushirikiano kati ya wananchi na mwenyekt serikali za mitaa Mbezi Beach.

Serikali za mitaa imekuwa ikiitisha mikutano isiyo na tija hasa hasa wakizungumzia dili za mchanga badala ya usalama wa wananchi.

Hapo nyuma kulikuwa na makubaliano asielipa serikali za mtaa wanapelekewa majina wanandikiwa barua ya kuitwa . Jambo hili baada ya makubaliano wanapopelekewa majina huamua kuweka chini ya meza wakiwadanganya sungusungu tutawaita.

Mpaka sasa ni mwezi wapili hakuna sungusungu serikali za mitaa imekaa kimya hivi sasa vijana wanavunja majumba wanavunja maduka watu wamekaa kimyaa haipendezi kabisa.

Swala la kubaka ni jambo la kutisha baadhi yao wanapokamatwa na kufikishwa pale Kawe mkuu wa kituo hope ajajua asubuhi yake unawakuta mtaani na wengine wakitishia wanarudi kivingine sasa.

Tunaomba mkuu wa polisi Kawe sungusungu wapewe ushirikiano wa kutosha, Mwenyekiti serikali za mtaa najua ma uncle sina jinsi wacha tuwekane sawa wapone wengi tumika sasa mda muafaka sasa kuitisha kikaoo na wananchi wa Mbezi Chini CHADEMA.

Tunaomba wote wasiolipa pesa za sungusungu wachukuliwe hatua ikishindikana shirikiana na mkuu wa Kawe hanaga shida atasaidia hili tukae kwa amani. Wengine tuko majumbani asubuhi mpaka usiku kuogopa corona.

Tunaposema hata tutembee usiku saaambili tuna kutana na corona zingine jamani mtusaidie wamama wanabakwa wadada wakule mtoni wana siri nzito awasemi awajakwambia mwenyekiti sababu hawana msaada.

Mwisho usomapo hili tunaomba uje na maji na sanitaiza kabisa mkutano wa jpili kama utaitisha kujilinda na corina
 
KOLOKOLONI

JF-Expert Member
Mar 7, 2014
1,780

Acheni Uongo watu wa kawe na Mbezi huko kwenu mnazaa malaika kwenu siyo Uswahilini kabisa .Hayo malalamiko waachieni. Mbagala, Buza,Mwananyamala .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
2,966
2,000
Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.

Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa wanawake wamekuwa wakibakwa live usiku saamoja wakirudi makwao, jambo hili lilishaisha ila limeanza tena baada ya sungu sungu kusitisha huduma kutokana na kutopata ushirikiano kati ya wananchi na mwenyekt serikali za mitaa Mbezi Beach.

Serikali za mitaa imekuwa ikiitisha mikutano isiyo na tija hasa hasa wakizungumzia dili za mchanga badala ya usalama wa wananchi.

Hapo nyuma kulikuwa na makubaliano asielipa serikali za mtaa wanapelekewa majina wanandikiwa barua ya kuitwa . Jambo hili baada ya makubaliano wanapopelekewa majina huamua kuweka chini ya meza wakiwadanganya sungusungu tutawaita.

Mpaka sasa ni mwezi wapili hakuna sungusungu serikali za mitaa imekaa kimya hivi sasa vijana wanavunja majumba wanavunja maduka watu wamekaa kimyaa haipendezi kabisa.

Swala la kubaka ni jambo la kutisha baadhi yao wanapokamatwa na kufikishwa pale Kawe mkuu wa kituo hope ajajua asubuhi yake unawakuta mtaani na wengine wakitishia wanarudi kivingine sasa.

Tunaomba mkuu wa polisi Kawe sungusungu wapewe ushirikiano wa kutosha, Mwenyekiti serikali za mtaa najua ma uncle sina jinsi wacha tuwekane sawa wapone wengi tumika sasa mda muafaka sasa kuitisha kikaoo na wananchi wa Mbezi Chini CHADEMA.

Tunaomba wote wasiolipa pesa za sungusungu wachukuliwe hatua ikishindikana shirikiana na mkuu wa Kawe hanaga shida atasaidia hili tukae kwa amani. Wengine tuko majumbani asubuhi mpaka usiku kuogopa corona.

Tunaposema hata tutembee usiku saaambili tuna kutana na corona zingine jamani mtusaidie wamama wanabakwa wadada wakule mtoni wana siri nzito awasemi awajakwambia mwenyekiti sababu hawana msaada.

Mwisho usomapo hili tunaomba uje na maji na sanitaiza kabisa mkutano wa jpili kama utaitisha kujilinda na corina
Mbunge wenu yuko Bizze na Kutafuta kick za Lupango kwanini Wananchi wake nao wasitafute kwenda huko huko Segerea wajue kuna nini kitamu kiasi hicho.

Karibu huku Kitunda Pdidy wanaishi Wanaume! Zile baiskeli zetu za kuuzia mayai tunalaza njeeee, Siyo huko Mbezi kwa Wanaume wa Daaslam karbia mtatatuliwa marinda.

Mwanaume mzima unalilia Sungusungu, Piga One Man show ulete Ukombozi wa Mtaa mzima hao watoto wataogopa wenyeweeeee.
 
Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,192
2,000
Mbunge wa Kawe Halima Mdee wanawake wenzake wa Kawe wanabakwa hana habari yuko busy na mambo yake ya hovyo hovyo
Yakikosekana maendeleo mbunge! Huduma za jamii Kama miundombinu, maji, elimu, afya na umeme zikiwa duni mbunge! Ulinzi ukiwa dhaifu mbunge! Ukilala njaa mbunge! Ukiachika mbunge! Ukikosa pesa mbunge!
Hivi kazi za bunge unazitambua au ulijiandikia tu?
Nini kazi za polisi Kama unataka mbunge asaidie kukulinda? Nini kazi ya mkuu wa wilaya, mtendaji wa kata na mtaa ambao kimsingi ni walinzi wa amani?
Kama hamjui maana JD yaani job description Basi mtamsubiri mbunge aje awapikie ilihali siyo jukumu lake!
Ccm wachovu kila idara kuanzia uelewa na kuupenda na kuutukuza umaskini!
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
49,875
2,000
Wizi mkubwa na ujambazi wa aina yake umevamia maeneo ya Mbezi Beach kuanzia mto Kawe kupanda juu na kuvuka mpaka JK Nyerere school. Vijana wa kihuni wakitembea kuanzia watano wamekuwa wakikaba mapema sana na hali hii imefanya wananchi kukosa amani kabisa.

Wale wanaotumia mto Kawe ndio balaa wanawake wamekuwa wakibakwa live usiku saamoja wakirudi makwao, jambo hili lilishaisha ila limeanza tena baada ya sungu sungu kusitisha huduma kutokana na kutopata ushirikiano kati ya wananchi na mwenyekt serikali za mitaa Mbezi Beach.

Serikali za mitaa imekuwa ikiitisha mikutano isiyo na tija hasa hasa wakizungumzia dili za mchanga badala ya usalama wa wananchi.

Hapo nyuma kulikuwa na makubaliano asielipa serikali za mtaa wanapelekewa majina wanandikiwa barua ya kuitwa . Jambo hili baada ya makubaliano wanapopelekewa majina huamua kuweka chini ya meza wakiwadanganya sungusungu tutawaita.

Mpaka sasa ni mwezi wapili hakuna sungusungu serikali za mitaa imekaa kimya hivi sasa vijana wanavunja majumba wanavunja maduka watu wamekaa kimyaa haipendezi kabisa.

Swala la kubaka ni jambo la kutisha baadhi yao wanapokamatwa na kufikishwa pale Kawe mkuu wa kituo hope ajajua asubuhi yake unawakuta mtaani na wengine wakitishia wanarudi kivingine sasa.

Tunaomba mkuu wa polisi Kawe sungusungu wapewe ushirikiano wa kutosha, Mwenyekiti serikali za mtaa najua ma uncle sina jinsi wacha tuwekane sawa wapone wengi tumika sasa mda muafaka sasa kuitisha kikaoo na wananchi wa Mbezi Chini CHADEMA.

Tunaomba wote wasiolipa pesa za sungusungu wachukuliwe hatua ikishindikana shirikiana na mkuu wa Kawe hanaga shida atasaidia hili tukae kwa amani. Wengine tuko majumbani asubuhi mpaka usiku kuogopa corona.

Tunaposema hata tutembee usiku saaambili tuna kutana na corona zingine jamani mtusaidie wamama wanabakwa wadada wakule mtoni wana siri nzito awasemi awajakwambia mwenyekiti sababu hawana msaada.

Mwisho usomapo hili tunaomba uje na maji na sanitaiza kabisa mkutano wa jpili kama utaitisha kujilinda na corina
Hao hao sungu sungu ndio vibaka
 
Top Bottom