Nini kifanyike kuboresha malezi ya watoto wa kike?

Gily Gru

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
7,798
20,748
Wadau poleni kwa hofu ya Corona

Ngoja niende moja kwa moja na mada yangu. Kutokana na wanafunzi kupewa likizo warudi majumbani mdogo wangu wa kike ambaye yuko form two amefika kwangu. Wiki iliyopita nimesikia akiongea na simu usiku nikanyata mpaka mlangoni kwake nisikie anaongea na nani saa nane za usiku.

Nikasikia lound speaker sauti ya kiume inamuliza “Umevaa nguo gani?” mdogo wangu wa kike akajibu “nimevaa skirt”, ile sauti ikamuliza tena “ndani umevaa nini?” Mdogo wangu akajibu “nimevaa chupi ya zebra zebra”. Jamaa akadai hajamuelewa, basi mdogo wangu akajibu “nimevaa chupi ya rangi ya pundamilia pundamilia”. Jamaa likajibu “nitumie picha nione basi na leo, ila ile picha ya chupi uliyonitumia siku ile inakupendeza sana”, mdogo wangu akauliza “picha ya chupi ipi ile ya pink, nyekundu au ile yenye rangi ya bendera ya Tanzania?”

Nikarudi nyuma mpaka mlangoni kwanghu nikabamiza mlango wangu wa ndani nikaja sebeuleni alafu nikarudi mpaka mlangoni kwake nikajikoholesha kidogo, akakaa kimya Sana kana kwamba hakuna kinaendendelea. Nikagonga mlango akaamka akajifanya alikuwa amelala usingizi wa pono fofofo. Nikamuliza “we mbona hujazima taa?” Huwezi amini huyu mdogo wangu kanijibu “nilikuwa nimepitiwa na usingizi nikasahau kuzima”. Nikamwambia zima taa ukalale, sikutaka kusema nae nikajipa mda niwaze hili swali na nilipatie utatuzi upi baada ya kulitafakari.

Nakumbuka kabla hajaingia likizo aliniomba hela ya vitu vya shule kununua sasa jana nikamuliza “ile hela niliyokupa ukanunue vitu vya shule umenunua vitu gani?”. Huwezi amini mdogo wangu akaanza kunipiga Kiswahili “nimenunua kitabu cha mbala the farmer nimemuazima rafiki yangu tukirudi shule atanirudishia”. Akiwa anapika nikachukua simu yake nikafungua nisome messages zake nikakuta message kamtumia rafiki yake kamwambia “Kevin xna tn mpang nae nimemuhong mpk elf 30 lkn hapendek”. Rafiki yake akajibu “whs ur boi nw”. Akajibu “nin Mr ana boda boda afu ana cash nyng xn”.

Nikamfata jikoni kwa hasira nikajikuta nimemtandika kofi moja paaap nikarudish kelbu nyingine akaangukia kwenye ndoo za maji ya kupikia, kuogopa nitaua dada wa kazi akanishikilia, kwa hasira nikajikuta nimemtandika nae kofi paap nikarudisha kelbu moja matata akaangukia kwenye sufuria. Kusikia kelele jikoni wife kaja anakimbia nikamsikia wife akipiga kelele “mume wangu utaua watoto kuna nini kwani?”. Akaja akanishika mkono akanikumbatia mgongoni hasira zangu zikaisha.

Niakenda ndani kujifungia hasira zangu zilipoisha Nikajutia/Najutia Sana kitendo kile cha kuwapiga makofi sikutegemea kama nina hasira kiasi kile. Nikatoka nikamuomba dada wa kazi msamaha sikuwa sawa akakubali, nimemuhaidi nitamshonea gauni la kitenge kanisamehe kwa moyo mmoja. Leo siku nzima ananiuliza “baba si uniongezee tu hiyo hela uninunulie simu ile ya kupangusa”. Huyu mdogo wangu wa kike sikupinga kuwa na simu kwa kuwa tunaendana na utandawazi hivyo sikuona sababu ya kumnyima simu ila kwa sasa nimemnyang’anya inamfanya awe mjinga. Ila wazazi wenye watoto wa kike naomba niwaulize hivi ni kitu gani kama wazazi tunatakiwa kuwafanyia watoto wa kike ili wafunguke akili?
 
Nawaza tu boda boda wakihesabu buku buku zao hawa watoto wa kike wanadhani wana hela nyingi mno. Najutia sana kumpiga mdogo wangu wa kike najua simlipii ada ila siku moja moja huwa namnunulia vitabu na vizawadi na kinachouma she is 15 years old, she is too young to be involved in sexual grown up talks. .
 
maendeleo hayana chama
90877466_529524097752085_2086166121706720310_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwa upande flani uko sahihi kumpiga lakini pia ulipaswa kwanza umpe ushauri nasaha kuhusu maisha,masomo,mahusiano n.k.

Japokua kaenda mbali sana mpaka anamhonga mwanaume badala yeye ahongwe bonge la ufala,huyo anamalizia balehe yake hivyo anahitaji special care ya ziada lasivyo punde utapokea mpwa soon.

mwisho kabisa umpe onyo kali akirudia basi hutompokea tena kwako na msaada wowote kutoka kwako hatokuja apate tena.
 
Ndugu yangu zile zilikuwa hasira zikanifanya nimpige ila nimejutia sana. Kwa kweli nimeongea na mke wangu azungumze nae. Ni mdogo wangu wa kike its very hard to talk to her about certain stuffs.

Mie nilivyokuta message bodaboda niliumia sana kwa sababu huyu mtu hawezi kuwa ni kijana mdogo. Sema dada nae ana kamwili kakua fasta si unajua mkubwa tena ukimwona unaweza sema yuko form four. Wazazi umri umeenda na kwa kuwa ni mtoto wa mwisho ataapa wazazi mawazo anakera mno
 
Ila kuna kipindi nawaambia mpaka marafiki zangu na wananambia niache kumkufuru Mungu, mtoto yeyote atakayekuja unampokea kwa mikono miwili. Nawajibu sijasema akipatikana mtoto wa kike kuwa sitompokea ila kwa kweli nashindwa kujua nitawalea vipi. Mungu anisamehe kwa uchanga wa mawazo yangu ila jina lake litukuzwe kwa kuwa hapangiwi. .

Watoto wa kike wakiwa wadogo wanavutia na unapenda kuona wanajenga maisha yao. Ila wanapokuwa kidogo tu inakuwa shida sana unakuwa mtu wa mawazo mda wote jinsi gani utawakinga na mambo mabaya kwani kuna watu kazi zao kuwafanyia mabaya watoto wa wenzao. Toka nishuhudie kuwa dada anahangaika na mahusiano katika umri mdogo basi nimepata mawazo sana na yale niliyokuwa nayawazia juu ya watoto wa kike kama yanajidhihirisha zaidi. .
 
Mtoto ni mtoto tu unaweza zaa mtoto wakiume akawa mvuta bangi na unaweza kuzaa mtoto wa kike akawa kahaba ....cha muhimu wazazi wanatakiwa kuwaombea watoto na wazazi pia wanatakiwa kutulia kwenye ndoa mfano baba ukipenda kutembea na watoto wadogo nje ya ndoa yako ( maana wanaume sikuiz ndio tabia zao ku date na visichana vitoto) ujue na wewe ukizaa wakwako wakike lazima wazee watampitia tu ....vile vile kina mama nao ....kilicho cha muhimu ni kuwafundisha watoto njia za Mungu na kuwaambia kwa uwazi kabisa tangu wakiwa watoto jinsi duniani kulivyo na uharibifu na jinsi yakuepuka....wazazi pia inatakiwa kupunguza ubize wakujifanya kua bize sana watoto wakabaki kulelewa na ma housegirl ....wazazi wahusike na malezi sio kuwaza mishahara tu huku watoto wanaharibikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunahangaika sana na watoto wa kike na kuwasahau wa kiume. Hawa ndio janga maradufu.
Ila watoto wa kike wanahitaji malezi tofauti na ya watoto wa kiume
Wote ni watoto ila kwenye malezi kuna utofauti mkubwa
 
Mtoto ni mtoto tu unaweza zaa mtoto wakiume akawa mvuta bangi na unaweza kuzaa mtoto wa kike akawa kahaba ....cha muhimu wazazi wanatakiwa kuwaombea watoto na wazazi pia wanatakiwa kutulia kwenye ndoa mfano baba ukipenda kutembea na watoto wadogo nje ya ndoa yako ( maana wanaume sikuiz ndio tabia zao ku date na visichana vitoto) ujue na wewe ukizaa wakwako wakike lazima wazee watampitia tu ....vile vile kina mama nao ....kilicho cha muhimu ni kuwafundisha watoto njia za Mungu na kuwaambia kwa uwazi kabisa tangu wakiwa watoto jinsi duniani kulivyo na uharibifu na jinsi yakuepuka....wazazi pia inatakiwa kupunguza ubize wakujifanya kua bize sana watoto wakabaki kulelewa na ma housegirl ....wazazi wahusike na malezi sio kuwaza mishahara tu huku watoto wanaharibikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hilo jambo umelinena kwa busara kabisa, watoto wanatakiwa wawekwe kwenye misingi ya kiimani na kumuhofu Mungu kwanza kabisa.

Hicho ndicho nachokisemea mtoto wa kiume anapovuta bangi nadhani naweza kumuelimisha na kumfanya aacha kuvuta bangi. Ila mtoto wa kike akiwa kahaba sijui cha kumweleza kumfundisha na naona kama hatonielewa

Tatu, kweli kabisa watoto wengi wako chini ya malezi ya housegirl, wengi wanajifunza tabia mbovu kutoka kwa ma housegirls, kwa sababu wengi ni watoto na majukumu yao ya kulea watoto yako juu ya uweza wao (wengi wao). Huko nchi za wenzetu hao mahouse girls wanakuwa watu wazima sema wanaitwa sana sana maids na wanaweza majukumu ya kulea watoto kwani wengi wao wana watoto na wana experience ya umri. .
 
Ahsanteeeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawaza tu boda boda wakihesabu buku buku zao hawa watoto wa kike wanadhani wana hela nyingi mno. Najutia sana kumpiga mdogo wangu wa kike najua simlipii ada ila siku moja moja huwa namnunulia vitabu na vizawadi na kinachouma she is 15 years old, she is too young to be involved in sexual grown up talks. .
Kwa hiyo wajanja walishamgegeda... Dah pole sana. Ila hawa bodaboda wanawagegeda wanafunzi wafanyakazi wake za watu yaani balaa
 
Mtoto ni mtoto tu unaweza zaa mtoto wakiume akawa mvuta bangi na unaweza kuzaa mtoto wa kike akawa kahaba ....cha muhimu wazazi wanatakiwa kuwaombea watoto na wazazi pia wanatakiwa kutulia kwenye ndoa mfano baba ukipenda kutembea na watoto wadogo nje ya ndoa yako ( maana wanaume sikuiz ndio tabia zao ku date na visichana vitoto) ujue na wewe ukizaa wakwako wakike lazima wazee watampitia tu ....vile vile kina mama nao ....kilicho cha muhimu ni kuwafundisha watoto njia za Mungu na kuwaambia kwa uwazi kabisa tangu wakiwa watoto jinsi duniani kulivyo na uharibifu na jinsi yakuepuka....wazazi pia inatakiwa kupunguza ubize wakujifanya kua bize sana watoto wakabaki kulelewa na ma housegirl ....wazazi wahusike na malezi sio kuwaza mishahara tu huku watoto wanaharibikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Umemwaga point hatari.
Yaani ndio maana mie nasema mke akitaka kuzaa acha kazi lea mtoto mambo ya tutakula nini niachie bingwa nihangaike wee lea watoto.
 
Hilo jambo umelinena kwa busara kabisa, watoto wanatakiwa wawekwe kwenye misingi ya kiimani na kumuhofu Mungu kwanza kabisa.

Hicho ndicho nachokisemea mtoto wa kiume anapovuta bangi nadhani naweza kumuelimisha na kumfanya aacha kuvuta bangi. Ila mtoto wa kike akiwa kahaba sijui cha kumweleza kumfundisha na naona kama hatonielewa

Tatu, kweli kabisa watoto wengi wako chini ya malezi ya housegirl, wengi wanajifunza tabia mbovu kutoka kwa ma housegirls, kwa sababu wengi ni watoto na majukumu yao ya kulea watoto yako juu ya uweza wao (wengi wao). Huko nchi za wenzetu hao mahouse girls wanakuwa watu wazima sema wanaitwa sana sana maids na wanaweza majukumu ya kulea watoto kwani wengi wao wana watoto na wana experience ya umri. .
Hakuna kazi ngumu kama kumrekebisha mtu aliyekwisha haribika ndio maana inatakiwa kumnyoosha akiwa tangu mdogo....kijana wakiume akianza kuvuta bangi si kaazi rahisi kumrekebisha ivyo ivyo na kwa mtoto wakike akishaharibika ....ni kuwaombea Mungu tu wasije kuingia katika tabia za ajabu ....hata kama wewe ni baba usisite kuongea na binti yako tena hakuna kitu watoto wakike wanaelewa kama baba uongee naye binti mwenyewe sababu tayari baba unajua uongo wote ambao mnautumia kuwadanganya mabinti ivyo ni vizuri kumuelewesha mtoto pasipo kuangalia eti wewe ni baba basi ndio uogope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo wajanja walishamgegeda... Dah pole sana. Ila hawa bodaboda wanawagegeda wanafunzi wafanyakazi wake za watu yaani balaa
I dont know ila najua kuwa ana bwana anamdanganya bodaboda kutokana na usbhaidi wa message nilioupata
Nataka nimtafute huyu jamaa ndo tuko kwenye harakati nitaleta mrejesho wake hapa
 
Hakuna kazi ngumu kama kumrekebisha mtu aliyekwisha haribika ndio maana inatakiwa kumnyoosha akiwa tangu mdogo....kijana wakiume akianza kuvuta bangi si kaazi rahisi kumrekebisha ivyo ivyo na kwa mtoto wakike akishaharibika ....ni kuwaombea Mungu tu wasije kuingia katika tabia za ajabu ....hata kama wewe ni baba usisite kuongea na binti yako tena hakuna kitu watoto wakike wanaelewa kama baba uongee naye binti mwenyewe sababu tayari baba unajua uongo wote ambao mnautumia kuwadanganya mabinti ivyo ni vizuri kumuelewesha mtoto pasipo kuangalia eti wewe ni baba basi ndio uogope

Sent using Jamii Forums mobile app
Am not scared it is really hard to explain this. "I dont know how to talk to them"

Nimemuagiza wife azungumze nae na akae ajue kwa nini anakuwa mzembe tatizo liko wapi
 
Umemwaga point hatari.
Yaani ndio maana mie nasema mke akitaka kuzaa acha kazi lea mtoto mambo ya tutakula nini niachie bingwa nihangaike wee lea watoto.
Best ukitaka ivyo usioe mke anayefanya kazi maana ukikuta mwanamke anafanya kazi kumuachisha iyo ni kazi nyingine...maana mkija kufulia ataanza kukupa lawama...ivyo kuepuka lawama oa mke weka vitega uchumi vyakuingiza fedha ili mkeo apate muda mzuri wakulea watoto ....sababu ukiwa na biashara binafsi uwezi kukosa wakusimamia biashara wakati ukiendelea kulea watoto ( nazungumzia mwanamke yaan mama) ....maana wazazi wasikuiz wapo bize kutafuta hela kuliko watoto hadi waga najiuliza sasa kama unatafuta halafu unaemtaftia umfundishi au kumuelekeza ajielewe unatafuta izo fedha za nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I dont know ila najua kuwa ana bwana anamdanganya bodaboda kutokana na usbhaidi wa message nilioupata
Nataka nimtafute huyu jamaa ndo tuko kwenye harakati nitaleta mrejesho wake hapa
Sasa wamtafuta bodaboda wa nini... Wee mtandike huyo mtoto mpaka ashike adabu
 
Back
Top Bottom