Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba atimba Bungeni na familia yake ya mke na watoto watano

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.

Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.

Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.

Chanzo: TBC

Ukinizingua Nitakuzingua.
 
Job ndo mambo yake hayo

Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
 
Hahahaaaa....... Labda ana kijiji bwashee!
 
Job ndo mambo yake hayo

Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Hata mimi sitaji idadi, unaweza shobokea watoto kumbe umebambikiwa, wanawake sio viumbe wa kawaida kwenye kubambikia watu kesi na kutunza siri. Kwenye masuala ya Watoto aulizwe mama sio baba.
 
Job ndo mambo yake hayo

Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Ndugai alikuwa sahihi kujua Mwanaume ana watoto wangapi subiri akifa .Au hao aliozaa nao huko porini wakifa

Wengine wanaweza kuwa bado wako matumboni hawajatoka

Hivyo vigumu kutaja idadi
 
Hii nayo ni habari?
Mtu ukishakuwa addicted na kupenda kupost post vitu kila siku kuna siku utapost vya chumbani kwako wallah..
 
Waziri wa fedha Dr Mwigullu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.
Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.

Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.

Source TBC

Ukinizingua Nitakuzingua.
Umekosa kabisa habari za maana unatuletea utumbo wa Mwigulu?
 
Ukitaka kuuliza mwanaume wa kiswahili kuwa una watoto wangapi exactly atapata shida kujibu hilo swali wewe muulize ok try to figure out or to estimate how many children do you have kidume koko wewe?
 
kweli,miye siwezi kutajia idadi ya watoto,we subiria nikitaka kutoa mirathi,au nimekufa ndyo ushuhudie kijiji nilichonacho!
 
Job ndo mambo yake hayo

Hahahaaa umenikumbusha intavyuu moja ya Job aliulizwa kuhusu idadi ya watoto wake aligoma kabisa kutaka bila chenga yani alimkazia mtangazaji sikumbuki vizur alikua nani wa Star Tv akimuhoji nyumbani kwake Ipagala akiwa Naibu Spika. Msimamo wake ulikuwa idadi ya watoto wake ni siri yake
Nakumbuka na mm hiyo siku ilikua jpl startv miaka mingi imepita 10yrs hv..aligoma kata katA🤣
 
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.

Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.

Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.

Chanzo: TBC

Ukinizingua Nitakuzingua.
Watoto 5?duu unga kilo hautoshi.
 
Anaeulizwa idadi ya watoto Ni jinsia ke hata wanapofanya utafiti wa vizazi maswali huulizwa kwa wanawake tu

Kibaiolojia mwanaume habebi mimba na isingekuwa tamaduni Basi mwanaume anao uwezo wa kutungisha mamia ya mimba, Sasa unapomuuliza idadi ya watoto ye atawajuaje!! Huenda Yuko mwanamke alimlala for emergency mimba ikatunga na asijue km aliacha mtoto......zipo case za wanawake kubeba mimba na hawawaambii wahusika
 
Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amefika bungeni na mke wake pamoja na watoto wake watano.

Mwigullu leo anawasilisha Mpango wa maendeleo wa taifa.

Spika Ndugai amesema hao watoto watano ndio wale wanaojulikana kisheria kwani kimsingi idadi ya watoto wanaijua akina mama.

Chanzo: TBC

Ukinizingua Nitakuzingua.
Ila Job Mungu anamuona.
Is among Speaker mwenye mizaa toka tupate Uhuru.
Very funny.
😁😁😁😁😂😂😁🔰
Ametupa jiwe gizani.......
Kweli Bunge ni muhimili wa Tatu, kila kitu kinaishia humo humo hakuna maswali kwa hoja/Speech za 🔊
 
Back
Top Bottom