Ushauri: Mgogoro wa familia kuhusu huduma na malezi ya watoto

Jan 5, 2021
21
13
Wana great thinkers

Kuna ushauri tafadhali unahitajika.

Kwa ufupi kuna mzazi (mwalimu wa sekondari) mkristo alizaa na wanawake wa 2 tofauti Wa kwanza mke wa ndoa watoto wa3, Mwanamke Wa pili aliishi nae watoto wa 2.

Mke wa Kwanza aliendelea kuhudumia watoto wake bila msaada wowote kutoka kwa mzazi mwenza.

Tatizo liko hapa: Huyu mwanamke wa 2 walikaa pamoja then huyu mwanamke akakimblia dar kutafuta maisha huko aliacha watoto wadogo mmoja mwaka 2 mwingine miaka 5 .

Baada ya miaka miwili kupita maisha kutokuwa sawa kwa huyu dada akarudi kuomba samahani na kweli alisamehewa lakini haikuchukua muda mrefu ugomvi ukatokea akakusanya vitu vya ndani akaondoka navyo vyote, pia baada ya muda akaona bora sasa achukue mtoto mkubwa yule wa miaka 7 akae nae kwakuwa yule mdogo alikuwa anamkataa mama yake hivo kumchukua mtoto ili apate huduma za malezi na kweli analipwa kiasi kikubwa karibia nusu ya mshahara wa mwanaume.

Nimeandika kwa ufupi sana. naomba maoni yenu na ushauri SHIDA inakuja kwamba mzazi wa kiume anapata ugumu kuona Analazimishwa kulipa pesa yote hiyo kwa mzazi mwenza na kumfanya kitega uchumi huku ikiwa walipelekana ustawi wa jamii na akapatiwa watoto wote awahudumie sema huyu mdada akafanya kulazimisha mtoto mmoja akae naye yeye. Na sasa mwanamke ameamua kwenda mahakamani kuhusu hili sakata.
 
IKO kwa pilato.......tumwachie pilato.......ila kama huyo ticha anajielewa.......atashinda.....ila kwa akili ya huto ticha ilivyo fupi...!!!!sijui...kama alikimbia akamwachia watoto for 2yrs.......akamkubalia kurejea,,,,na nna hakika alikaza kwa staha zote....atajuta.....

hawa ndio walimu tunawakabidhi watoto wetu..........wacha niipende TANZANIA yangu tu....
 
Hii ndio faida ya kutotulia njia kuu. Tayari una watoto watatu kwa mke wa Ndoa, huko nje si angepasha kiporo tu na kurudi kwa mkewe akiwa na macho makavu?

Mikanganyiko ya maisha kwa watoto chanzo ni sisi wazazi. Si ajabu hata hao watoto wakiwa wakubwa Staili ya maisha kama hiyo ya Baba yao itakuja kujirudia.

Ushauri alioupata huko ustawi wa jamii unamtosha. Vya nyongeza atavikuta huko Mahakamani
 
Starehe mnazipenda ila mwisho mbaya,
Wengi wamefilisika kwa kuendekeza umalaya,,
Sasa alipokua anakula mbususu pekupeku alitegemea nini,,?
Huko ndo ulijali apambane...
 
Mengine hayanaga ushauri ni kuwachana tu na kuwaharibia siku Ili akili ziwakae Sawa.

Mnapuyanga afu mwisho wa siku mnakuja kutukana single mothers.

Shubaaaamit.
 
Back
Top Bottom