Program ya elimu kusaidia watoto wetu: Nataka mwalimu mmoja wa kushirikiana nae kusaidia jamii/watoto

Regent

JF-Expert Member
Oct 9, 2020
2,306
3,550
Nina program moja ya kuisaidia jamii hususani watoto katika sector ya elimu, inahusu kuandaa Handouts/Notes katika mfumo wa Vitini.

Sifa ya vitini
1) Simplified...ili mwanfunzi asiwe bored kujisomea
2) Well analyzed...Mwanafunzi aweze kuelewa

Hesabu
~Kitini kimoja tutauza (1000 to 1500)Tzs kutegemeana na End product...

~Lengo kuuza vitini 200 kwa shule moja.

~Lengo kufikia shule zisizopungua 300 na kuuza vitini visivyopungua 60,000.

Comittment kubwa inahitajika
1)Kuandaa Handouts...tutakesha ku-Type na si kuandikaandika tu kuandika vitu vilivyonyooka
2)Ku Approach walimu mpaka wakubali
3)Kuzunguka mashuleni

Nishaongea na mwalimu wa shule moja kakubali kutuunga mkono kusaidia vijana.

Namtaka Mwalimu mmoja wa History anayelijua somo la History vizuri sana Sifa:-

1) Asiwe mvivu maana itamlazimu kukachini kuandaa Handouts na kuzunguka san shule mpaka 500 na zaidi.

2) Uwe na PC au Access ya kuipata, hii ya kundalia Handouts...ukiwa na Access ya kuzipata mbili utatisha zaidi

3) Presentable, uwe na uwezo wa kushawishi na Confidence ya hali ya juu.

4) Ukiwa wilaya ya Temeke itapendeza mimi naishi Mtoni kijichi


“Tunasidia jamii tu kama walimu, sisi ni wazalendo”
 
Mkuu nimepiga Hgk niko vizur san hayo masomo! Kwa kesi y kuchapa mi nachapa hata kwa sim labd kuwe n vigezo zingine
Niwekee namba yako PM, still Laptop muhimu suala sio kuType notes tu kuna mapitio mengi hadi Zi-feet kwenye karatasi chache.
 
Swali tu unandika vitini je umefuata sheria za mambo ya andishi na uchapaji

Kama huna vibali nakusahuri acha utashia pabaya
 
Swali tu unandika vitini je umefuata sheria za mambo ya andishi na uchapaji

Kama huna vibali nakusahuri acha utashia pabaya
Mimi sijui kuhusu yote hayo uliyoandika...nachojua mimi natumia muda wangu kuandaa notes na kuwasaidia watoto buree bila kupata Senti 5 kama unanifunga nifunge kama manabii walifungwa mimi nani hasa.
 
Back
Top Bottom